mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
maza samia yy pia alikiri anapitia JF, hawa wanae PSRS wamo humu wengine wanachangia kwa ID tofautiHivi Sekretarieti ya Ajira wanaonaga hizi comments kweli,
maza samia yy pia alikiri anapitia JF, hawa wanae PSRS wamo humu wengine wanachangia kwa ID tofautiHivi Sekretarieti ya Ajira wanaonaga hizi comments kweli,
maza samia yy pia alikiri anapitia JF, hawa wanae PSRS wamo humu wengine wanachangia kwa ID tofauti
Ukweli una wauma kumbe, wakandaji wanakandwa huku JFKwa huo mtazamo wako tu trust me asali pekee utakayolamba kutoka utumishi ni ile asali iliyotengenezwa na nzi.
Hata apo kwenu psrs iposijaongelea boss mmoja soma vizuri ni kamchezo kapo sekta mbalimbali tu.
Nakazia Pia...Mheshimu.Jenista mhagama&Ridhiwan Kikwete Msimuangushe Mama(rais) kwenye kauli ya Kazi Data kata kiu ya vijana waliopo mtaani ...Ni hayo tuWakuu acheni sana lawama kuhusu PSRS,Sio kila kitu lazima waweke hadharani,mengine ni Siri za Kiofisi.Na Ofisi yoyote ya Umma lazima iwe na Usiri Mkubwa.Hata Sisi wenyewe tunaenda kuwa Watumishi wa Umma lazima Usiri na Maadili ya kazi Vizingatiwe.
Kuhusu kuchelewa Kwa Placements ni Taasisi husika ndio zilaumiwe na sio PSRS baada ya Kujifunza Kwa Muda mrefu,Taasisi husika Kuna Taratibu Fulani ambazo huwa zinatakiwa kukamilishwa kwenda PSRS,lakini sio hivyo Taasisi husika huwa inatuma maombi ya Kuomba kuletewa wale watu wapya,baada ya maandalizi yote kukamilika kuwaleta waajiriwa wapya.....
Kuhusu watu wengine kutaka Ajira ziende kwenye Taasisi kisa wewe umekosa kupitia PSRS ni roho za kibinafsi na Kutegemea Mwanadamu ndio zinawasumbua nyie,kisa tu ndugu zenu ni Wakubwa kwenye Mashirika ndio mnataka Fursa ya kuingia.Lakini mjue Sio kila mtu ana Wakubwa na sie wengine tusio na connection PSRS ndio kimbilio letu....
Kikubwa tu watafutaji Ajira wenzangu,ukifeli Written nyingi sio kigezo Cha kukata Tamaa,kijana yoyote msaka Ajira lazima uwe unatenga muda wa kujisomea kila siku,Yani kusoma iwe ni kama vile unavyoweka ratiba ya kwenda kuangalia Mpira au kunywa Pombe wale wapenda Vilaji...
Hakuna siku utafanya vizuri na Utabaniwa kupata kazi,Kikubwa pambana pambana mpaka uhakikishe unapata kazi na utasimulia mazuri tu na kusifu PSRS.Kwa kuwa unajua wapi ulikosea na wapi ulijipanga.
Nawapa hongera sana Kwa kazi nzuri
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kuchapa kazi Kwa weledi na msimuangushe mama yetu Samia.Na sie vijana Tunaomba mama asaini vibali vingi vya Ajira na vijana wengi tuendelee kuajiriwa.Maana serikali ya mama imeonyesha inajali vijana hakika.
#Usikate tamaa
#Pambana kijana mwenzangu
#Kazi Iendelee
Majibu ya ora Kwan nn yawe ni Siri , mambo ya Siri ni mambo ya shetani. Na Ndio maana mkeka unachelewa kwa sababu majibu ya mengi sana ni ya kupachika pachikaManeno kama haya yenye matumaini na kukonga moyo ndio tunapaswa kuyasikia asubuhi hii.
Psrs iendelee kupiga kazi, maana wengi wetu tuna imani nayo.
Hao mawaziri Hawana shida sana , kwa sababu wao sio watendaji , waongeaji TU,Nakazia Pia...Mheshimu.Jenista mhagama&Ridhiwan Kikwete Msimuangushe Mama(rais) kwenye kauli ya Kazi Data kata kiu ya vijana waliopo mtaani ...Ni hayo tu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kuilalamikia utumishi haimaanishi kwamba tunailalamikia kisa tumekosa mrija la hashaWakuu acheni sana lawama kuhusu PSRS,Sio kila kitu lazima waweke hadharani,mengine ni Siri za Kiofisi.Na Ofisi yoyote ya Umma lazima iwe na Usiri Mkubwa.Hata Sisi wenyewe tunaenda kuwa Watumishi wa Umma lazima Usiri na Maadili ya kazi Vizingatiwe.
Kuhusu kuchelewa Kwa Placements ni Taasisi husika ndio zilaumiwe na sio PSRS baada ya Kujifunza Kwa Muda mrefu,Taasisi husika Kuna Taratibu Fulani ambazo huwa zinatakiwa kukamilishwa kwenda PSRS,lakini sio hivyo Taasisi husika huwa inatuma maombi ya Kuomba kuletewa wale watu wapya,baada ya maandalizi yote kukamilika kuwaleta waajiriwa wapya.....
Kuhusu watu wengine kutaka Ajira ziende kwenye Taasisi kisa wewe umekosa kupitia PSRS ni roho za kibinafsi na Kutegemea Mwanadamu ndio zinawasumbua nyie,kisa tu ndugu zenu ni Wakubwa kwenye Mashirika ndio mnataka Fursa ya kuingia.Lakini mjue Sio kila mtu ana Wakubwa na sie wengine tusio na connection PSRS ndio kimbilio letu....
Kikubwa tu watafutaji Ajira wenzangu,ukifeli Written nyingi sio kigezo Cha kukata Tamaa,kijana yoyote msaka Ajira lazima uwe unatenga muda wa kujisomea kila siku,Yani kusoma iwe ni kama vile unavyoweka ratiba ya kwenda kuangalia Mpira au kunywa Pombe wale wapenda Vilaji...
Hakuna siku utafanya vizuri na Utabaniwa kupata kazi,Kikubwa pambana pambana mpaka uhakikishe unapata kazi na utasimulia mazuri tu na kusifu PSRS.Kwa kuwa unajua wapi ulikosea na wapi ulijipanga.
Nawapa hongera sana Kwa kazi nzuri
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kuchapa kazi Kwa weledi na msimuangushe mama yetu Samia.Na sie vijana Tunaomba mama asaini vibali vingi vya Ajira na vijana wengi tuendelee kuajiriwa.Maana serikali ya mama imeonyesha inajali vijana hakika.
#Usikate tamaa
#Pambana kijana mwenzangu
#Kazi Iendelee
Umeongea point mkuuKuilalamikia utumishi haimaanishi kwamba tunailalamikia kisa tumekosa mrija la hasha
Kuhusu michakato ya eti taasisi ndo znazochelewesha na sio utumishi sasa hapo tumlaumu nani kama aliyetangaza na kusimamia mchakato mzima ni UTUMISHI (PSRS) wenyewe??
Halaf kitu kingne ndg zang tunavyosema taasisi zenyewe zkafanye mchakato sio kwamba tunao watu kule au sisi sio watoto wa maskini sjui nn ni kujaribu kuweka mambo sawa....kwan miaka ya KIKWETE wakati mashirika yanajichukulia watu wao ajira ilionekana ni shida na mzunguko mrefu kama baada ya kuwa chini ya PSRS?? Au kipindi kile watoto wa maskini walkuwa hawachukuliwi kisa hawana watu kule???
Hv ndg yang ni juzi tu hapa tulikuwa tunaulalamikia huu mfumo wa kuchelewesha watu.....yaaan mchakato hadi wa mtu aitwe kazini tangu anaomba mpaka placement kutoka ni almost mwaka mmoja...hujaweka miaka kama mitano alokaa kitaaani......tunazalisha taifa la watu wa aina gani?? Waendeleee kufikiria kusubiri subiri tu ajira?? Najua ni rahisi kuwaambia wenzako endelea kupambana....kuweni wavumilivu n.k lkn jueni ni kuendelea kuwasononesha vijana kuspokuwa na sababu za msingi.......tunafasi twenyewe tunakuwa tudogo(tuchache) wanaotugombania ni wengi halaf hadi hatma ya walofaulu usaili ijulikane ni mwaka mzima.....imajini!!!!!!!!!
Hatuna shida na PSRS na namna ya kupata wanaolamba asali ila mchakato mzima unachukua muda mrefu mnooooooooooo......kama wao sio wa kulaumiwa haya malalamiko washayapata sana wawaambie hizo taasisi wanazozisaidia kutafuta vjana unapofanyika usaili mara moja vjana wachukuliwe na kuripot kazini uone kama tutailalamikia tena hii
Au results zile za oral zitolewe walofaulu wajijue mapema ili walofeli waendelee na mambo mengne walofaulu wasubiri kuitwa rasmi kazini
Ila huu usiri huuuuuuu ndo utatufanya tuendeleee kuilalamikia mno PSRS.....
na kuisema utumishi sio mpaka uwe hujalamba asali mm hata nikishailamba sitaacha kuishinikiza kuwaisha mchakato watu waendelee na mambo mengne
Tunashida gani ipo.....!!!Hao mawaziri Hawana shida sana , kwa sababu wao sio watendaji , waongeaji TU,
Shida Iko kwenu nyie jipu uchungu
Kupata kwangu placement hakunifanyi niwe kipofu,ila nimeamua kuongea ninachokiona au baada ya kufanya Utafiti na nikagundua.Utumishi Kuna mapungufu mengi, kupata kwako placement kusikufanye uwe kipofu. Kunahitajika marekebisho mengi sana hasahasa idadi ya wafanyakazi. Nadhani utumishi ni watu sahihi kusimamia ajira lakini kama hakutafanyika marekebisho yoyote, ni Bora Taasisi zirudishiwe hiyo dhamana.
Mimi ingekuwa chuo na sehemu ya field nafanya mkoa mmoja ningekuwa simalizi muda wangu wa field [emoji23]Ukienda kufanya field huko, unapigwa Lunch kwa kipindi chote na posho juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanatu zoom tu Kimya kimya[emoji2]maza samia yy pia alikiri anapitia JF, hawa wanae PSRS wamo humu wengine wanachangia kwa ID tofauti
Wa Accountancy inakubali?Ambao wenye Certificate ya
-Business Administration
-Public Administration
-Human Resources
-Statistics
-N.k
Kuna Asali ya viguduria 16 huko TAA, changamkieni muongeze received then maisha yaendelee
Unajua vipimo vya asali isiyopikwa unakuja kupata penye asali iliyopikwa [emoji23][emoji23]Muache ajue kipimo Cha asali, inamfanya asikate tamaa kutafuta kutafuta mirija
Mkuu, naomba kufahamu.Kupata kwangu placement hakunifanyi niwe kipofu,ila nimeamua kuongea ninachokiona au baada ya kufanya Utafiti na nikagundua.
Hata Mimi mwanzo nilisema jamaa wanachelewesha Placements na ndio madhaifu Yao Makubwa.Lakini nimejiridhisha ya kuwa Taasisi husika ndio Kuna baadhi ya Vitu huwa wanachelewesha mpaka kufikia placements kuchelewa.
Kwa mantiki hiyo serikali ndo haiko serious!Kupata kwangu placement hakunifanyi niwe kipofu,ila nimeamua kuongea ninachokiona au baada ya kufanya Utafiti na nikagundua.
Hata Mimi mwanzo nilisema jamaa wanachelewesha Placements na ndio madhaifu Yao Makubwa.Lakini nimejiridhisha ya kuwa Taasisi husika ndio Kuna baadhi ya Vitu huwa wanachelewesha mpaka kufikia placements kuchelewa.
Na walihama kutoka kwenye mfumo wa manula kuja kwenye mfumo wa kielectroniki ili kurahisihsa michakato ya ajira....sasa kuna umaana gani kama the time taken ni zaidi ya mfumo wa manual...WABADILIKE ua wapunguziwe majukumuKwa mantiki hiyo serikali ndo haiko serious!
Kwani haya mashirika ya umma yenyewe yapo chini ya mamlaka yapi??
Yaan wao wapo juu ya mamlaka zao za kiutumishi kiasi kwamba wanajiamlia wanavyotaka wao???
Mambo yanaenda hovyo badala ya yarekebishwe ila ndo yanazidi kuwa hovyo kabisa...tunavyolalamika hv sio kwamba ni hatujajua knachoendelea ......tunafahamu ndo maana tunajaribu kuyaaddress publically vifanyiwe marekebisho...
Imajini dunia ya sasa hivi ya ulimwengu wa sayansi na tecnolojia...jambo la kumalizika ndani ya muda mfupi linachukua miezi au hata miaka....je enzi zile ambapo tulikuwa bado nyuma kitecnolojia si ndo hadi miaka kibao ingepita bila kueleweka nn inaendelea