HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unataka wewe peke yako.

Sisi tunasema waboreshe uharakishaji wa michakato kutoka interview mpaka kupangiwa placement wa shorten muda, hilo la kupeleka mchakato kwa akina yuda hatutaki.

Inaonesha we jobless mwenzetu una ka connection mahala sasa psrs wanakuwekea ka uzibe.
Wadau wengi wanakuelimisha ila huelewi tu.
Unakera sasa.
We huoni testimony za watoto wa wakulima wanalamba asali, kila mmoja wetu ameshuhudia miongoni mwetu wakifaulu kupata Kazi bila connection.

Acha upuuzi wako.
Trinity
Mm sio jobless mwezio. Wala sio mkandaji mwezio.
Umepanic Mzee, .
Pitia Uzi wa Dbaba ,Mbanti hapo juu , utajua ujui
 
Sasa kama wewe sio jobless mwenzangu kwa nn unawasagia kunguni utumishi kiasi hicho maana hata hutosheki.
Na kama we ni msaka mrija wa asali kwa nn uwa defend wakandaji kias hiki, unafaidika na nn
Tena unatetea posho zao siguswe .

Jitafakari vizur Mzee
 
binafsi siungi mkono point yako hapo unaposema utumishi itolewe jukumu la kuajiri na zipewe taasisi

mm npo najitolea kwenye hizi taasisi najua mbivu na mbichi za humu maboss wengi ni dhaifu japo sio wote haswa kwa mabinti hii ninaushuhuda nalo wadada kufika na barua kuomba intern na kuambiwa nenda jumatatu uje kazini

na mchizi akija anaambiwa nafasi haipo ila uzuri ni kwamba nafasi zikijaa kwa uwezo wa hiyo taasisi hata akija mrembo tena anakaziwa lkn kuna point umeona hapo kwa udhaifu wa baadhi ya maboss priority ya kuwachukua haiendani na competence

mm mwenyewe nliingia kwa mbinde sana nlikula msoto wa kufanya kazi bila malipo kama mwaka na nusu hivii

kusu kupata ajira wa ndan ya taasisi huwa wanapewa kipaumble ila husibweteke kuna watu nliwahi ona taasisi flan wanapigwa chin na wanakuja watu wapya
Kwa hio boss wako anapenda mbususu, amewaweka misambanda kama yote Yan 😂.
Basi boss wako ana HIV+
 
Kaka we acha tu, kumbe baada ya stress za kusubiria placement kuna na stress za kusubiria mshahara[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
What if saili ikafnyika chini ya taasisi kwa usimamizi wa hao utumishi kma ndo wanasimamia haki
sina uhakika lkn nadhan ikifikia hatua ya oral ndio kinachofanyika iko unachosema hapo

ila mchujo ni utumishi wanasimamia kwa sababu wana staff angalu kubwa kuliko staff za taasisi
 
Duh private hiyo itakua inaendeshwa speed ndogo sn masaa 9 yte hyo umfnya nn barbrn
Means punguza mawili ni either 6 or 7 kuna torch lakini overtaking za Moro to Dom highway zinahitaji sala.
 
Ili ujue hao taasisi wenyewe washachoka kusubili watu wapya kazini kutoka utumishi i jinsi ambavyo unakuta ofisi nzima robo mpaka nusu ya wafanyakazi ni intern na ajira za mikataba,tembeleeni ofisi mbalimbali mtajionea na siku hizi mpaka halmashauri unakuta wa mikataba wamejaa,hii ni impact ya jiwe miaka sita kutoajili ilihali population inayohitaji service unakuwa kwa kasi sana(angalieni takwimu za sensa)na wanaohitaji kazi pia kuongezeka pasi na kuajiliwa,sekta binafsi zilikufa sana tu japo najua kuna wakina tomaso wao watasema tu acha utumishi ndio kimbilio,tunafanya tu ubinafsi kwani ni wangapi enzi za taasisi kuajili wametoka vijijini kwetu huko hawana connection na wana kazi nzuri??mbona wengi tu walikuwa wanapata kazi kupitia ubest students taasisi mbalimbali(hii iliweka ushindani hadi vyuo)maana ilikuwa unakuta wanafunzi karibu 10 wote wa ufaulu wa juu walikuwa wanalamba asali.
Leo mtu ameshiba ugali anasema eti utumishi imesaidia sana ilihali imeibua ugonjwa mpya wa sonona..utaratibu wa saili popote duniani hamna usaili wa kuchukua mwaka otherwise ajira imefutwa haipo(only Tanzania)imefika muda watu mpaka tunahisi wanamhujumu Mama.maana website yao nadhani ndio web ya serikali inayotembelewa sana currently.
Wote wanaosema bora ajira zirudi kwenye taasisi sio kuwa wana ndugu ila wanaona umuhimu wa mtu kujua position yake mapema ili kuumia aumie maisha yaendelee kuliko mtu anakuwa na matumaini mwaka mzima afu anakuta hayupo anaambiwa kuna kanzidata nayo anasubiti mwaka mzima then napo anakuta hayupo,mtu wa namna hii ni umeshampotezea muda na kuharibu mindset yake kwa asilimia kubwa.
Hili neno watoto wa masikini sisi ndio limetuchelewesha miaka sita nyuma kwa kupeana matumaini...hiko utumishi kwenyewe mm siamini kama kama mnavyodai fair ipo hata huko rafu zinachezwa sana tu kila mmoja anajua rafu anavyoicheza hadi alambe asali ila kamwe hawezi kukuambia atakuambia ni Mungu tu na kujiandaa.
Kwa hili ilipaswa tuungane wote tujue shida ni nini au marks za oral nazo ni mchakato unafanyika maana hii chelewa chelewa inaleta maswali.anayebisha aende akaangalie yale majina ya NAOT auditors then aende akaangalie majina ya staff wengi wa NAOT aje abishe kwa hoja sio kutetea tu vitu ambavyo hatujui.
Mnaisema utumishi wanachelewesha matokeo ilhali taasisi inayoajiri yenyewe baada ya majibu kutoka imeweka staff wake nje mwezi mzima kabla ya kureport kazini rasmi. Uharaka wa utumishi unatokana na Uharaka wa mwajiri.

Mbona NAOT mchakato wao wa written na oral hadi kuingia kazini haujachukua zaidi ya miezi mitatu?
 
Wakuu acheni sana lawama kuhusu PSRS,Sio kila kitu lazima waweke hadharani,mengine ni Siri za Kiofisi.Na Ofisi yoyote ya Umma lazima iwe na Usiri Mkubwa.Hata Sisi wenyewe tunaenda kuwa Watumishi wa Umma lazima Usiri na Maadili ya kazi Vizingatiwe.

Kuhusu kuchelewa Kwa Placements ni Taasisi husika ndio zilaumiwe na sio PSRS baada ya Kujifunza Kwa Muda mrefu,Taasisi husika Kuna Taratibu Fulani ambazo huwa zinatakiwa kukamilishwa kwenda PSRS,lakini sio hivyo Taasisi husika huwa inatuma maombi ya Kuomba kuletewa wale watu wapya,baada ya maandalizi yote kukamilika kuwaleta waajiriwa wapya.....

Kuhusu watu wengine kutaka Ajira ziende kwenye Taasisi kisa wewe umekosa kupitia PSRS ni roho za kibinafsi na Kutegemea Mwanadamu ndio zinawasumbua nyie,kisa tu ndugu zenu ni Wakubwa kwenye Mashirika ndio mnataka Fursa ya kuingia.Lakini mjue Sio kila mtu ana Wakubwa na sie wengine tusio na connection PSRS ndio kimbilio letu....

Kikubwa tu watafutaji Ajira wenzangu,ukifeli Written nyingi sio kigezo Cha kukata Tamaa,kijana yoyote msaka Ajira lazima uwe unatenga muda wa kujisomea kila siku,Yani kusoma iwe ni kama vile unavyoweka ratiba ya kwenda kuangalia Mpira au kunywa Pombe wale wapenda Vilaji...
Hakuna siku utafanya vizuri na Utabaniwa kupata kazi,Kikubwa pambana pambana mpaka uhakikishe unapata kazi na utasimulia mazuri tu na kusifu PSRS.Kwa kuwa unajua wapi ulikosea na wapi ulijipanga.

Nawapa hongera sana Kwa kazi nzuri
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kuchapa kazi Kwa weledi na msimuangushe mama yetu Samia. Na sie vijana Tunaomba mama asaini vibali vingi vya Ajira na vijana wengi tuendelee kuajiriwa. Maana serikali ya mama imeonyesha inajali vijana hakika.

#Usikate tamaa
#Pambana kijana mwenzangu
#Kazi Iendelee
 
Wakuu acheni sana lawama kuhusu PSRS,Sio kila kitu lazima waweke hadharani,mengine ni Siri za Kiofisi.Na Ofisi yoyote ya Umma lazima iwe na Usiri Mkubwa.Hata Sisi wenyewe tunaenda kuwa Watumishi wa Umma lazima Usiri na Maadili ya kazi Vizingatiwe.
Kuhusu kuchelewa Kwa Placements ni Taasisi husika ndio zilaumiwe na sio PSRS baada ya Kujifunza Kwa Muda mrefu,Taasisi husika Kuna Taratibu Fulani ambazo huwa zinatakiwa kukamilishwa kwenda PSRS,lakini sio hivyo Taasisi husika huwa inatuma maombi ya Kuomba kuletewa wale watu wapya,baada ya maandalizi yote kukamilika kuwaleta waajiriwa wapya.....

Kuhusu watu wengine kutaka Ajira ziende kwenye Taasisi kisa wewe umekosa kupitia PSRS ni roho za kibinafsi na Kutegemea Mwanadamu ndio zinawasumbua nyie,kisa tu ndugu zenu ni Wakubwa kwenye Mashirika ndio mnataka Fursa ya kuingia.Lakini mjue Sio kila mtu ana Wakubwa na sie wengine tusio na connection PSRS ndio kimbilio letu....

Kikubwa tu watafutaji Ajira wenzangu,ukifeli Written nyingi sio kigezo Cha kukata Tamaa,kijana yoyote msaka Ajira lazima uwe unatenga muda wa kujisomea kila siku,Yani kusoma iwe ni kama vile unavyoweka ratiba ya kwenda kuangalia Mpira au kunywa Pombe wale wapenda Vilaji...
Hakuna siku utafanya vizuri na Utabaniwa kupata kazi,Kikubwa pambana pambana mpaka uhakikishe unapata kazi na utasimulia mazuri tu na kusifu PSRS.Kwa kuwa unajua wapi ulikosea na wapi ulijipanga.

Nawapa hongera sana Kwa kazi nzuri
Sekretarieti ya Ajira endeleeni kuchapa kazi Kwa weledi na msimuangushe mama yetu Samia.Na sie vijana Tunaomba mama asaini vibali vingi vya Ajira na vijana wengi tuendelee kuajiriwa.Maana serikali ya mama imeonyesha inajali vijana hakika.

#Usikate tamaa
#Pambana kijana mwenzangu
#Kazi Iendelee
Safi sana Mkuu napenda sana segment ya kuwatag [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Maneno kama haya yenye matumaini na kukonga moyo ndio tunapaswa kuyasikia asubuhi hii.

Psrs iendelee kupiga kazi, maana wengi wetu tuna imani nayo.
 
Utumishi Kuna mapungufu mengi, kupata kwako placement kusikufanye uwe kipofu. Kunahitajika marekebisho mengi sana hasahasa idadi ya wafanyakazi. Nadhani utumishi ni watu sahihi kusimamia ajira lakini kama hakutafanyika marekebisho yoyote, ni Bora Taasisi zirudishiwe hiyo dhamana.
 
Back
Top Bottom