HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii kweli kuna Jamaa ameanza kazi amepigiwa simu na taasisi ingawa Utumish bado hawajatoa PDF ila ameanza kazi tulikuwa nae ktk mishe mishe pamoja
Mm nakumbuka nikiwa naagwa pale baada ya oral walinambia taarfa nitazipata kupitia wovuti ya utumishi kama nilivyopata taarfa za tangazo la kazi.
Wakanisisitizia kukwepa njia nyingine ya taarfa kama simu....sasa hapo sjui kama waga kuna kupigiana na smu au la
 
Vyovyote itavyokua, utekelezaji wa hili swala lina ukakasi kwa namna yake. Mfano, tangazo la mwisho placement, katika maelezo yao wanasema, waliofauli sahili na kupata kazi,.. Wameenda mbali zaidi kuwa, majina yale pia yanahusisha watu toka database baada ya kupatikana nafasi.

Lakini hawa wakandaji hawakuweka tangazo la kazi, kwanini wasiweke maelezo sahihi ku-reflect kile walichodhamiria?
Mimi mwenyewe nilijiuliza sana hili swali pia nimetafuta tarehe waliyofanya usaili sikupata. Narudia Tena database haipo kama ipo basi ni kichaka.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Wewe unashangaa Hilo...
Kuna watu humu wa mwezi wa 11
Mfano SUA,OUT,IAA,ARIMO,MoCu,TMC...Sijui wengine ila oral Zilikuwa tarehe 28/11/2022-01/12/2022 ila mpaka Sasa mzigo wa Placements haujatoka.
Malalamiko Makubwa ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu,mfano Mimi hapa nilipo nasubiri placements au kwenda kuripoti kituo cha kazi/kwenda Masomoni,ila mpaka Sasa sieleweki nishike lipi...
Mbanti
Nenda tu kusoma kijana[emoji3][emoji3][emoji3]
Placement inaweza kuja kuwa readvertised hii
 
Upo sahihi, 1700+ kweli huenda wapo ila eti kutoa at once sidhani.
Nilivyoelewa ni kwamba watakua wanachomoa kidogo kidogo mpaka mwaka uishe huenda wote tukawa tumechaguliwa au laa kulingana na uhitaji wa kazi husika na sifa za aliyepo database.
Database ipo , taasisi zimeshatuma maaombi utumishi tayar kwa hiyo utumishi wanajua mahitaji halisi,
Kwani nn utumishi watoe majina kidogo kidogo
 
Mimi mwenyewe nilijiuliza sana hili swali pia nimetafuta tarehe waliyofanya usaili sikupata. Narudia Tena database haipo kama ipo basi ni kichaka.
Database aipo jaman ,waziri ameudanganya uma hadharan
 
Waziri hawezi kulidanganya Bunge. Utumishi wangetoa Hilo pdf la kanzidata vijana tutulie na hata Kama tutasubiri mda mrefu kuripoti kwa mwajiri ni sawa haina shida sababu ushapata majibu na uhakika. Hii itasaidia kupunguza sintofahamu na pressure kwa vijana.
Au kama Kuna shida mahali utumishi watolee maelezo tuelewe na kuwa na taarifa sahihi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Wewe unashangaa Hilo...
Kuna watu humu wa mwezi wa 11
Mfano SUA,OUT,IAA,ARIMO,MoCu,TMC...Sijui wengine ila oral Zilikuwa tarehe 28/11/2022-01/12/2022 ila mpaka Sasa mzigo wa Placements haujatoka.
Malalamiko Makubwa ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu,mfano Mimi hapa nilipo nasubiri placements au kwenda kuripoti kituo cha kazi/kwenda Masomoni,ila mpaka Sasa sieleweki nishike lipi...
Mbanti
Kabla march kuisha wa nov mtapata placement zenyu.
Source: trust me broh[emoji3061]
 
Acha kutukatisha tamaa watu 1700+ sio wengi hata kidogo kwa serikali hii wafanyakazi kibao ofisin wanahitajika na pia mbona kipind cha nyuma mfano walimu au Kada za afya wanaajiriwa zaidi ya buku 10 sembuse watu 1700
Sema utumishi wanazingua Tu kutoa vipdf vya page 1 inabidi vijana tuongee na mama yetu atusaidie maana inaumiza mtu mpaka ufike oral alaf huna majibu wala placement na kubaki na sintofahamu kama ulifeli ama vipi
Mama asaidie vijana hii hali inahribu afya ya ubongo na nguvu kazi ya taifa
 
Back
Top Bottom