HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tatizo hatuna uelewa kuhusu TGS D, wizara zote hata wizara ya fedha entry level ni hzi TGS D ila marupu rupu ya kufa mtu, nina mwanangu yuko MOF -analipwa TGS D ila ana BM x3 series, viwanja na nyumba within 3years na nisiwe muongo hata nikikwama hapa na pale ana nipush, jah bless champ kama upo humu.
Itakua ana side hussles zingine
 
Wadau bwana, naona issue za placement na status zimepumzishwa kidogo.!!
Hot story kijiweni ni mishahara na makato yake.
Ukisikia story kama umeajiriwa au unasubir placement za halmashaur unaweza ukahairisha.
All in all life standard haitokani na kiwango cha mshahara hata kidogo, mfano halisi kuna jamaa yng kabisa ameajiriwa misitu taasisi ya nje huko INGO, analipwa m.3 lkn utakuta ananikopa mimi mwenye mshahara wa ka laki 5 tu.
Haijalishi unalipwa kiasi gani the matter una save na una invest kiasi gani na huo mradi je una super return!??
Wengi wanalipwa pesa nyingi lkn zinaishia kwenye anasa au akijitahidi sana anawekeza sehemu ambayo anapoteza pesa na kila akifurukuta anaambulia hasara.
Hujawahi kuona mtu akipata pesa tu, utaona simu za ndugu wagonjwa wanamiminika au familia yako utaona mtoto kuumwa ghafra mara sijui imeibuka kesi polisi, within a short time pesa inakata na matatizo yanaisha kwa muda.
Katika haya mambo tumtangulize Mungu na kanuni zake,

Mfano; Bible inasema, usipotoa zaka/fungu la kumi, pesa zako unakua unaweka kwenye mfuko ulio toboka na mwivi ataiba.
In short even if unapokea salary kubwa, mtangulize Mungu ili ufurahie mshahara wako mnono.
Wale wa mishahara kiduchu, Mungu atakupa akili ya kuishi na kustawi.
[emoji817][emoji817][emoji817]
 
side hussle ndani ya miaka 3 uwe na assets zote hizo!!, kila ukimcheki hewani yuko safarini na vikaoni. ndio maana nasema tuombe MUNGU tuingie serikalini tutayajua ya ndani hapa tutaishia kupiga ramli tu.
Ndio inawezekana mana side hussles hujui ni zipi and u never know before kuajiriwa alikua anafanya nn.
So many factors....
 
Yeah ndio hivyo, Lakini naona future yangu ikiwa bright kwa miaka yangu 24, nawaza nikifika 30 nitakua wapi? Kaka angu mkubwa kapata TRA mwaka Jana Lakini ni baada ya kumaliza chuo 2011 nikiwa darasa la saba na kudumu mtaani miaka 12
Yeah ndio hivyo, Lakini naona future yangu ikiwa bright kwa miaka yangu 24, nawaza nikifika 30 nitakua wapi? Kaka angu mkubwa kapata TRA mwaka Jana Lakini ni baada ya kumaliza chuo 2011 nikiwa darasa la saba na kudumu mtaani miaka 12
Aisee
 
Hivi unajua Kipindi hicho Katibu alikuwa nani? Xavier Daud ndio alikuwa mkandaji mkuu, baadae akaja kuletwa Kitenge. Hilo doa la kuvuja pepa lazima itakuwa sababu mojawapo ya kuondolewa kwenye ile nafasi
Ila alikua promoted maana aloenda kuwa naibu katibu mkuu wizara ya utumishi mpaka sasa yupo na hiyo nafasi nadhani ni mkubwa kuliko huyo wa sekretariet kimamlaka
 
Hii ishu ya readvertisement haijakaa sawa!!!!!
Ishu ni vjana wapate kazi na vjana ndo hao hao...what if ukareadvertise huyohuyo ulomkata akaomba tena na akapata hiyo nafasi...tuseme ndo atakuwa amekuwa mbobevu wa kumudu kazi tulohisi hakuwa na vigezo hapo awali???????
Kwa point yako, ata sup vyuoni zifutwe hazina maana.
 
Ila alikua promoted maana aloenda kuwa naibu katibu mkuu wizara ya utumishi mpaka sasa yupo na hiyo nafasi nadhani ni mkubwa kuliko huyo wa sekretariet kimamlaka
Huyo kitenge mi hata simulewi naona jau tu mambo ndo ynazd kua mazito pale utumishi kazi unaomba leo intervw miezi 7 ijayo kazini mwaka mzima upite
 
Back
Top Bottom