Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
We Mzee unataka kusema u
Rejea maneno ya waziri wako alisema mkeka wa database unatoka lini vile 😂Kama taasisi zimetuma mahitaji basi tusubiri utaratibu kutoka utumishi.
Kama watatutoa tuliopo database itakua bora zaidi.
Subira muhimu katika haya mambo.