HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
My Eyes full of joyful tears with this shocking news, congratulation brother!

Ulituanzishia uzi, ukawa ni Lulu miongoni mwetu katika hii safari ya kuusaka mrija wa Asali.

Wengi tumeingia kwenye mrija wa Asali na tunaendela kuingia kupitia uzi huu na leo wewe una ungana nasi kwenye mkongo wa Taifa wa Asali.

Karibu sana kwenye Utumishi, uvumilivu uliouonesha hapa ukawe nguzo kwenye Utumishi wako.

Wale ambao bado mnaendelea kusubiri mrija wa Asali, msife moyo tupo pamoja nanyi. Tunaingia kwenye mrija wa Asali makundi kwa makundi na kila kundi lina muda wake. Tuwe na subira!
Mkuu sikukukata Tamaa..
Wewe ulini motivate sana licha tumechoma sana Nauli Dodoma.
Ila Tusikate Tamaa.

Hapa nikuwa mtumishi mwema sema 2022 ulikuwa mwaka wa kipekeee ajira zili mwaga nyingii.
Nikawa naenda zote sikujalii kuchoma Nauli.
Mungu kajibu Kilio changu.

Sasa hivi stress Ajira sina.. hope nitaanza kupata mwili tena.[emoji16][emoji2][emoji16]

All in all tusisite kwenda kwny usaili mm nilikiwaga najizima Data hata kama nafasi ni moja na tupo 60+

Hapa nataka niagane na mwajiri wangu wa Taasisi binfsi. Kwa Amani huu mwezi.

Ila @mwifya ww ni inspiration kubwa kwa watu walio kata tamaaa.
 
Hongera sana Mkuu ikawe kheri kwako na wengine wote waliopata placements.. i hope vijana wataendelea kuogelea kwenye pipa la asali mwaka huu kwa maana mama anayo dhamira ya dhati kwa ajili ya kutusaidia vijana wake.
 
Ndugu Zangu nawashukuru sana,tuendelee kupambana,nami ni mojawapo niliyepata placement Jana.Sio Kwa uwezo wangu ila najua ni Kwa uweza wa Mungu pekee.
Tusikate tamaa,mapambano yaendelee.
Napenda kuwatakia kazi njema watumishi wote wa
Sekretarieti ya Ajira.Hili ndio kimbilio letu wasaka Ajira wote.Sina connection nilipambana baada ya kufeli saili kadhaa bila kwenda Oral.Ila sikuchoka niliamini kama ipo na ipo.Hatimaye siku imefika.
Wale wote mnaosubiri placements pia msikate tamaa,Kikubwa ni kuombea mchakato wako kila siku,Mungu ni mwema sana.

#Tusikate Tamaa.
#Kazi Iendelee
Hongera sana afsa, aiseeh wana mnalamba asali hatari,nyani mzee bado sijaotea naona wakati wangu bado kidogo kikubwa dua,ukawe mtumishi mwema champ
 
Wakuu naomba kuuliza let say post ya kazi ilikuwa ikitaka watu wawili alaf ikaja ikatoka placement ya post ile ya kazi ikiwa na watu 6 means wameongeza nafasi je jambo hilo limeshawahi kutokea?
 
Mkuu sikukukata Tamaa..
Wewe ulini motivate sana licha tumechoma sana Nauli Dodoma.
Ila Tusikate Tamaa.

Hapa nikuwa mtumishi mwema sema 2022 ulikuwa mwaka wa kipekeee ajira zili mwaga nyingii.
Nikawa naenda zote sikujalii kuchoma Nauli.
Mungu kajibu Kilio changu.

Sasa hivi stress Ajira sina.. hope nitaanza kupata mwili tena.[emoji16][emoji2][emoji16]

All in all tusisite kwenda kwny usaili mm nilikiwaga najizima Data hata kama nafasi ni moja na tupo 60+

Hapa nataka niagane na mwajiri wangu wa Taasisi binfsi. Kwa Amani huu mwezi.

Ila @mwifya ww ni inspiration kubwa kwa watu walio kata tamaaa.
Ahsante sana mkuu kwa aknowledge.

Sasa rudi na ID iliyoasisi huu uzi, Asubuhi ya leo nilimuomba Melo akutolee BAN, kasema hauna BAN kwa sasa.

Karibu sana kwenye Utumishi wa Umma, tuendelee kushikana mikono ili kila ndoto ya mmoja wetu iweze kutimia hasa kwenye jambo la kusaka mrija wa Asali.
 
Back
Top Bottom