HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Majibu ya ora Kwan nn yawe ni Siri , mambo ya Siri ni mambo ya shetani. Na Ndio maana mkeka unachelewa kwa sababu majibu ya mengi sana ni ya kupachika pachika

Nakama tuna ndugu zetu huko juu kwenye taasisi na mashirika unafikiri tunashindwa kupita kwenye psrs Tena kwa taarifa yako tunapita kirahisi sana Yan.

Kama tulivyowapitasha kwenye TRA na zingine , na bado tunaendelea kuwa pitasha na hamna la kufanya ,nyie shida yenu si posho TU

Wewe hakika una maslahi yako unayoyaona utayapata ukiwa mchakato wa ajira utapitishwa katika taasisi.

Tumeshuhudia wengi wetu choka mbaya wakipata kazi tena taasisi zenye asali nyingi pasina kuwa na connection yoyote kupitia utumishi.

Unaposema kwamba utumishi pia unaweza ukapenya kwa connection sikatai,, ila ni kwa asilimia ndogo sana.

Ili uweze kuwa na connection kwanza uanze kupata paper tena iwe ya uhakika kama ni ndio, hata hiyo kupata paper pia ujipange vizuri, maana unaweza ukapata paper ya usaili na usifaulu pia.

Pili uwe na maswali yatakayoulizwa oral na ujibu kwa kwa usahihi pia au uwe na mtu katika panel anaekufahamu hii ni ngumu sana, maana hata unaweza kuwa na mtu katika panel anaekufahamu na akakuchinjia baharini pia, binaadamu ndio sisi sisi roho zetu tunazijua.

Unaweza ukawa na maswali ya oral na majibu yake kabla na usiweze kujibu kwa usahihi kutokana na hofu na wenge la kufaulu, mwenzako ndie akapata nafasi hiyo kwa kuwa alijibu sahihi zaidi kuliko wewe.

Turudi sasa kwenye taasisi, ikiwa mchakato wa ajira utapitishiwa uko, hapa ndio kwa waliokuwa na connection kubwa ndio watakuwa wameulamba zaidi, maana baba kantuma itaongezeka kwa kiwango kikubwa.

Pili mchakato wa usaili haotukuwa fair play, kwa kuwa mwenye connection atakuwa tayari mlolongo wote wa usaili atakuwa ameshaupanga kuanzia written na kashawapanga watu wake, oral ndio kabisa ni mwendo wa mseleleko tu.

Kwake itakuwa ni mtelezo tu, kitu ambacho kitatufanya majobless tusiwe na imani na serikali yetu.

Nje ya box,, inawezekana hata huo usaili usiwepo just mtoto wa fulani anavutiwa waya anawekwa kwenye kitengo nyeti kimya kimya.
Yaani vurugu mechi nchi itakuwa kama ya baba yake fulani, wakati hii nchi ni mali yetu sote.

Kila mmoja wetu ana haki sawa ya kulamba asali kutegemea na juhudi zake na Mungu alivyo mpangia kwa wakati wake muafaka.
 
Ukisikiliza watu wanaotetea PSRS kwenye mchakato humu ni bora ukashinde kwenye uzi wa rickboy ujifunze kuchakata mbususu kimasihara.maana kuna watu wanjikuta watoto wa masikini kiasi kuwa hawawezi kusimama bila utumishi.
 
Mimi ingekuwa chuo na sehemu ya field nafanya mkoa mmoja ningekuwa simalizi muda wangu wa field [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakati unajisajili kwa field si utaandika na muda kumaliza? muda ukifika ni bye bye
 
WAACHE KUCHELEWESHA MICHAKATO WA AJIRA,HAIINGII AKILINI KAZI 1 ICHUKUE MIEZI MPKA 8 SASA WALIITANGAZA YA NINI...HAIKUBALIKI HILI SUALA
Hii nchi ina upuuzi mwingi sanaa, haipendezi utangaze nafasi za kazi kuanzia mchakato mpaka watakaopatikana kazini ichukue zaidi ya miezi minne. Ni uduwanzi mkubwa sanaa, watu wanafanya tuu makusudi, sitaki kuamini kwamba kuna issues special kiasi hicho cha kuwasubirisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuilalamikia utumishi haimaanishi kwamba tunailalamikia kisa tumekosa mrija la hasha

Kuhusu michakato ya eti taasisi ndo znazochelewesha na sio utumishi sasa hapo tumlaumu nani kama aliyetangaza na kusimamia mchakato mzima ni UTUMISHI (PSRS) wenyewe??
Halaf kitu kingne ndg zang tunavyosema taasisi zenyewe zkafanye mchakato sio kwamba tunao watu kule au sisi sio watoto wa maskini sjui nn ni kujaribu kuweka mambo sawa....kwan miaka ya KIKWETE wakati mashirika yanajichukulia watu wao ajira ilionekana ni shida na mzunguko mrefu kama baada ya kuwa chini ya PSRS?? Au kipindi kile watoto wa maskini walkuwa hawachukuliwi kisa hawana watu kule???

Hv ndg yang ni juzi tu hapa tulikuwa tunaulalamikia huu mfumo wa kuchelewesha watu.....yaaan mchakato hadi wa mtu aitwe kazini tangu anaomba mpaka placement kutoka ni almost mwaka mmoja...hujaweka miaka kama mitano alokaa kitaaani......tunazalisha taifa la watu wa aina gani?? Waendeleee kufikiria kusubiri subiri tu ajira?? Najua ni rahisi kuwaambia wenzako endelea kupambana....kuweni wavumilivu n.k lkn jueni ni kuendelea kuwasononesha vijana kuspokuwa na sababu za msingi.......tunafasi twenyewe tunakuwa tudogo(tuchache) wanaotugombania ni wengi halaf hadi hatma ya walofaulu usaili ijulikane ni mwaka mzima.....imajini!!!!!!!!!

Hatuna shida na PSRS na namna ya kupata wanaolamba asali ila mchakato mzima unachukua muda mrefu mnooooooooooo......kama wao sio wa kulaumiwa haya malalamiko washayapata sana wawaambie hizo taasisi wanazozisaidia kutafuta vjana unapofanyika usaili mara moja vjana wachukuliwe na kuripot kazini uone kama tutailalamikia tena hii
Au results zile za oral zitolewe walofaulu wajijue mapema ili walofeli waendelee na mambo mengne walofaulu wasubiri kuitwa rasmi kazini
Ila huu usiri huuuuuuu ndo utatufanya tuendeleee kuilalamikia mno PSRS.....
na kuisema utumishi sio mpaka uwe hujalamba asali mm hata nikishailamba sitaacha kuishinikiza kuwaisha mchakato watu waendelee na mambo mengne
Sekretarieti ya Ajira
Mkeka 👉Hichi ndio kipimo Cha kuonyesha jipu uchungu ni taasisi yenye rushwa sana .

Kama wangekuwa wanatoa majibu mapema ya oral ata wao ingekuwa rahisi sana kulist watu ,
Ila ivi SS Wana haha kupachika watu kwenye mkeka
 
Hii nchi ina upuuzi mwingi sanaa, haipendezi utangaze nafasi za kazi kuanzia mchakato mpaka watakaopatikana kazini ichukue zaidi ya miezi minne. Ni uduwanzi mkubwa sanaa, watu wanafanya tuu makusudi, sitaki kuamini kwamba kuna issues special kiasi hicho cha kuwasubirisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalieni nchi kama India ,china zenye idadi kubwa za watu kama Wana tumia muda mwingi kuita watu kazini kama TZ .
Hawa jipu uchungu(psrs) Wana laana wallah vile
 
Mambo mengi tunaona na tunafanyia utafiti kimya kimya kuna taasisi tunafatilia sana majina ya kutwa kazini,hizo rafu zipo tu viwanjani sema kuna rafu technical kama ile ya kanzidata na kuna rafu za wazi ambazo hatuzion hadi turudi kwenye VAR za taasisi.tunasema hapa watoto wa masikini tunapata kazi ilihali majority wanapata kazi na tunawajua uwezo wao tangu tunasoma nao chuo then mtu anakuambia alipambana.kuna watu nilikuwa najua kabisa wakienda oral hawatoboi maana si tumefanya nao presentation tangu mwaka wa kwanza mpaka tunamaliza vyuo.leo wanalamba asali wengine wanaonekana wazembe hawajitumi.
Wakitaka kutoa lawama,wangekua wanatoa majibu mapema tu ya oral lkn kuambiwa baada ya oral napo mchakato,aaaaah sisi tunarudi kwenye VAR.
Mnaopata kazi fanyeni kazi kwa bidii na kujituma tu pamoja na kuwa tunajua mnapitia changamoto kwa ugeni wenu makazini na mnaonewa wivu japo hamsemi humu.sisi wengine tuendelee kupambana tu hadi tutakapobahatika kulamba asali.
Mkuu umeongea kwa uchu sana, mimi sijui lolote katika hayo uliyoyasema ila kufuatia ucheleweshwaji huu inatufanya tuanze kuwaza pengine kuna mambo nyuma ya pazia yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ina upuuzi mwingi sanaa, haipendezi utangaze nafasi za kazi kuanzia mchakato mpaka watakaopatikana kazini ichukue zaidi ya miezi minne. Ni uduwanzi mkubwa sanaa, watu wanafanya tuu makusudi, sitaki kuamini kwamba kuna issues special kiasi hicho cha kuwasubirisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Too much aisee, watu tumeomba kz since july 2022 mpk now even interview haijaitwa duh ss maana yake nn....huu ni utendaji mbovu
 
Wewe hakika una maslahi yako unayoyaona utayapata ukiwa mchakato wa ajira utapitishwa katika taasisi.

Tumeshuhudia wengi wetu choka mbaya wakipata kazi tena taasisi zenye asali nyingi pasina kuwa na connection yoyote kupitia utumishi.

Unaposema kwamba utumishi pia unaweza ukapenya kwa connection sikatai,, ila ni kwa asilimia ndogo sana.

Ili uweze kuwa na connection kwanza uanze kupata paper tena iwe ya uhakika kama ni ndio, hata hiyo kupata paper pia ujipange vizuri, maana unaweza ukapata paper ya usaili na usifaulu pia.

Pili uwe na maswali yatakayoulizwa oral na ujibu kwa kwa usahihi pia au uwe na mtu katika panel anaekufahamu hii ni ngumu sana, maana hata unaweza kuwa na mtu katika panel anaekufahamu na akakuchinjia baharini pia, binaadamu ndio sisi sisi roho zetu tunazijua.

Unaweza ukawa na maswali ya oral na majibu yake kabla na usiweze kujibu kwa usahihi kutokana na hofu na wenge la kufaulu, mwenzako ndie akapata nafasi hiyo kwa kuwa alijibu sahihi zaidi kuliko wewe.

Turudi sasa kwenye taasisi, ikiwa mchakato wa ajira utapitishiwa uko, hapa ndio kwa waliokuwa na connection kubwa ndio watakuwa wameulamba zaidi, maana baba kantuma itaongezeka kwa kiwango kikubwa.

Pili mchakato wa usaili haotukuwa fair play, kwa kuwa mwenye connection atakuwa tayari mlolongo wote wa usaili atakuwa ameshaupanga kuanzia written na kashawapanga watu wake, oral ndio kabisa ni mwendo wa mseleleko tu.

Kwake itakuwa ni mtelezo tu, kitu ambacho kitatufanya majobless tusiwe na imani na serikali yetu.

Nje ya box,, inawezekana hata huo usaili usiwepo just mtoto wa fulani anavutiwa waya anawekwa kwenye kitengo nyeti kimya kimya.
Yaani vurugu mechi nchi itakuwa kama ya baba yake fulani, wakati hii nchi ni mali yetu sote.

Kila mmoja wetu ana haki sawa ya kulamba asali kutegemea na juhudi zake na Mungu alivyo mpangia kwa wakati wake muafaka.
Jipu uchungu Kwan nn mnatafuta watu wajinga kuja kujibu hoja zetu .

Aliye wambia ajira ni kwa ajili ya watu masikini ni nani .
Kila mtu anastahili kula asali kulingana na vigezo vinavyo hitajika.
 
Na walihama kutoka kwenye mfumo wa manula kuja kwenye mfumo wa kielectroniki ili kurahisihsa michakato ya ajira....sasa kuna umaana gani kama the time taken ni zaidi ya mfumo wa manual...WABADILIKE ua wapunguziwe majukumu
WApunguziwe majukumu Hawa jipu uchungu, wataleta maafa makubwa sana
 
Mkuu umeongea kwa uchu sana, mimi sijui lolote katika hayo uliyoyasema ila kufuatia ucheleweshwaji huu inatufanya tuanze kuwaza pengine kuna mambo nyuma ya pazia yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mkeka SS, Kuna watu wanapachikwa HAta hawajai fanya interview Yan 😂, mkeka labda usitoke ila ukitoka Kuna watu watazimia , hawataamini macho Yao Yan
 
Kwa mantiki hiyo serikali ndo haiko serious!
Kwani haya mashirika ya umma yenyewe yapo chini ya mamlaka yapi??
Yaan wao wapo juu ya mamlaka zao za kiutumishi kiasi kwamba wanajiamlia wanavyotaka wao???
Mambo yanaenda hovyo badala ya yarekebishwe ila ndo yanazidi kuwa hovyo kabisa...tunavyolalamika hv sio kwamba ni hatujajua knachoendelea ......tunafahamu ndo maana tunajaribu kuyaaddress publically vifanyiwe marekebisho...
Imajini dunia ya sasa hivi ya ulimwengu wa sayansi na tecnolojia...jambo la kumalizika ndani ya muda mfupi linachukua miezi au hata miaka....je enzi zile ambapo tulikuwa bado nyuma kitecnolojia si ndo hadi miaka kibao ingepita bila kueleweka nn inaendelea
Kiukweli kwenye hili swala la kuchelewesha ajira za watu, utumishi hawawezi kujitetea kwa sababu teknolojia imekua sanaaa. Inashangaza mchakato unachukua miezi mpaka sita, haaaa! Kwann sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee watu mpo bitter sana, utumishi wanafanya kwa capacity yao na ni kweli wanajitahidi sana.
Ni Bora HAta wangekuwa wapole basi , wao Ndio wanazidi kutujibu majibu ya kijinga na zarau ,

Waambieni waache hizi tabia za zarau
 
Back
Top Bottom