HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watusaidie jaman maana kuañza upya tena ni gharama mno na maumivu makali plus pressure

I
Watusaidie kutuweka kwenye PDF kwa database au sio??

Yaaan
Nilishasema kila nikiwaza kuanza upya...na safari hyo ya Dom
Mara uanze tena kusoma ili upige written then oral na uendeleeeee kusikilizia miezi minne mbele moyoni najisemea sijui kama itawezekana[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Ni mm lkn...wanaoweza muendeleeeeee
 
Weee jamaa hadi huku upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kuila kimasihara

Aiseee kuna na ile unasikilizia utumishi PDF.....
miezi yote hiyo halaf haumo na kazini ushaonesha kadalili ka kwamba ndo unasepa hvyo aiseee kama ni mhindi akagundua umepigwa chini na utumishi nae lazima afanye namna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lazimaa akufanyee utoke jashoo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.

Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.

Tutarajie mkeka mwengine soon.

Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?

Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.💥💥💥
 
Ramli tu hizo mkuu jamaa hawatbiriki
 
Wazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.

Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.

Tutarajie mkeka mwengine soon.

Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?

Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.💥💥💥
Hili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishi
 
Hamna lolote wapiga ramli tu kuondoka kwa mkeka wa placemnt wala hakumaanishi mwingine ndo unakuja kwan pale wanaeza kuweka hata mikeka 10 na ikakaa muda mrefu wanaoutaka
Mzee pale kwenye placement inakaa mikeka saba, sehemu ya interview inakaa mikeka saba, na sehemu ya advertisment inakaa mikeka 10.

Turudi kwenye placement kuondoka mkeka mmoja lazima mwengine upandishwe.
 
Hili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishi
Na hiki ndo kilio kikubwa kwa vjana
Hivi kuna ukiritimba zaidi ya huu???
Ndo maana Mh. Rais juzi alisema milolongo ni mingi!!!!!!
 
HESLB 15%
PSSSF 5%
PAYEE 15%
WCF 2%
NHIF 3%
kama ni mwalimu kuna CWT 3%

NB: Makato ya chini kabisa ni 40% na juu ni 45% sababu walimu wengi huwa kujiunga WCF ni hiari hivyo huwa hawajiungi huko, wanaishia CWT
yeaah makato huwa ni mengi upo sahihi
ila kwenye Pay As You Earn (PAYE) % yake inategemeana na mshahara wa mtu mfano walimu sababu mishahara yao ni midogo huwa wanakatwa chini ya 10% nadhan kwa sasa wanakatwa kama 9% au 8% na huwa inaendelea kushuka kama sikosei

kuna mchizi namfahamu anapokea 2.5m PAYE anakatwa laki 5 na vi shilingi kadhaa kwaio hapo tiari inakuwa ni zaid ya hiyo 15% uliyoiweka

hizo makato zingine zipo sahihi
 
Sasa TGS D si ndo kubak na nauli tu[emoji23][emoji23][emoji23],ghaiiii shida kila pahala
 
Wazee kuna mkeka mwengine soon utapandishwa sehemu ya placement pale, kama sio leo ni kesho.

Kwa sababu mkeka mmoja umeshafutwa pale nahisi wa NiRC na ASA.

Tutarajie mkeka mwengine soon.

Watabiri je ni mkeka gani huo utakaoshushwa?

Nahisi keka hili litakuwa limeshiba sana.[emoji95][emoji95][emoji95]
Mungu asimame likawe la data base....
 
Back
Top Bottom