ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
wakuu mimi nimekata tamaa na psrs database japo nipo INGO inayonilipa over 2 milion ila serikali napapenda sana ata kwa TGS
Hili jambo la status ni kweli linamata?Ubaya wa selected for oral ni hujui kama utakuepo au lah,tofaut na NOT mtu akiona anajua kabisa shughuli ishaisha.
Anyways wacha tusubri.
Kwann mkuu umekata tamaa?wakuu mimi nimekata tamaa na psrs database japo nipo INGO inayonilipa over 2 milion ila serikali napapenda sana ata kwa TGS
vi pdf vinavotolewa na utumishi vinakatisha tamaa sanaKwann mkuu umekata tamaa?
So unasubiria keka la data base?vi pdf vinavotolewa na utumishi vinakatisha tamaa sana
nilifanya interview za EGA zilikua ngumu sana hasa practical so nilitegemea ntachuliwa database lakn mpka sasa hv naona bila bila tuSo unasubiria keka la data base?
Yes,para ya pili hapo[emoji817][emoji817][emoji817]Hili jambo la status ni kweli linamata?
Mbona mie kwangu naona ipo vile vile selected for oral na nlifanya oral mbili, moja sikutokea kwenye placement moja ndio nasubiria.
Kwahiyo unataka kusema fanya yako yote tisa usije ukaandikiwa not selected for oral interview hapo itakuwa imekula kwako au sio?
Kwa maana hutokuwepo kwenye data base wala hutotokea kwenye placement hata kwa ndumba [emoji855][emoji144]
Tofauti ya placement na data base ni Ipi....Hili jambo la status ni kweli linamata?
Mbona mie kwangu naona ipo vile vile selected for oral na nlifanya oral mbili, moja sikutokea kwenye placement moja ndio nasubiria.
Kwahiyo unataka kusema fanya yako yote tisa usije ukaandikiwa not selected for oral interview hapo itakuwa imekula kwako au sio?
Kwa maana hutokuwepo kwenye data base wala hutotokea kwenye placement hata kwa ndumba [emoji855][emoji144]
Yaani wewe una hela ya safari za kwenda kupiga mikando halafu unasema unakata tamaa, haitakiwi hivyo.wakuu mimi nimekata tamaa na psrs database japo nipo INGO inayonilipa over 2 milion ila serikali napapenda sana ata kwa TGS
Siku hizi mambo ya kusubiria placement miezi mitatu utumishi naona wameshaondosha, wamechelewa sana mwezi na wiki mbili.Yes bt May katikati ndo uhakika zaidi,haiwez vuka May tutakua tushajua
mkuu tatizo sio ela za mikando i hope we ushashika salary unajua inavokata though tumeajiriwa ila gari, watoto na vingine unajikuta ela imekata ukimwambia mtu haaminYaani wewe una hela ya safari za kwenda kupiga mikando halafu unasema unakata tamaa, haitakiwi hivyo.
Kapige mikando hadi kieleweke, wapo wanaotamani wangekuwa na resources kama wewe wangehudhuria sahili nyingi sana kadri wanavyoitwa.
Binafsi namshukuru Mungu wakati nahangaikia mikando sikuwahi kukwama kwa ishu za kifedha, hili jambo namshukuru Mungu sana
Aah sawa boss unajua nimeuliza hvy maana jamaa yangu Haweki bando anabisha eti watampigiaHahaha Mkuu Yaani umefanya usaili na kufika Oral ushindwe kuwa unachungulia Placements pale ilhali ndio mchongo unaokuwa unausikilizia......
Hata akina na wengine wote ambao tulifika/walifika oral,muda wote walikuwa wanachungulia sehemu ya placement pia..
yesamrich
mfwende sawadogo
Status ni Selected For Oral Interview,Web and App...
Limewahi tokea mkuu, kuna Post walitaka Afisa flani m1 kwenye Wizara flani. Placement ikawabeba 7 (wanne wapo Wizarani na watatu wakapelekwa kwenye moja ya Mamlaka iliyo chini ya hio Wizara).Wakuu naomba kuuliza let say post ya kazi ilikuwa ikitaka watu wawili alaf ikaja ikatoka placement ya post ile ya kazi ikiwa na watu 6 means wameongeza nafasi je jambo hilo limeshawahi kutokea?
Placement ni kwa wale waliobahatika kuitwa kazini kwa wakati husika baada ya kufaulu oral interview, data base ni kwa wale candidates waliofanya usaili wa oral interview lakini hawakubahatika kutokea katika placement kutokana na ufinyu wa nafasi ila walifaulu oral, so huwa wanawekwa kama reserve kwa ajili ya kupangiwa nafasi za kazi kwengine zinazohusiana na kada zao, ikiwa nafasi zitapatikana ndani ya muda wa mwaka mmoja.Tofauti ya placement na data base ni Ipi....
Wakimaliza za nov na dec this month ndo ntaamini,mana mmmh.Siku hizi mambo ya kusubiria placement miezi mitatu utumishi naona wameshaondosha, wamechelewa sana mwezi na wiki mbili.
Zamani nilikariri kuwa placement lazma ipite mwezi ndio itoke.
So now naona wanaharakisha mchakato tokea mama yetu alivyotia msisitizo.
So usije ukashangaa MDA&LGA mwishoni wa mwezi huu mambo yakawa yente[emoji95]
Oral interviews za MDAs na LGAs zilianza tr13.02 mpaka tr19.02Sorry halafu nmechapia oral ilkua 16.2.2023
Yes tulifanya kwa interval
Oral zilianza 15-19 kama skosei
Duh huyo kuna asali nyingine analamba eeeh?Aah sawa boss unajua nimeuliza hvy maana jamaa yangu Haweki bando anabisha eti watampigia
23/11/2022Kwani MDA na LGA mlifanya usaili lini?
Mbona naona pale kwenye page ya matangazo ya psrs walifanya mwezi wa pili?23/11/2022
Mbona naona pale kwenye page ya matangazo ya psrs walifanya mwezi wa pili?
Au mliitwa kwa wakati tofauti kutokana na kada zenu?
Kama ni hivyo placement yenu itachelewa kidogo mkiitwa muitwe wote kwa pamoja.