Tumbusi
Member
- Jun 19, 2022
- 84
- 178
You must be my comrade!!! My fellow vet, ni kweli eeh😁😁😁To be honest, huu uzi umenipa peace of mind kipindi ninamawazo. Nilikuwa nawaza nilichojibu kwenye oral ya tarehe 28.11.2022 kwenye taasisi x.tulikuwa watu 7 na nafasi zilikiwa 2. Mpaka sasa akili yangu imejiandaa kwa lolote lile kikipata,heri. Nikikosa pia sawa, majibu yote naimani ni mipango ya mungu
Alieanzisha huu huzi, asante sana na mungu akubariki, maana wadau wanatupa moyo sana.
# GIVING UP IS NOT AN OPTION.