HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sema nashangaa mnavyojaribu kuspin mambo ionekane tunaosema ajira zirudi kwenye mashirika yaajiri yenyewe ndo tuna connection kule...
Swali mnaloshindwa kutujibu hadi sasa ni je wakat haya mashirika kabla ya 2015 yakitangaza yenyewe malalamiko ya ajira na walokuwa wanapata ajira kule walkuwa na wenye connection?? Je watoto wa maskini hawakuwa wakipata ajira kule kulingana na uwezo wao?? Nenda vyuoni malecturers wengi na watumishi wengi walokuwa wanaajiriwa moja kwa moja ni kwa connection bila kujali sifa zao??
Nyie hamwoni hata ufanisi wa haya mashirika ni hafifu hivi sasa kisa kukosa wafanyakazi maana unakuta ofisi inahtaji watu labda 10...wanaomba kibali huko utumishi wanaletewa wawili hizo nane znakuwa filled na nani sasa??? Wakat yangekuwa yanatangaza yenyewe idadi inayotakiwa ndo inayoajiriwa ila utumishi utasikia sjui bajeti haitoshi....masababu kbao maana inahudumia sehemu nyingi mno kiasi kwamba nao wanaelemewa na mamizigo ya usaili na kupangia watu kazi...
Mm wakat nakuja kuanza chuo hali ilokuwepo enzi hizo ni wengi wanaomaliza chuo kazi zilkuwa nje nje...sasa hv hali imefikaje fikaje hapa??????

Daah sasa nimegundua kuna mambo madogo madogo bado hujayafahamu mkuu lakini usijali naweza kukudokeza kwa miaka yangu michache niliyokaa kwenye utumishi.

Taasisi iajiri yenyewe au ipitie PSRS, kibali cha KMK ni lazima.

Idadi ya nafasi inategemea na ikama iliyoidhinishwa. Hii hutegemea wage bill ya serikali hasa kwa semi autonomous institutions.

Anaecontrol mchakato wa ajira unaofanywa na PSRS ni mwajiri. Yeye ndio anaamua how soon watu wataitwa depending na internal arrangements.

Kuruhusu taasisi ziendeshe saili ni kosa kubwa na mfano mzuri ni taasisi zinazoajiri zenyewe sasa hivi i.e BOT, Hazina umefanya interview zao ngapi??

Patience mkuu, your time will come na utalamba asali
 
Hv scenario za wanaoajiri wenyewe unazungumzia kuanzia 2015 au kabla ya 2015? Malalamiko kuhusu ajira na michakato yake aswa yameanza lini??
Huu uchwelewashaji huu kadiri unavyozidi kila uchwao inatufanya tuanze kuona utumishi na saili zao ni ubabaishaji tu.

Haiwezekani hadi unaita watu usaili halaf majibu yawe taratibu hazijakamilika...sasa uliita wa nn usailini? Au ndo kutest patience za watu...ieleweke hvyo

Halaf hii ya kutwambia eti muajiri anakuwa hajawa tyr kuna taratibu znakuwa znaendelea ndani huko..sasa kama alkuwa hajawa tyr kwann alipeleka ombi la kuhtaji watu utumishi?

Mpaka watu wanaitwa usaili inabidi mambo yote yawe yashakuwa tyr unless turudi kule unamaliza chuo unasepa zako kazin...hamuipendi hiyo? Iwe kama ile ya walimu na madaktari, bila hata kutuma maombi as long as rekodi zako znaonesha ushahitimu chuo unapangiwa zako shule au kituo cha afya, sema kwa tulivyorundikwa sas hv ni ngumu huu mfumo kurudi
 
Hv scenario za wanaoajiri wenyewe unazungumzia kuanzia 2015 au kabla ya 2015??
Malalamiko kuhusu ajira na michakato yake aswa yameanza lini??
Huu uchwelewashaji huu kadiri unavyozidi kila uchwao inatufanya tuanze kuona utumishi na saili zao ni ubabaishaji tu
Haiwezekani hadi unaita watu usaili halaf majibu yawe taratibu hazijakamilika...sasa uliita wa nn usailini?? Au ndo kutest patience za watu...ieleweke hvyo

Halaf hii ya kutwambia eti muajiri anakuwa hajawa tyr kuna taratibu znakuwa znaendelea ndani huko..sasa kama alkuwa hajawa tyr kwann alipeleka ombi la kuhtaji watu utumishi????
Mpaka watu wanaitwa usaili inabidi mambo yote yawe yashakuwa tyr unless turudi kule unamaliza chuo unasepa zako kazin...hamuipendi hiyo? Iwe kama ile ya walimu na madaktari...bila hata kutuma maombi as long as rekodi zako znaonesha ushahitimu chuo unapangiwa zako shule au kituo cha afya....sema kwa tulivyorundikwa sas hv ni ngumu huu mfumo kurudi

Lazima ushindane. Hakuna mtelezo kaka.

Halafu kazi za kwenda kwenda bila saili umegundua asali yake sio nzuri sana. Imagine daktari analipwa 1. 5 M kabla ya makato. Akikatwa katwa kodi hapo na bodi ya mikopo unakuta anakula 700k mwezi.

Ila ukipambana utumishi ukala chaka lako la WCF au TCRA etc mambo yanakua matamu.

Patience.
 
November 28-December 01/2022 waliobakia ni Hawa hapa......

ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC

Mbanti wakitoa SUA na OUT Ndio uni tag,Mimi nipo naumwa nimelazwa Ndio maana nipo kimya kidogo humu.
Nlkuw nishajiuliza umepotelea wapi?? Au ndo ushalamba asali umeniachia mzinga

Dooh pole sana mwanang......
Upone haraka
Keka likitiki lazima upone[emoji4]
 
Njaa ya muda mfupi isifanye akili ikasimama ikaacha kufanya kazi. Naelewa, ikiwa saili zitaanza kufanywa na taasisi, kuna watu humu wenye conection watanufaika. Lakini kwa maslahi ya wengi, PSRS waendelee maana ni kupitia hapo watoto wengi wa maskini wasio na connection yoyote wametoboa.

Wanufaika wa connection kwenye taasisi, acheni uchoyo na eleweni kuwa, leo una conection kesho connection yako haipo hivyo ni bora mazingira yakawa fair kwa kila mtu, mwenye connection na asiye nayo.
Ila aiseeeee
Tushakuwa wa njaaa njaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema njaaa hii + jua kali hili + kutokujua hatma yako ni ipi baada ya kufanya usaili unaelekea mwez wa 6....
Lazima akili isimame
Anyway patience
 
TANROAD utasikia nafasi zimetangazwa utaomba. Ila huwezi kusikia interview yeyote utashangaa tu watu wapo kazini
Ni mambo ya ajabu na ovyo kabisa ,hata TBA ,TBS pia wana system kama hiyo ,kuna watu wanalipwa kabisa mishahara mizuri tu kwa ajira za temporary huko ila mchakato wa kuajiri sasa ,ndio huo , Magumashi kama yote ,utazisikilizia kwenye bomba tu ndugu
 
Lazima ushindane. Hakuna mtelezo kaka.

Halafu kazi za kwenda kwenda bila saili umegundua asali yake sio nzuri sana. Imagine daktari analipwa 1. 5 M kabla ya makato. Akikatwa katwa kodi hapo na bodi ya mikopo unakuta anakula 700k mwezi.

Ila ukipambana utumishi ukala chaka lako la WCF au TCRA etc mambo yanakua matamu.

Patience.
Tunachotaka ni watoe results as soon as possible mara tu usaili wa mahojiano unapomalizika...

Warekebishe hii..hadi wanapoitisha watu kwenye usaili wahakikishe taratibu za kuja kuajiri watakaopenya zikamilike kwa muda mfupi sana....
Na.....knachoitwa kanzi data kitumike kweli kweli
Haiwezekani kwenye kanzidata upo na mainjinia kibao ila still unaendelea kutangaza kazi za mainjinia wenye sifa zilezile kama za hao walokwisha fanya usaili...sas mtu unahtaji watu kama wawili unatangaza tena ili waombe 200......(probability ya kulata hapa ni 0.005) aiseeee shughuli tunayo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wawe wanapewa tu hizo padiem hata kama hwafnyi usaili maana naona nazo zinchangia 🤣🤣 wapewe tuu hizo perdiem
 
Hoja ya sisi wakandwaji sio kuhamisha ajira kuzitoa PSRS ni PSRS kushindwa kutekeleza majukumu yao na kuacha raia na sintofahamu.

Kama Mkuu wetu anatoka hadharan na kulalamika kuwa mchakato umekuwa mchakato wewe unadhan sisi ambao ndio wahanga tuseme nn?

Tusiwasifie hata wasipostahili sifa kwa vile tu na sisi watu wa chini tunapata ajira,maana hata kabla yao watoto wa maskini pia walipata ajira kikubwa ni walikuwa wanajiandaa vipi,wengi tu tunawajua walilamba asali kwenye hizo taasisi nzuri na hao hao watoto wa maskini asilimia kubwa ndio wanaleta kujuana kwenye kupeana kazi kwa vile tu wanataka jamii yao na koo zao zijue kuwa wana fursa wanazo.

Hilo la utumishi kuchelewesha zoezi sio la kutetea ni la kuungana pamoja kupambana nalo maana hata miongozo yao ipo wazi na imeainisha kabisa jana niliwawekea kuwa mpaka imefika hatua kazi kutangazwa means kibali kutoka kwa KMK kimeshatoka kulingana na uhitaji na assessment iliyofanyika.hatuwezi kuwatetea kwa vile watoto wa masikini wamelamba asali ilihali majority wanawatengenezea masononeko na mawazo kwa muda wa takriban mwaka..mnaotetea hamjui tu situation mtu anapitia kusubiri placement.

Kuna mengi watu wanateseka nayo ila kwa nn wameanza na la placement..maana kuna la matokeo kutoka usiku kuna wengi tu ni wahanga lkn tutasemea wapi?mtu unafanya pepa hujui hili wala like usubiri matokeo hela yenyewe ya kula huna,matokeo wanatoa usiku ssa 5 na asubuhi unatakiwa asha rose bado mnasema tuwasifie tu kwa vile wao ni psrs na sio taasisi?

Hakuna nchi duniani zaidi ya Tanzania mchakato wa ajira ni mwaka mzima,kuna kitu hakipo sawa na inafanyika ni kucheza na mindset tu ya sisi vijana kwa pale wakipiga kelele inakuja placement ya page 3 au linafata tangazo lolote.ukitaka kujua kuna utani unafanyika angalia Mama alivyosema siku ile na mchana wake pdf ikatoka ila am sure hawakuwa tyr kuachia ile pdf ndio maana tunaambiwa na watetezi et kuhakiki vyeti 500 kazi ambayo inafanyika kwa siku mbili tu na ikaisha...means walizima moto upepo uishe.

Hatuwasemi kwa ubaya ila tu wanaachia watu magonjwa ya sonona na malalamiko,kwanza huu utaratibu wa kuchelewesha saili na placement haikuwa kawaida yao ni ka utaratibu wamekaanzisha tu hivi karibuni na watu wa kuwatetea wamewapata.
 
Kwanza wanaowatetea utumishi nadhan washalamba asali!
Sidhani kama kuna mtu ambae kasubirishwa mwezi wa 4 sasa halaf anaona ni kawaida

Yaan walofanya usaili mwezi Feb washapangiwa vituo vya kazi halaf ww wa Nov bado hueleweki kwenu na wala hatma yako hujaijua halaf uone ni kawaida.....

Something isn't right!
 
Tatizo humu mnawarahumu psrs bila kujua, wale hawatakiw kupata lawama zozote zile kwa sababu gan mfani trc ilitangaza nafas watu wakapga interview then walipopata ajira wakaenda kulipoti then wakaambiwa watapigiwa simu, wakakaaa home miez 3 bila kupigiwa simu.

Mashirika yanaomba vibali vya kuajiri so paka vije kutoka n mchakato unaweza kuta waliomba kipind hiko labda kwa matazamio yao walikuwa wamerenganjambo fulan so unakuta kibaki kmetoka hilo jambo limepita au limesogezwa mbele so inakuwa ngumu kuwaangiza mda mwingibe vbla vinatoka ila wanakuta wamelenga mwaka mpya wa fedha
 
Hv scenario za wanaoajiri wenyewe unazungumzia kuanzia 2015 au kabla ya 2015??
Malalamiko kuhusu ajira na michakato yake aswa yameanza lini??
Huu uchwelewashaji huu kadiri unavyozidi kila uchwao inatufanya tuanze kuona utumishi na saili zao ni ubabaishaji tu
Haiwezekani hadi unaita watu usaili halaf majibu yawe taratibu hazijakamilika...sasa uliita wa nn usailini?? Au ndo kutest patience za watu...ieleweke hvyo

Halaf hii ya kutwambia eti muajiri anakuwa hajawa tyr kuna taratibu znakuwa znaendelea ndani huko..sasa kama alkuwa hajawa tyr kwann alipeleka ombi la kuhtaji watu utumishi????
Mpaka watu wanaitwa usaili inabidi mambo yote yawe yashakuwa tyr unless turudi kule unamaliza chuo unasepa zako kazin...hamuipendi hiyo? Iwe kama ile ya walimu na madaktari...bila hata kutuma maombi as long as rekodi zako znaonesha ushahitimu chuo unapangiwa zako shule au kituo cha afya....sema kwa tulivyorundikwa sas hv ni ngumu huu mfumo kurudi
Mkuu umesomea afya au ualimu..
 
Back
Top Bottom