HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Huyo kitenge mi hata simulewi naona jau tu mambo ndo ynazd kua mazito pale utumishi kazi unaomba leo intervw miezi 7 ijayo kazini mwaka mzima upite
Takwimu zinaonesha(angalia kwenye Archives) mwaka jana ndio nafasi nyingi sana zilitangazwa kupitia PSRS ukilinganisha na miaka ya nyuma enzi za Xavier Daudi.

Kwa mantiki hiyo, mzigo umekuwa mkubwa sana
 
Wewe ndio mtetezi wa wakandaji ,Ina shangaza sana
 
Baadhi ya wizara zimewasilisha miundo mipya ya wizara husika this week, haiwezi kuaffect mda(s) kweli?🤔
 
Back
Top Bottom