HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.

1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.

Hii nimequote kwenye uzi wao,kwa kuwatetea ni kusema tu wamezidiwa na zoezi la mchakato maana inafika waajiriwa wenyewe hawajui wameajiriwa kwa mwaka upi wa fedha,mfano Mtu wa MDA&LGA kaomba kazi mwaka jana mwaka wa fedha ukiwa 2021/2022 kwa kuwa ilikuwa mwezi wa tano,ikapita mwaka mzima bila kuajiriwa na wakati wametoa kuwa tutaajili idadi ya watu kadhaa mwaka husika wa fedha yaan 2022/2023 then imagine mtu anakuja kuitwa kazi july 2023 wakati mwaka wa fedha ushaingia 2023/2024..maana yake kuna usanii flan unafanyika kuhadaa uma na ndio maana matamko ya idadi ya ajira yanakuwa tofauti kwa kila kiongozi,huyu atasema hivi na yule vike ilimradi tu washajua udhaifu wetu vijana ni kwenye kusikia kauli nzuri za idadi ya ajira zitakazotoka na sio uhalisia.
Kuna vitu vinatia hasira sana kwa sisi vijana wa hali za chini maana mvua kwenye kilimo imekuwa tabu sana tunaokaa vijijini tunajua,hatuumii sana kukosa ajira kwa vile kuna wenzetu wanapata na inatutia moyo bali tunaumia na ile kauli mchakato haujakamilika na hujui ipi ni nafasi yako kama msailiwa na hii ndio inaleta sintofahamu kwa sisi wasaka asali.muongozo wao wenyewe upo wazi kuwa mpaka wanaita watu kwenye usaili means kibali kimeshapita kuwa watu wanahitajika.

Ni bora kipindi kilichopita zilikuwa hazipo na zikitokea ilikuwa ni wiki mbili mpaka tatu placement tayr kuliko sasa hv tunavyofanyiwa mental torture.ipo siku kauli zao watu watazichoka.
Nimesoma hii text mpaka machozi yamenilengalenga
 
Hulka ya mtanzania sio msema kweli na mara chache kumjali alie chini...tuwe tu wavumilivu naamini serkali inaskia kilio cha vijana ktk hili suala la mchakto wa ajira kuchukua muda mrefu sna
 
Kuna watu still tuna reveived tulizoomba kz mwaka jana mwez wa 7 mpka leo kuitwa tu saili badoo ss kama zimefutwa waseme tu
 
Utaratibu wa Ajira ndugu yangu haupo kirahisi hivyo.. Serikalini kuna mambo mengi ya kuangalia kabla ya kufanya Slotting (kumuingiza mtu ktk Asali)

Sasa inategemea na taasisi.. TRA wapo wengi sana kuna mambo mengi ya kuangalia nitagusia kwa uchache.

1- Vetting
2- Academic Verification
3- Internal Placements (Ikumbukwe imepita mwaka mmoja tangia waombe hao watu hivyo kuna changes za uhitaji kulingana na kituo kimoja na kingine ukilinganisha na mwanzo).

Na pia zoez la kupangiw vituo mara nyingi wanaangalia huyo mtu Asili/mkoa wake (place of domicile) ni wapi?! Huko ndio itaku preference moja wapo ya kumpangia mtu kituo.

Mchakato wa ajira si mche

Lazim ripot isainiwe.. Lazim mtu apitishe ahakikishee
Umeulizwa mbona wengine wiki mbili placement tayari?
 
Ndugu hayo mapungufu unavyo yazungumza nikama ni kitu kidogo TU,
Kumbe ni majanga ,
mpaka Raisi wetu mpenda haki ameamua kuwa Sema hatharani .
Mjue mnaumiza watu wengi sana
Mimi naanza na kutoa rai(ushauri).

-Waaimarishe/waboreshe mfumo wa kuchambua maombi yanayotumwa, kama vipi ufanyike automatically ingawa watu wa
-Waongeze nguvu kazi(Rasilimali watu)
 
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.

1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.

Hii nimequote kwenye uzi wao,kwa kuwatetea ni kusema tu wamezidiwa na zoezi la mchakato maana inafika waajiriwa wenyewe hawajui wameajiriwa kwa mwaka upi wa fedha,mfano Mtu wa MDA&LGA kaomba kazi mwaka jana mwaka wa fedha ukiwa 2021/2022 kwa kuwa ilikuwa mwezi wa tano,ikapita mwaka mzima bila kuajiriwa na wakati wametoa kuwa tutaajili idadi ya watu kadhaa mwaka husika wa fedha yaan 2022/2023 then imagine mtu anakuja kuitwa kazi july 2023 wakati mwaka wa fedha ushaingia 2023/2024..maana yake kuna usanii flan unafanyika kuhadaa uma na ndio maana matamko ya idadi ya ajira yanakuwa tofauti kwa kila kiongozi,huyu atasema hivi na yule vike ilimradi tu washajua udhaifu wetu vijana ni kwenye kusikia kauli nzuri za idadi ya ajira zitakazotoka na sio uhalisia.
Kuna vitu vinatia hasira sana kwa sisi vijana wa hali za chini maana mvua kwenye kilimo imekuwa tabu sana tunaokaa vijijini tunajua,hatuumii sana kukosa ajira kwa vile kuna wenzetu wanapata na inatutia moyo bali tunaumia na ile kauli mchakato haujakamilika na hujui ipi ni nafasi yako kama msailiwa na hii ndio inaleta sintofahamu kwa sisi wasaka asali.muongozo wao wenyewe upo wazi kuwa mpaka wanaita watu kwenye usaili means kibali kimeshapita kuwa watu wanahitajika.

Ni bora kipindi kilichopita zilikuwa hazipo na zikitokea ilikuwa ni wiki mbili mpaka tatu placement tayr kuliko sasa hv tunavyofanyiwa mental torture.ipo siku kauli zao watu watazichoka.
TAASISI na mashirika wameshawatumia taarifa psrs siku nyingi sana.

Mpaka Raisi Samia anafikishiwa ujumbe kwamba utumishi wanasusua , NA Hali ikiendelea hivi nchi itakuwa na kelele nyingi kuelekea serikali yake .

Ni kama utumishi Wana hujumu juhudi za raisi wetu.
 
Mh sasa kwni raisi hawamudu hao utumishi?kama wanamhujumu mbona awatumbui?
 
Tunawaona PSRS wabaya kwa sasa ila mambo yakipelekwa huko, tutalia na kusaga meno
Wabakie tu sema waongeze ufanisi wko slow sana hakika...haiwezkn post 1 inachukua mieiz mpk 8 kukamilika mchakto IT IS NOT FAIR kwa kweli
 
TAASISI na mashirika wameshawatumia taarifa psrs siku nyingi sana.

Mpaka Raisi Samia anafikishiwa ujumbe kwamba utumishi wanasusua , NA Hali ikiendelea hivi nchi itakuwa na kelele nyingi kuelekea serikali yake .

Ni kama utumishi Wana hujumu juhudi za raisi wetu.
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.

Wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani, ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

It pains sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
 
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Mkuu alieshiba hamjui mwenye njaa haya maumivu wale wakandaje hua hawayagusi chochote na ndio maana hua wana majibu ya kifedhuli sna
 
Mh sasa kwni raisi hawamudu hao utumishi?kama wanamhujumu mbona awatumbui?
Ukiona mkuu mwenyewe anaibuka hadharan kulalamikia mchakato basi ujue kuna shida sehemu maana kama final say analalamika sasa sisi wasaka asali tutasemaje??
 
Back
Top Bottom