HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona mmehama kwenye mada,

Tunachopigania sio taasisi kuajiri wala nn ila hivi ni kweli kabisa sisi wasomi na digrii kikawaida kusema mchakato wa ajira umekuwa mrefu kiasi kuwa mtu anaomba kazi mpaka anasahau, anaitwa interview usiku wa manane then akimaliza asijue hatma yake ni ipi anyetetea kusema ni michakato akasome muongozo wao.

Ukiona ajitmra imetangazwa basi kibali kipo tyr na fungu lake lipo tyr(kwa mujibu wa muongozo)ndio maana serikali kupitia bunge waziri wa fedha lazima aseme mwaka huu tumekusudia kuajiri watu kadhaa na kiasi flan cha pesa kitatumika kwenye ajira hizo mpya na wabunge wanaridhia bajeti inapita, then itokee watu wakae mwaka mzima tuseme et ni mchakato kwamba pesa ilipitishwa hewa au.

Jana nilisema ukiona kiongozi wa juu nae kalalamika badala ya kusolve tatizo basi ujue kuna shida sehemu, kauli nyingine ni za kupeana moyo tu ila uhalisia wanasiasa wanatuzingua sana hasa kwenye mambo ya msingi.

Ishu sio taasisi siajiri zenyewe inshu ni nini utumishi wanaficha kuhusu hizi saili? kwa nn uwazi usiwepo tu mapema kama mtu kakosa au amepata? na ikiwa utumishi hamna shida why mkuu aliwasema tena kwa malalamiko? ikiwa hamna shida kwao why wakubali kila siku kubeba lawama kwa kauli za wakubwa wao ikiwepo hii ya juzi ya mheshimiwa mhagama?
 
Naona mmehama kwenye mada,

Tunachopigania sio taasisi kuajiri wala nn ila hivi ni kweli kabisa sisi wasomi na digrii kikawaida kusema mchakato wa ajira umekuwa mrefu kiasi kuwa mtu anaomba kazi mpaka anasahau,anaitwa interview usiku wa manane then akimaliza asijue hatma yake ni ipi.anyetetea kusema ni michakato akasome muongozo wao...ukiona ajitmra imetangazwa basi kibali kipo tyr na fungu lake lipo tyr(kwa mujibu wa muongozo)ndio maana serikali kupitia bunge waziri wa fedha lazima aseme mwaka huu tumekusudia kuajiri watu kadhaa na kiasi flan cha pesa kitatumika kwenye ajira hizo mpya na wabunge wanaridhia bajeti inapita,then itokee watu wakae mwaka mzima tuseme et ni mchakato kwamba pesa ilipitishwa hewa au.
Jana nilisema ukiona kiongozi wa juu nae kalalamika badala ya kusolve tatizo basi ujue kuna shida sehemu.kauli nyingine ni za kupeana moyo tu ila uhalisia wanasiasa wanatuzingua sana hasa kwenye mambo ya msingi.

Ishu sio taasisi siajiri zenyewe inshu ni nini utumishi wanaficha kuhusu hizi saili??kwa nn uwazi usiwepo tu mapema kama mtu kakosa au amepata??na ikiwa utumishi hamna shida why mkuu aliwasema tena kwa malalamiko??ikiwa hamna shida kwao why wakubali kila siku kubeba lawama kwa kauli za wakubwa wao ikiwepo hii ya juzi ya mheshimiwa mhagama?
Sekretarieti ya Ajira
 
TANROAD utasikia nafasi zimetangazwa utaomba. Ila huwezi kusikia interview yeyote utashangaa tu watu wapo kazini
Hawa jamaa hawasomeki kabisa....walishawahi kufanya interview kweli au wanachukua wanaojitolea hapo hapo?
 
Naona mmehama kwenye mada,

Tunachopigania sio taasisi kuajiri wala nn ila hivi ni kweli kabisa sisi wasomi na digrii kikawaida kusema mchakato wa ajira umekuwa mrefu kiasi kuwa mtu anaomba kazi mpaka anasahau,anaitwa interview usiku wa manane then akimaliza asijue hatma yake ni ipi.anyetetea kusema ni michakato akasome muongozo wao...ukiona ajitmra imetangazwa basi kibali kipo tyr na fungu lake lipo tyr(kwa mujibu wa muongozo)ndio maana serikali kupitia bunge waziri wa fedha lazima aseme mwaka huu tumekusudia kuajiri watu kadhaa na kiasi flan cha pesa kitatumika kwenye ajira hizo mpya na wabunge wanaridhia bajeti inapita,then itokee watu wakae mwaka mzima tuseme et ni mchakato kwamba pesa ilipitishwa hewa au.
Jana nilisema ukiona kiongozi wa juu nae kalalamika badala ya kusolve tatizo basi ujue kuna shida sehemu.kauli nyingine ni za kupeana moyo tu ila uhalisia wanasiasa wanatuzingua sana hasa kwenye mambo ya msingi.

Ishu sio taasisi siajiri zenyewe inshu ni nini utumishi wanaficha kuhusu hizi saili??kwa nn uwazi usiwepo tu mapema kama mtu kakosa au amepata??na ikiwa utumishi hamna shida why mkuu aliwasema tena kwa malalamiko??ikiwa hamna shida kwao why wakubali kila siku kubeba lawama kwa kauli za wakubwa wao ikiwepo hii ya juzi ya mheshimiwa mhagama?
Zandani kabisa utumishi Wana hujumi juhudi za raisi Samia
 
Kiukweli ajira tangu ziwe chini ya PSRS watoto wa wakulima tumekua tukitoboa..

Zamani ambapo taasisi ndio zilikua zinaajiri kulikua na favor Sana hususani kwa watoto wa vibopa.

Taasisi fulani kama humjui mtu fulani au we sio wa kabila fulani basi ulikua umekwisha.

Lakini chini ya PSRS fair imekuwepo kiukweli.

Sometimes hata ukipigwa ndoige unaona kabisa ume deserve..

Guys,PSRS wanafanya kazi kubwa sana hususani kwenye issue ya recruitment, though there are challenges are unavoidable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafurahia kupigwa ndoige, na kupoteza muda.
We ni mtu wa ovyo sana
 
Nadhani chanzo cha wafanyakazi wengi wenye viburi na dharau hasa wanawake (weupe na vishepu[emoji23]) ni kwasababu wa michakato ya ajira isiyopita PSRS. Japo kuna changamoto lakini ushindani na mchujo ni muhimu sana kupata wafanyakazi wenye weledi.

Nilishabahatika kufanya Aptitude test private sector nilipoenda kwenye panel ya Oral nilikataliwa na Manager na Msaidizi wake kumbe mkurugenzi alikuwa anafuatilia kwa CCTV camera, baada ya kutoka aliniita akanifanyia interview nikapita.

USHINDANI wa HAKI ni muhimu sana katika kupata watu sahihi PSRS wanajitahidu sana
 
Mtakaobahatika kula asali please over please tuwe tunakumbukana humu basi...tupeane mauzoefu ya patience...na mwisho kutoboaaaaa
Mkuu asali yko ipo krbu...umechukua nafasi ya yule bwana anajiuta yakunle nae alikua akiulizia sana placement za nov hatimae kapta shavu ss jambo lipo kwko
 
Sis wenye mwatumaini ya database bdo hatujakata tamaa....kwa uwezo wa mungu naamini tutapitiwa na somba somba la database.....mungu asimame nasi.....DATABASE IPOOOO KARIBUUU
nilishakata tamaa na psrs. .
 
Nadhani chanzo cha wafanyakazi wengi wenye viburi na dharau hasa wanawake (weupe na vishepu[emoji23]) ni kwasababu wa michakato ya ajira isiyopita PSRS. Japo kuna changamoto lakini ushindani na mchujo ni muhimu sana kupata wafanyakazi wenye weledi.

Nilishabahatika kufanya Aptitude test private sector nilipoenda kwenye panel ya Oral nilikataliwa na Manager na Msaidizi wake kumbe mkurugenzi alikuwa anafuatilia kwa CCTV camera, baada ya kutoka aliniita akanifanyia interview nikapita.

USHINDANI wa HAKI ni muhimu sana katika kupata watu sahihi PSRS wanajitahidu sana
Manager na msaidizi wake waliambiwaje na Mkurugenzi baada ya hicho kitendo?
 
Back
Top Bottom