Nina imani na psrs .
Wale tunasubiri database la muhagama tujaribu kuwa Wapole kidogo jana nilipata bahati ya kuzungumza na afisa mmoja wa psrs.
Swali langu lilienda direct kuhusu mkeka wa database kama alivyosema Jennester Mhagama.
Jamaa alisema hivi ni kweli mkeka utakuwepo lakini mpaka sasa haijulikani ni lini kwa jinsi serikali inavyofanya kazi unaweza shangaa inapita hata miaka miwili kwa sababu mpaka sasa hakuna utekelezaji wowote wa hili suala .
Waziri alisema ndio ila watekelezaji ni psrs na wao wanasubiri mpango kazi kwa maboss na miongozo ya namna ya kulitekeleza hilo ila haiwezi kua ndani ya huu mwaka wa fedha.
Nawasilisha wakuu naomba msinipige mawe mimi nimewasilisha ujumbe tu.
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app