Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Kwa hiyo ww Mkandaji , boss wako alivyo kuwa anasema database inatoka February , alikuwa anawatega vijana wasaka mirija ya asaliHivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?

Ulisikiliza maelezo ya waziri wewe alisema mwez wa 2 tunachukua watu 1767 kanzidata na kuwapangia vituo mbalimbaliHivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?
Mkuu nafasi y kz ilitangazwa kupitia utumishi hivyo ilikua wajibu wao watoe tngzo la kuita usaili kwa wakti muafaka...hamna la kuwattea hao psrs wamezngua ktk hiliWakuu nimeona mnalalamikia tangazo la kuitwa kwenye mkando Mzumbe lililowekwa leo kwenye website ya PSRS.
Naomba niwaambie hii sio mara ya kwanza kitu kama hiki kutokea kwa Chuo cha Mzumbe, kilitokea na Mwaka jana, watu walilalamika hivi hivi.
Ukiangaliwa hilo tangazo limeandikwa na Chuo cha Mzumbe na likatolewa na Makamu Mkuu wa Chuo na sio Katibu wa PSRS. Tukumbuke pia hizi Mamlaka za Vyuo vikuu wanaendesha sahili zao chini ya Usimamizi wa PSRS.
Kosa ninaloliona kwenye kuchelewa kutangazwa kwenye website ya PSRS ni uzembe/kosa la Chuo kutotuma tangazo mapema PSRS ili litangazwe, wao chuo huwa wanatangaza kwenye website yao ila wanasahau kulituma mapema PSRS na likatangazwe kule.
Pia MUCE mwaka jana walifanya uhuni kama huu wa kuchelewa kutoa placement badala yake watu walipigiwa simu wakaenda kuanza kazi kimya kimya halafu baadae ndio wakaja kutuma placement PSRS ili ikatangazwe. Muhanga wa hii kitu ya MUCE alikuwa ni Ahmet , alifanya oral akawa anasubiri placement kumbe wenzio washaitwa kazini kimya kimya, placement ilipotoka na akawa hayumo ndipo akaja kujua kumbe watu waliitwa zamani kwa simu.
Hizi ndio taasisi zinazopigiwa chapuo na baadhi yetu humu ili zipewe mamlaka ya kurecruit na huu ndio uhuni wao wanaoufanya ingawa sio zote.
Nashauri endapo ukipata received ya Taasisi ya Chuo jitahidi kutembelea website zao mbali na website ya PSRS ili endapo wakichelewa kuleta tangazo PSRS ilihali tayari washalitangaza kwenye website yao uweze kuliona.
Hicho kitu hakiwezekani mkuu, inabidi akili ukubali hivyoTunachotaka majobless ni PDF la database 1767
Au tupeni ufafanuzi otherwise wakuu tufanyeje
Ukisikia Usanii ndo huo!!Vyuoni mbona kawaida kupachika watoto zao kwenye idara hizo....Bora Mh;mhagama achie PdfWakuu nimeona mnalalamikia tangazo la kuitwa kwenye mkando Mzumbe lililowekwa leo kwenye website ya PSRS.
Naomba niwaambie hii sio mara ya kwanza kitu kama hiki kutokea kwa Chuo cha Mzumbe, kilitokea na Mwaka jana, watu walilalamika hivi hivi.
Ukiangaliwa hilo tangazo limeandikwa na Chuo cha Mzumbe na likatolewa na Makamu Mkuu wa Chuo na sio Katibu wa PSRS. Tukumbuke pia hizi Mamlaka za Vyuo vikuu wanaendesha sahili zao chini ya Usimamizi wa PSRS.
Kosa ninaloliona kwenye kuchelewa kutangazwa kwenye website ya PSRS ni uzembe/kosa la Chuo kutotuma tangazo mapema PSRS ili litangazwe, wao chuo huwa wanatangaza kwenye website yao ila wanasahau kulituma mapema PSRS na likatangazwe kule.
Pia MUCE mwaka jana walifanya uhuni kama huu wa kuchelewa kutoa placement badala yake watu walipigiwa simu wakaenda kuanza kazi kimya kimya halafu baadae ndio wakaja kutuma placement PSRS ili ikatangazwe. Muhanga wa hii kitu ya MUCE alikuwa ni Ahmet , alifanya oral akawa anasubiri placement kumbe wenzio washaitwa kazini kimya kimya, placement ilipotoka na akawa hayumo ndipo akaja kujua kumbe watu waliitwa zamani kwa simu.
Hizi ndio taasisi zinazopigiwa chapuo na baadhi yetu humu ili zipewe mamlaka ya kurecruit na huu ndio uhuni wao wanaoufanya ingawa sio zote.
Nashauri endapo ukipata received ya Taasisi ya Chuo jitahidi kutembelea website zao mbali na website ya PSRS ili endapo wakichelewa kuleta tangazo PSRS ilihali tayari washalitangaza kwenye website yao uweze kuliona.
Kwa hyo hapa tumlaumu MZUMBE au PSRS??Wakuu nimeona mnalalamikia tangazo la kuitwa kwenye mkando Mzumbe lililowekwa leo kwenye website ya PSRS.
Naomba niwaambie hii sio mara ya kwanza kitu kama hiki kutokea kwa Chuo cha Mzumbe, kilitokea na Mwaka jana, watu walilalamika hivi hivi.
Ukiangaliwa hilo tangazo limeandikwa na Chuo cha Mzumbe na likatolewa na Makamu Mkuu wa Chuo na sio Katibu wa PSRS. Tukumbuke pia hizi Mamlaka za Vyuo vikuu wanaendesha sahili zao chini ya Usimamizi wa PSRS.
Kosa ninaloliona kwenye kuchelewa kutangazwa kwenye website ya PSRS ni uzembe/kosa la Chuo kutotuma tangazo mapema PSRS ili litangazwe, wao chuo huwa wanatangaza kwenye website yao ila wanasahau kulituma mapema PSRS na likatangazwe kule.
Pia MUCE mwaka jana walifanya uhuni kama huu wa kuchelewa kutoa placement badala yake watu walipigiwa simu wakaenda kuanza kazi kimya kimya halafu baadae ndio wakaja kutuma placement PSRS ili ikatangazwe. Muhanga wa hii kitu ya MUCE alikuwa ni Ahmet , alifanya oral akawa anasubiri placement kumbe wenzio washaitwa kazini kimya kimya, placement ilipotoka na akawa hayumo ndipo akaja kujua kumbe watu waliitwa zamani kwa simu.
Hizi ndio taasisi zinazopigiwa chapuo na baadhi yetu humu ili zipewe mamlaka ya kurecruit na huu ndio uhuni wao wanaoufanya ingawa sio zote.
Nashauri endapo ukipata received ya Taasisi ya Chuo jitahidi kutembelea website zao mbali na website ya PSRS ili endapo wakichelewa kuleta tangazo PSRS ilihali tayari washalitangaza kwenye website yao uweze kuliona.
Hata kwenye website ya Mzumbe hakuna hilo tangazo.Wakuu nimeona mnalalamikia tangazo la kuitwa kwenye mkando Mzumbe lililowekwa leo kwenye website ya PSRS.
Naomba niwaambie hii sio mara ya kwanza kitu kama hiki kutokea kwa Chuo cha Mzumbe, kilitokea na Mwaka jana, watu walilalamika hivi hivi.
Ukiangaliwa hilo tangazo limeandikwa na Chuo cha Mzumbe na likatolewa na Makamu Mkuu wa Chuo na sio Katibu wa PSRS. Tukumbuke pia hizi Mamlaka za Vyuo vikuu wanaendesha sahili zao chini ya Usimamizi wa PSRS.
Kosa ninaloliona kwenye kuchelewa kutangazwa kwenye website ya PSRS ni uzembe/kosa la Chuo kutotuma tangazo mapema PSRS ili litangazwe, wao chuo huwa wanatangaza kwenye website yao ila wanasahau kulituma mapema PSRS na likatangazwe kule.
Pia MUCE mwaka jana walifanya uhuni kama huu wa kuchelewa kutoa placement badala yake watu walipigiwa simu wakaenda kuanza kazi kimya kimya halafu baadae ndio wakaja kutuma placement PSRS ili ikatangazwe. Muhanga wa hii kitu ya MUCE alikuwa ni Ahmet , alifanya oral akawa anasubiri placement kumbe wenzio washaitwa kazini kimya kimya, placement ilipotoka na akawa hayumo ndipo akaja kujua kumbe watu waliitwa zamani kwa simu.
Hizi ndio taasisi zinazopigiwa chapuo na baadhi yetu humu ili zipewe mamlaka ya kurecruit na huu ndio uhuni wao wanaoufanya ingawa sio zote.
Nashauri endapo ukipata received ya Taasisi ya Chuo jitahidi kutembelea website zao mbali na website ya PSRS ili endapo wakichelewa kuleta tangazo PSRS ilihali tayari washalitangaza kwenye website yao uweze kuliona.
Hivi usichoelewa nini mkuu? Tangazo limeandikwa na kutolewa na Chuo, PSRS wakasubiri kuletewa nakala ili na wao waitangaze, sasa kama wameletewa leo ulitaka walitangaze tarehe 10?Mkuu nafasi y kz ilitangazwa kupitia utumishi hivyo ilikua wajibu wao watoe tngzo la kuita usaili kwa wakti muafaka...hamna la kuwattea hao psrs wamezngua ktk hili
Watu wanaconfuse taasisi na PSRS , Kimsingi PSRS wanapewa mapungufu mengine si yaoHivi usichoelewa nini mkuu? Tangazo limeandikwa na kutolewa na Chuo, PSRS wakasubiri kuletewa nakala ili na wao waitangaze, sasa kama wameletewa leo ulitaka walitangaze tarehe 10?
Uliona tangazo gani likatolewa na PSRS tofauti na tarehe lililoandikwa na wao PSRS? Kama lipo liweke hapa uniprove wrong.
Hivi hujaona matangazo ya Halmshauri nyingi yanatangazwa PSRS yakiwa yamechelewa kulingana na tarehe yaliyoandikwa? Mbona sijaona ukosoe kuhusu haya matangazo?
Vijana wasaka ajira tunaonekana kama ni wasumbufu fulani hivi, ukienda kwenye usaili unakutana na vihoja vingi sanaa. Kwa kweli hapo ni kuwakatisha tamaa vijana wa kitanzania wenye nia ya kutafuta ajira.Nimesoma mijadala mingi ya watu kukosoa utumishi wengine kuwatetea ila kiukweli kuna sehemu hawa jamaa wanazingua big time.
Haiwezekani mchakato wa ajira kuanzia tangazo la kazi hadi placement lichukue zaidi ya miezi 9, lazima kuna sehemu haipo sawa.
Ngoja nielezee kisa kimoja hivi.
Mwezi wa 3 2022 utumishi walitangaza nafasi za ajira ya mkataba wa miezi 3 (wizara ya ardhi), wataalamu tukaomba fresh.
Ilipofika tar 26 April, majina ya interview ya oral yakatoka, usaili unaonesha tutafanya tar 2 May Singida Lake secondary.
Wataalamu tukakata ticket ili kuanza safari hiyo tar 1 May. Nakumbuka nipo kwenye bus la Singida saa 1 asubuhi ndo tunaingia kibaha, napigiwa simu na rafiki yangu anasema utumishi wameweka tangazo lingine kwamba hakuna interview bali tunatakiwa kuripoti tar 9 May kwenye vituo vya kazi tulivyopingiwa(waliainisha kwenye tangazo).
Imagine tangazo la mabadiliko limetolewa saa 12 asubuhi May 1, kuna watu walikua wanatoka Mtwara hawa walishanza safari tangu April 30, wanakuja kupata taarifa kama hii.
Wengi tulilalamika sana kuchomeshwa nauli zetu, ila ndo hivyo hatukua na jinsi.
Ndo kama ishu iliyotokea leo, Tangazo linaonesha ni la tar 10 ila limetolewa leo tar 15 likionesha interview tar 16[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzumbe wa kulaumiwa.Kwa hyo hapa tumlaumu MZUMBE au PSRS??
Nani atafanyisha usaili??
Usaili utafanyikia wapi yaaani??
Kama ni PSRS watasimamia show wanaepukaje lawama hizi???
Tungepata mmojawapo ya walioitwa kwenye usahili angetuweka wazi viziri ili tuweze kutema nyongo na kuzielekeza sehemu sahihi.Hata kwenye website ya Mzumbe hakuna hilo tangazo.
PSRS wana mapungufu lakini mengine tunawabebesha mzigo ambao sio waoWatu wanaconfuse taasisi na PSRS , Kimsingi PSRS wanapewa mapungufu mengine si yao
PSRS hawawezi epuka lawama hiziHata kwenye website ya Mzumbe hakuna hilo tangazo.
Duuuu, kama ni kweli basi hili ni sekeseke jingine...Hili taifa ni kama kuna watu wanajiamulia tuu kufanya mambo pasi na utaratibu.Hata kwenye website ya Mzumbe hakuna hilo tangazo.
Ni kweli hili mkuu, ilibidi nijiridhishe kote kote kabla ya kuja kupandisha hili hapa. Ni hatari sana.Duuuu, kama ni kweli basi hili ni sekeseke jingine...Hili taifa ni kama kuna watu wanajiamulia tuu kufanya mambo pasi na utaratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna changamoto katika kuidhinisha, kupitisha na kupandisha taarifa katika taasisi zote hizo. Ila hili la Mzumbe ni funga kazi.Hivi hujaona matangazo ya Halmshauri nyingi yanatangazwa PSRS yakiwa yamechelewa kulingana na tarehe yaliyoandikwa? Mbona sijaona ukosoe kuhusu haya matangazo?