HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Alafu mtu anakwambia database haipo hatutaki kuelewa sisi tunasubiria database hata Kama mwez wa 2 umeisha
 
Attachments

  • Screenshot_20230208-213310.png
    Screenshot_20230208-213310.png
    170.1 KB · Views: 21
Rais Dkt. Samia leo amekiri kwamba huwa anatembelea Jamii Forums, vijana mkitumia vzr na namna nzuri ya kufikisha ujumbe basi haraka sana keka la kanzidata litakuwa hewani kama lile la siku ya valentine.
 
Mhe.Rais ni msikivu sana na mwenye huruma.Huyu mama Tumuombee sana.Vijana wengi tunaopenda kufanya kazi Serikalini tutapata kazi tu.
Nchi Sasa imefunguka.Matumaini ni makubwa sana.
Hv mtangulizi wake kwann alivurugua michakato yote ya ajira??
Yaaaan aliparaganyisha system nzma mpaka hivi sasa mtu anatafuta mwaka wa 8+ bila kueleweka hatma yake baada ya masomo ya juu
Na watu walichukulia kawaida
 
Washauri wake mtangulizi hawakuwa watu Wazuri,walimpoteza naweza sema...
Ukiangalia Sasa Nchi inavyoenda chini ya Mama,furaha na matumaini ya Vijana wengi yapo,ila Mzee baba matumaini ya Vijana aliyazika kabisa
 
Mhe.Rais ni msikivu sana na mwenye huruma.Huyu mama Tumuombee sana.Vijana wengi tunaopenda kufanya kazi Serikalini tutapata kazi tu.
Nchi Sasa imefunguka.Matumaini ni makubwa sana.
Mh.Rais anapenda sana na anamatumain sana na vijana ukimwangalia speech zake....Na anapenda alipokosea asahishe makosa yake kuliko kukaa nayo moyoni....Tuwe na matumain yapo ya kazi data ....Tumtangulize Mungu zaidi
 
Washauri wake mtangulizi hawakuwa watu Wazuri,walimpoteza naweza sema...
Ukiangalia Sasa Nchi inavyoenda chini ya Mama,furaha na matumaini ya Vijana wengi yapo,ila Mzee baba matumaini ya Vijana aliyazika kabisa
Kwa hyo vjana walikuwa wanamnafikia??
Si alkuwa akipendwa kila kona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amezungumzia swala gan kwan

Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumesuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwangu kuna vikwazo kwangu kuna vikwazo.

Huwa napitia Jamiiforums naangalia maoni yenu kule ndani, nasoma nnacheka, nasema lakini huu ni utamaduni mpya, si rahisi kukubalika kwa ghafla, kwahiyo pande zote Tanzania nzima si rahisi kukubali utamaduni huu mpya kwa haraka.

Hv naomba mnisaidie nkiclick attachment kwe jamii forum haifungukagi...napelekwa kule kwenye general forums...sjui madude dude yale ya home yaaan nashindwa kufungua hyo...nafanyeje sasa nikipelekwa huko?
 
Back
Top Bottom