zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Nililiongea Hapa kuhusu TRA ya juzi waliopangiwa kuna mtu alijibu inaonyesha waliofanya TRA ya nyuma hawakukidhi mahitaji ya mwajiri.....Hatari sana
Duh
Utumishi wanatafuta posho tena hasa vitengo vya taasisi kubwa(mishahara ya juu)..
Mama(Rais) atizame kwa jicho la tatu hapa Utumishi