Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Unamaanisha kauli ya mama alitupanga?Narudia Tena database haipo kama ipo basi ni kichaka .
Unamaanisha kauli ya mama alitupanga?Narudia Tena database haipo kama ipo basi ni kichaka .
Wairudishe tu urasimu umezidi pale kama humjui mtu huingiiMbona za vyuo hasa Udsm, Duce na Muce saili, na placement n
Hii Agency kuna fununu za kupelekwa utumishi full maana permanent employees wanajiriwa kutoka utumishi ila Contract employees ambao ndo asilimia kubwa wanaajiriwa direct na TANROADS
serikali iliamua kutoka baada ya kuwa na upendeleo/undugunization.We Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.
Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,
Sure mkuuHuu utaratibu uendelee tu hata Kwa miaka 4 ijayo mie Nina ndugu wanasoma na connection ya kazi Sina kimbilio ni wao wakapambane na mikando huko ndo naona Kuna haki kidogo aiseee
Ebu Kwanza njoo na Reference Unaweza kuwa unaajiri kila Mwaka lkn Idadi ya Nafasi ikawa ndg zaidi kuliko mtu anae Ajiri Kwa Interval ndefuKwa hyo watu wanavyoongezeka hata ile idadi ya wanaoajiriwa inakuwa ndogo??
Yaan kama JK aliweza ajiri kila mwaka ndo hapo kati ajira ziwe kama zmesitishwa ilihali idadi ya watu ilkuwa inaongezeka?? Huoni kama kuna mambo hayajakaa sawa hapo?
Ndy Nchi yetu Kaka na hii nikutoka na Sera za Elimu hapo Mwanzo ziliposhindwa kutambua Kipaji kama Ajira Rasmi Kwa wananchi wakeHii ni point pia. , Nchi yoyote duniani , unspokuwa na sekta binafsi dumavu haya ndio hutokea , uchumi wa sekta binafsi inabidi ukue ,kuzalisha na kutoa ajira za kutosha ,tofauti na hapo ni kilio tupu .
Serikali haiwezi meza majobless wote wa kitaa lakini haiwezi kwepa lawama pia kwani kuna makosa ya kurunda watu kitaa yalifanyika 2015 ,ajira zilikuwa hazitoki na zikitoka ni chache , ridiculously vyuo vinazalisha watu kila siku kwa idadi kubwa ,hapo mbanano kitaa lazima uwe wa hatari mno , kama ilivyo sasa .
Serikali pia waendelee kuchochea ukuaji wa uchumi hasa sekta binafsi , wawekezaji waje wengi kufungua makampuni na vitega uchumi vinavyotoa fursa za ajira bora kwa manufaa ya raia .Hata raia pia wa kawaida kufunguka kwa opportunities nyingine kuwepo . Atleast hili tatizo litaanza kupungua .
Leo hii ukitaka kuamini hali ni mbaya fanya research tu hata ya kubandika matangazo ya kampuni hewa ,we andaa tangazo sema kampuni flani tunatoa ajira mshahara laki mbili tunaajiri graduates wenye degree , halafu weka contacts hapo uone hilo nyomi lake sasa , hii ni implication ya jinsi hali hata ya uchumi wa mwananchi wa kawaida ilivyo mbaya mtaani
Tofauti na hapo ni kukimbizana na nyomi la utumishi na vimbwanga kama hivyo
Sasa hapa unajaribu kuongelea nn? Umalize miaka 5 huajiri utegemee ukija kuajiri utajiri wangapi? Kwa hyo la serikali ya JK kuajiri kila mwaka nalo unapinga?Ebu Kwanza njoo na Reference Unaweza kuwa unaajiri kila Mwaka lkn Idadi ya Nafasi ikawa ndg zaidi kuliko mtu anae Ajiri Kwa Interval ndefu
Km kuna Mwaka wowote TRA walishawai kusajir watu 1400+ (Tofauti na Mwaka Jana) na Bado Mwaka huu 400+ Ebu Lete tuone huo uzamani unaoongelea walikuwa Wana Ajiri kila Mwaka watu wa ngapi. (Unaweza kutangaza nafasi kila Mwaka Ila Idadi unayoitangaza ikawa ndg)
Mfano Ile Interview ya 2021(iliyofutwa) TMO tu waliitaji watu 22 (baadae zikafika 24 baada ya Kada 1 kuondolewa) na tuliokuwa Shortlisted tulikuwa ni 8000+(na hii Idadi kulikuwa na watu waliokuwa wameomba nafasi zote 2 TMO & CO).
Mwaka uliofata 2022 Interview ya mwezi wa 3(zilizotangazwa Mwezi wa 10 2021) TMO (Nafasi 294) pekee yake walikuwa shortlisted 5000+ (hapa wakajitahidi mtu Moja Kwa Kada Moja hakukuwa na mtu mwenye Sahili mbili km 2021)
Bado Mwaka huo huo interview ya mwezi wa 12 (zilizotangazwa Mwezi wa 4 2022) Idadi ya TMO (nafasi 184) waliokuwa shortlisted ni 12,000+ (Ongezeko zaidi ya watu 7000 na Bado utaratibu ulikuwa ule ule Kada Moja Kwa mtu Moja hakukuwa na Multiple Kada ) Kwa trend inavyoenda nahisi hata we utakubaliana na Mi kuwa;
Kuajiri kila Mwaka sio sababu ya Msingi bado narudi pale pale Miaka ya hv Karibuni Ushindani kwenye Nafasi za Kazi umekuwa Mkubwa Sana(kutokana na Idadi wasomi kuongezeka)
Mi Mambo ya JK sijui Chochote Miaka hiyo nilikuwa Advanced na wala sikupoteza muda kuangalia utaratibu wa Ajira ulivyokuwa (Kwa kuwa Taasisi zilikuwa zinaajiri na Kusimamia mchakato wenyewe)Sasa hapa unajaribu kuongelea nn??
Umalize miaka 5 huajiri utegemee ukija kuajiri utajiri wangapi??
Kwa hyo la serikali ya JK kuajiri kila mwaka nalo unapinga???
Sifa ya Mwanasiasa ni kuwa Muongo- itoshe kusema kwamba Jenista Joachim Mhagama ametoa taarifa za Uongo
Tangu juzi nilitaka nikuulizie ila nikakumbuka kuwa uko busy, nikatulia..Habari, nawasalimu kwa jina la Jamhuri, natumaini mpo poa na mapambano yaendelee, ubusy tu nmeshindwa kusoma texts zote, ni kama 3000+
Kwa kweli huu uzi uenziwe[emoji4]
bora wairudishe utumishi......haki itakuwepo angalau kwa tusio na connectionHii Agency kuna fununu za kupelekwa utumishi full maana permanent employees wanajiriwa kutoka utumishi ila Contract employees ambao ndo asilimia kubwa wanaajiriwa direct na TANROADS
Tunajua mnahujumu serikali ya Samia ionekane imefeli , kuajiri vijana.serikali iliamua kutoka baada ya kuwa na upendeleo/undugunization.
wewe na serikali iliyoamua kuacha huo mfumo,nani ana akili?
kisa uko na mjomba somewhere unataka ifanyike vile unavyoona ili upate feva?
kama una uwezo pambana upate ajira,kinyume chake wacha watoto wa wakulima waende na mfumo huo,changamoto hazikosekani popote pale,huwezi kuwa na system iliyo 100%.
TATIZO liko utumishi (psrs).Ndio maana kuna taasisi zimetangaza nafas na watu wamepga interview then ndani ya week 3 tu unakuta mzigo tayari so psrs hawana tatizo ila inategemea na muajiri kwa wakat huo
Pelekeni ushetani wenu uko, mnakaa na placement miaka 2, mnaona aibu wenzenu Tanroad mambo yanaenda chachap vijana wanalamba asali hakuna mbamba Yan 😂,bora wairudishe utumishi......haki itakuwepo angalau kwa tusio na connection
Sent using Jamii Forums mobile app
MAana kwamba haukikidhi vigezo ndio maana haukuitwa kwenye usaili waoHii Agency kuna fununu za kupelekwa utumishi full maana permanent employees wanajiriwa kutoka utumishi ila Contract employees ambao ndo asilimia kubwa wanaajiriwa direct na TANROADS
Mzee wengi wape no one is support u...sidhni kama wazo lako lifanyiwa kazi...tuendlee tu kpmbna na psrsPelekeni ushetani wenu uko, mnakaa na placement miaka 2, mnaona aibu wenzenu Tanroad mambo yanaenda chachap vijana wanalamba asali hakuna mbamba Yan 😂,
HAta wewe uko apo kwa sababu, hakukuwa na ushetani ulioko saivi utumishiMzee wengi wape no one is support u...sidhni kama wazo lako lifanyiwa kazi...tuendlee tu kpmbna na psrs