mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,275
- 6,592
Tuvute subraMbona naona pale kwenye page ya matangazo ya psrs walifanya mwezi wa pili?
Au mliitwa kwa wakati tofauti kutokana na kada zenu?
Kama ni hivyo placement yenu itachelewa kidogo mkiitwa muitwe wote kwa pamoja.
Yote mema