HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kufa kwa sekta binafsi kunachochea sana hili swala la upungufu ama ukosefu ajira ingawa c asilimia zte....Sekta binafsi ipo ktk Hali mbaya sana.....Yote kwa yote wafanyakazi wa utumishi wanaosimamia michakato ya ajira ni wachache sana....HAWATOSHI. Tutalaumu Kila siku
Sekretarieti ya Ajira
 
Sio Miezi 8 tu Mkuu zingine Hadi mwaka, Mfano ya TRA imechukua mwaka, mana nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwezi wa tatu interview ya oral watu wamekuja kuitwa mwaka huu na bado tu Mchakato hujakamilika, kweli Ajira ni mchakato.. just imagine
Enough is enough Sekretarieti ya Ajira .
Achilieni taasisi na mashirika wafanye usaili
 
Kwani huyo dogo aliajiriwa peke yake? si alipita pomoja na wenzie .

Mfano tanapa wanahitaji watu madereva 10, IT 4, wildlife conservation 20, , kwa hiyo uyo kigogo atamuweka mtoto wake bila kuwa na vigezo .
Wakati hayo majina na cv zao zitapitishwa kwenye bodi kwa ajili ya kuhakiki.

Na ndio maana huyo Mzee alimchukua dogo akam somesha apo mweka wildlife Ili akimaliza TU . Zitakapotangazwa nafasi . Amsaidi mwanae apate kazi .

Huyu dogo alipata kazi akiwa na vigezo vyote sio kama alibebwa TU. Na huyu Mzee ni mtu wakuigwa kwa sababu anajali familia yake

Alafu mbona kama unachuki na hili kabila👆😁
-
- sifa ya kupata kazi ni kufaulu interview
 
JAribu kufanya analysis
Bado ni imani na PSRS ukilinganisha na mapungufu waliyonayo.

Mambo yakihamishiwa kwenye taasisi tutaanza kusikia yale mambo ya zamani ambayo utasikia mtu kabla hajamaliza chuo tayari anasubiriwa na shirika/taasisi akaanze kazi.

Utajisikiaje uksikia hizo habari na ukakuta ni kweli halafu na wewe ulikuwa na sifa ya kupata hiyo nafasi.?
 
Mkuu huyo jamaaa ana connection kwenye hizi taasisi so anashindwa kupenya utumishi ndo maana anataka taasisi ziajiri zenyewe ila utumishi wapo fair Kwa asilimia kubwa sana
 
Raisi Samia akiruhusu taasisi na mashirika yafanye usaili. Kijana wangu utapata asali mapema sana.
Utakuwa unajichagulia wapi pa kwenda
Sisi wafariji na watia moyo hatutasita wala kushindwa kumtia moyo kwa lolote litakalotokea endapo mchakato ukirudi huko
 
Mkuu huyo jamaaa ana connection kwenye hizi taasisi so anashindwa kupenya utumishi ndo maana anataka taasisi ziajiri zenyewe ila utumishi wapo fair Kwa asilimia kubwa sana
Kama ni hivyo tunampinga wazi wazi.

Mtu wa namna hiyo hafai, endapo akija kupata mamlaka hatokuja kuwa muadilifu maana njia anayopitia sio ya haki wala kiadilifu
 
Kama ni hivyo tunampinga wazi wazi.

Mtu wa namna hiyo hafai, endapo akija kupata mamlaka hatokuja kuwa muadilifu maana njia anayopitia sio ya haki wala kiadilifu
Huu utaratibu uendelee tu hata Kwa miaka 4 ijayo mie Nina ndugu wanasoma na connection ya kazi Sina kimbilio ni wao wakapambane na mikando huko ndo naona Kuna haki kidogo aiseee
 
Huu utaratibu uendelee tu hata Kwa miaka 4 ijayo mie Nina ndugu wanasoma na connection ya kazi Sina kimbilio ni wao wakapambane na mikando huko ndo naona Kuna haki kidogo aiseee
Sio minne tu zaidi na zaidi ata 20 ijayo huku kwenye taasisi waendelee kusimamia zile za muda mfupi tu.

Kikubwa PSRS kufanyike maboresho kwenye rasilimali watu maana ina upungufu wa watumishi pia waongeze bidii kuharakisha mchakato
 
Sio minne tu zaidi na zaidi ata 20 ijayo huku kwenye taasisi waendelee kusimamia zile za muda mfupi tu
Kikubwa PSRS kufanyike maboresho kwenye rasilimali watu maana ina upungufu wa watumishi pia waongeze bidii kuharakisha mchakato
Sawa kabisa hii
 
Nguvu kazi ikiongezeka hata hizi za muda wapewe Sekretarieti ya Ajira huku kidogo unakuwa na matumaini ipo siku.
 
Oi nimeshuhudia Jobless (Mwalimu wng mwenyewe) kiuhalisia wa Muonekano wake uliakisi Maisha yake halisi na alikuwa na ufaulu nzuri na ana CPA Piah lkn hakuwai kupata Kazi (Before Utumishi) na alijitolea kuwa Mwalimu wa Masomo ya Biashara Advance baada ya kukataa tamaa

Lkn ujio wa Utumishi ni alifanya Interview Moja tu nakuramba kopo la Asali hii ilifanya niweke Imani kubwa Sana kwa PSRS kuwa Kuna nafasi kubwa sn kwenye Uwezo wa Mtu kupata Ajira na nafasi ndg kwenye Mambo ya mjuano

Kikawaida Binadamu tumeumbiwa kulalamika na hii isifanye tushindwe Kuona Mchango wa UTUMISHI? Hapo Unaweza kujiuliza Mwenyezi kwanini Placements nyingine zinawai baada ya Oral kufanyika (ndani ya Mwezi 1) uwenda kuna sababu ya hizo placements nyingine kuchelewa?

Lawama pekee nayoweza kuipeleka PSRS ni kutokutoa ufafanuzi wa sababu zinazofanya ucheleweshwaji wa Placements lkn sio Lawama nyingine. Wanajitahidi sana kutufanya watanzania wote tuwe Sawa

Sidhani Kwa wimbi kubwa lililopo la watu wa INTERNSHIPS km Taasisi Binafsi zingekuwa zinaajiri wangekosa Ajira lkn uzuri wa PSRS hao Intern tunafanya nao paper na tunaona roundi ya Kwanza(written) tu ambao hawakujianda wanaangukia Pua.

Narudia tena Taasisi Binafsi zikianza
Sio minne tu zaidi na zaidi ata 20 ijayo huku kwenye taasisi waendelee kusimamia zile za muda mfupi tu
Kikubwa PSRS kufanyike maboresho kwenye rasilimali watu maana ina upungufu wa watumishi pia waongeze bidii kuharakisha mchakato
TANROAD utasikia nafasi zimetangazwa utaomba. Ila huwezi kusikia interview yeyote utashangaa tu watu wapo kazini
 
Njaa ya muda mfupi isifanye akili ikasimama ikaacha kufanya kazi. Naelewa, ikiwa saili zitaanza kufanywa na taasisi, kuna watu humu wenye conection watanufaika. Lakini kwa maslahi ya wengi, PSRS waendelee maana ni kupitia hapo watoto wengi wa maskini wasio na connection yoyote wametoboa.

Wanufaika wa connection kwenye taasisi, acheni uchoyo na eleweni kuwa, leo una conection kesho connection yako haipo hivyo ni bora mazingira yakawa fair kwa kila mtu, mwenye connection na asiye nayo.
 
Sema nashangaa mnavyojaribu kuspin mambo ionekane tunaosema ajira zirudi kwenye mashirika yaajiri yenyewe ndo tuna connection kule...

Swali mnaloshindwa kutujibu hadi sasa ni je wakat haya mashirika kabla ya 2015 yakitangaza yenyewe malalamiko ya ajira na walokuwa wanapata ajira kule walkuwa na wenye connection?

Je watoto wa maskini hawakuwa wakipata ajira kule kulingana na uwezo wao?? Nenda vyuoni malecturers wengi na watumishi wengi walokuwa wanaajiriwa moja kwa moja ni kwa connection bila kujali sifa zao?

Nyie hamwoni hata ufanisi wa haya mashirika ni hafifu hivi sasa kisa kukosa wafanyakazi maana unakuta ofisi inahtaji watu labda 10...wanaomba kibali huko utumishi wanaletewa wawili hizo nane znakuwa filled na nani sasa?

Wakati yangekuwa yanatangaza yenyewe idadi inayotakiwa ndo inayoajiriwa ila utumishi utasikia sjui bajeti haitoshi....masababu kbao maana inahudumia sehemu nyingi mno kiasi kwamba nao wanaelemewa na mamizigo ya usaili na kupangia watu kazi...

Mm wakat nakuja kuanza chuo hali ilokuwepo enzi hizo ni wengi wanaomaliza chuo kazi zilkuwa nje nje...sasa hv hali imefikaje fikaje hapa?
 
Tulieni PDF nzito Leo ya database inatoka
Kidogo nkufuru kwa kuandika maneno fulani..
Sema roho mtakatifu kanishukia na kunambia weeee kijana tulia.....tulia kabisaaaaaa kama maji ya mtungini
Nami nmetulia[emoji4]
 
Kidogo nkufuru kwa kuandika maneno fulani..
Sema roho mtakatifu kanishukia na kunambia weeee kijana tulia.....tulia kabisaaaaaa kama maji ya mtungini
Nami nmetulia[emoji4]
November 28-December 01/2022 waliobakia ni Hawa hapa......

ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC

Mbanti wakitoa SUA na OUT Ndio uni tag,Mimi nipo naumwa nimelazwa Ndio maana nipo kimya kidogo humu.
 
Back
Top Bottom