HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
interview gani ulienda ukapewa majibu ya oral?

Utumishi lazima wakubali Mapungufu yapo!Wanapopenda perdiem na wao wafikiria wanaochoma nauli kutafuta kazi. Sheria ya kazi data walioweka inamaana gani kama wanaficha oral. Waweke wazi watu baada ya oral umeingia upo au haupo kazi data.

Kuliko kuweka fumbo mwisho wa siku wanatoa kazi data majina ambayo hata watu oral hawajawai kwenda!!!!Bora Mh.Janista Mhagama kawa muwazi kusema tunapunguza watu kurudirudi kwenye Oral kuliko watendaji Wakuu kukaa kimya....?
Lazima Watu wakose Iman

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kupata kwangu placement hakunifanyi niwe kipofu,ila nimeamua kuongea ninachokiona au baada ya kufanya Utafiti na nikagundua.
Hata Mimi mwanzo nilisema jamaa wanachelewesha Placements na ndio madhaifu Yao Makubwa.Lakini nimejiridhisha ya kuwa Taasisi husika ndio Kuna baadhi ya Vitu huwa wanachelewesha mpaka kufikia placements kuchelewa.
Kwahiyo wewe unaona huu utaratibu upo sawa kwa kua Taasisi zenyewe ndo zinachelewesha..!? Almost mwaka mzima mpka mtu anaingia kazini. Kama Taasisi ndo Zina shida je hao utumishi wamechukua hatua Gani mpaka Sasa!? Kwanini Bado wanaendelea na usahili ikiwa kama kun sehemu Kuna shida
 
Hv mnavyowasagia kunguni utumishi hawawez kukufatilia

Ila kusema ukweli utumishi ni jipu wanatutesa vijana changamoto nyingi na hawana customer service nzuri.
Tunaomba transparency matokeo ya oral yawekwe wazi na database ijulikane wasitumie huo mwanya wa database kupachika watu wao na huku waliopambana usahili hadi oral hawajui lolote.

Hata Mimi nimewachoka utumishi sio kwa stress pressure na damage niliyopata kutumia mda na pesa kuhangaika
Kikweli kwa haso ambazo tunapitia hawa jamaa wanakwaza sana tu mim binafsi sina imani nao washanitocha sn psychologically
 
muda mwingine nikiwanasoma mawazo na fikra za majobless wenzangu hasa ya uzi huu pendwa wa placement kuchelewa huwa najiuliza Maswali mengi yanayoniumiza.

ivi wahusika yaani viongozi akiwemo mama yetu wa nchi, watendaji wake na hao psrs hawaoniii/ hawaambiwiii? Coz naamini kuna mamlaka zinazofuatilia minong'ono ya wananchi na huenda humu wamo.

na kama wanaona/wanaambiwa kwa nini hawafanyii kazi?

Na kama mfumo huu unaolalmikiwa( kuchelewa placement) ndio sahihi na ndio wenye maslahi kwa wanaanchi au kunasababu zisizokwepeka zinazopelekea hili, kwa nini hawabainishi/hawaweki wazi ikajulikani kama mambo mengine yalivyo wekwa wazi?

Na kwa nini wanakazia na kuaminisha vijana kwenye saili nyingi matokeo kutokaa ndani ya week 2 had 3 ilhali si kweli?

Mheshimiwa mama hili swala sio lakufumbia macho, huenda kuna watu uliowaamini wanakusudia kutia dosari jitihada zako.

Haiwezekani mtu kila kukicha yeye na website ya utumishi.
Ni wazi serikali haiwezi ajili vijana wote basi ihuishe mazingira chanya ya vijana kujitegemea na sio kuja na mambo ambayo ni sababu ya kuharibu utulivu wa vijana kuendelea na shughuli zao kama hili la kuchelewesha placement, kutwa tupo ajira portal.

Hatua zamakusudi zichukuliwe waliopata wajulikane waliokosa waendelee ma mambo yao ya kujenga taifa na maisha yao kwa ujumla.
 
Hv mnavyowasagia kunguni utumishi hawawez kukufatilia

Ila kusema ukweli utumishi ni jipu wanatutesa vijana changamoto nyingi na hawana customer service nzuri.
Tunaomba transparency matokeo ya oral yawekwe wazi na database ijulikane wasitumie huo mwanya wa database kupachika watu wao na huku waliopambana usahili hadi oral hawajui lolote.

Hata Mimi nimewachoka utumishi sio kwa stress pressure na damage niliyopata kutumia mda na pesa kuhangaika
Jipu uchungu ni mchanga Yiko wa vijana toka chitoholi, Hawana jipya.
Wewe ongeoa dukuduku lako, hakuna kitu wanaweza fanya
 
muda mwingine nikiwanasoma mawazo na fikra za majobless wenzangu hasa ya uzi huu pendwa wa placement kuchelewa huwa najiuliza Maswali mengi yanayoniumiza.

ivi wahusika yaani viongozi akiwemo mama yetu wa nchi, watendaji wake na hao psrs hawaoniii/ hawaambiwiii? Coz naamini kuna mamlaka zinazofuatilia minong'ono ya wananchi na huenda humu wamo.

na kama wanaona/wanaambiwa kwa nini hawafanyii kazi?

Na kama mfumo huu unaolalmikiwa( kuchelewa placement) ndio sahihi na ndio wenye maslahi kwa wanaanchi au kunasababu zisizokwepeka zinazopelekea hili, kwa nini hawabainishi/hawaweki wazi ikajulikani kama mambo mengine yalivyo wekwa wazi?

Na kwa nini wanakazia na kuaminisha vijana kwenye saili nyingi matokeo kutokaa ndani ya week 2 had 3 ilhali si kweli?

Mheshimiwa mama hili swala sio lakufumbia macho, huenda kuna watu uliowaamini wanakusudia kutia dosari jitihada zako.

Haiwezekani mtu kila kukicha yeye na website ya utumishi.
Ni wazi serikali haiwezi ajili vijana wote basi ihuishe mazingira chanya ya vijana kujitegemea na sio kuja na mambo ambayo ni sababu ya kuharibu utulivu wa vijana kuendelea na shughuli zao kama hili la kuchelewesha placement, kutwa tupo ajira portal.

Hatua zamakusudi zichukuliwe waliopata wajulikane waliokosa waendelee ma mambo yao ya kujenga taifa na maisha yao kwa ujumla.
Raisi Samia usimlaumu kabisa uncle, huyu Raisi anajitahidi sana kutenda Haki na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.

Na ndio maana unaona mwezi uliopita aliwaambia ukweli hadharan jipu uchungu(psrs), ikabidi siku hiyo hiyo watoe pdf ya kb kishingo upande, wakiogopa kutenguliwa.

Shida ni hawa jipu uchungu wanang'ang'ania majukumu ambao hawawezi kuyatekeleza kwa haki na weledi kisa posho TU.
 
SWALI MTAMBUKA.

Je visiwa vya karafuu (Zanzibar), Na wao wanafanya je saili zao?
 
Kama ni hivyo sio vibaya ukajichimbia kwanza hadi utosheke[emoji3][emoji3]
Kutosheka hamnaga itabidi vyote viende sambamba elimu ikiisha muda wake itaniacha nikiendelea na field[emoji2]lunch inatoa mtu roho.
 
Back
Top Bottom