HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi Una ndg huko Taasisi Binafsi mbn umekomalia sn huko Bila Kujari Hali ya Sisi ambao tunategemea Mungu Pekee hatuna ndg yoyote ambae anaweza sema Kwa niaba yetu

Cha Muhimu PSRS waendelee na Jukumu Lao Wanamsaada Mkubwa sn Kucheleweshwa Kwa Placements ni kitu kdg tu madamu mlifanya interview mlishamaliza Majukumu Yenu Kwa Asilimia 90%

Sina Imani na Taasisi Binafsi kufanya Interview zake wenyewe naona kutakuwa na nafasi za mjuano Kwa kiasi kikubwa sn kitu kitachotunyima Raha si Watoto wa Wakulima zaidi ya Jembe hakuna anaetujua
Kwan kabla ya 2015 watu wasokuwa na connection walkuwa hawaajiriki? Yaaani kulkuwa na malalamiko mengi kama ilivyo sasa?

Maana hadi miaka hyo mashirika ya umma yalkuwa na uwezo huo na mambo yalkuwa poa tu na ajira zilitoka mno...matatzo yalianza mara tu baada ya kurundika watu mtaan halaf ajira nyingi zlipoanza kupitia utumishi
 
Kwan kabla ya 2015 watu wasokuwa na connection walkuwa hawaajiriki?
Yaaan kulkuwa na malalamiko mengi kama ilivyo sasa??
Maana hadi miaka hyo mashirika ya umma yalkuwa na uwezo huo na mambo yalkuwa poa tu na ajira zilitoka mno...matatzo yalianza mara tu baada ya kurundika watu mtaan halaf ajira nyingi zlipoanza kupitia utumishi
Oi nimeshuhudia Jobless (Mwalimu wng mwenyewe) kiuhalisia wa Muonekano wake uliakisi Maisha yake halisi na alikuwa na ufaulu nzuri na ana CPA Piah lkn hakuwai kupata Kazi (Before Utumishi) na alijitolea kuwa Mwalimu wa Masomo ya Biashara Advance baada ya kukataa tamaa

Lkn ujio wa Utumishi ni alifanya Interview Moja tu nakuramba kopo la Asali hii ilifanya niweke Imani kubwa Sana kwa PSRS kuwa Kuna nafasi kubwa sn kwenye Uwezo wa Mtu kupata Ajira na nafasi ndg kwenye Mambo ya mjuano

Kikawaida Binadamu tumeumbiwa kulalamika na hii isifanye tushindwe Kuona Mchango wa UTUMISHI? Hapo Unaweza kujiuliza Mwenyezi kwanini Placements nyingine zinawai baada ya Oral kufanyika (ndani ya Mwezi 1) uwenda kuna sababu ya hizo placements nyingine kuchelewa?

Lawama pekee nayoweza kuipeleka PSRS ni kutokutoa ufafanuzi wa sababu zinazofanya ucheleweshwaji wa Placements lkn sio Lawama nyingine. Wanajitahidi sana kutufanya watanzania wote tuwe Sawa

Sidhani Kwa wimbi kubwa lililopo la watu wa INTERNSHIPS km Taasisi Binafsi zingekuwa zinaajiri wangekosa Ajira lkn uzuri wa PSRS hao Intern tunafanya nao paper na tunaona roundi ya Kwanza(written) tu ambao hawakujianda wanaangukia Pua.

Narudia tena Taasisi Binafsi zikianza kufanya Usahili wao wenyewe sitokuja kuomba Kazi yoyote Ile nitakubali kuwa JOBLESS Miaka yng yote na nitatafuta Jembe na Shamba nikalimee ndy Fursa pekee iliyopo kwenye Mazingira yanayonizunguka
 
Mm binafsi siamin Kama Kuna database na Kama ipo kwa Nini wazir aseme afu hatuon kitu huwez kusema watu wote wametoka database kwa placements zilizotoka nooooo!!!
Usikute kwenye database hiyo idadi ya watu 1700+ hawafiki, Hivyo PSRS Wanavuta vuta muda na watu waliofanya hizi saili za karibuni kuja kujaziliza hizo nafasi.

Watu 1700+ ni nyomi la watu tulisichukulie poa...

Nawaza kwa sauti.
 
Usikute kwenye database hiyo idadi ya watu 1700+ hawalifiki, Hivyo PSRS Wanavuta vuta muda na watu waliofanya hizi saili za karibuni kuna kujaziliza hizo nafasi.

Watu 1700+ ni nyomi la watu tulisichukulie poa...

Nawaza kwa sauti.
shida ni je hzo nafasi 1700+zipo kwenye mataasisi au hazipo?
 
Hivi Una ndg huko Taasisi Binafsi mbn umekomalia sn huko Bila Kujari Hali ya Sisi ambao tunategemea Mungu Pekee hatuna ndg yoyote ambae anaweza sema Kwa niaba yetu

Cha Muhimu PSRS waendelee na Jukumu Lao Wanamsaada Mkubwa sn Kucheleweshwa Kwa Placements ni kitu kdg tu madamu mlifanya interview mlishamaliza Majukumu Yenu Kwa Asilimia 90%

Sina Imani na Taasisi Binafsi kufanya Interview zake wenyewe naona kutakuwa na nafasi za mjuano Kwa kiasi kikubwa sn kitu kitachotunyima Raha si Watoto wa Wakulima zaidi ya Jembe hakuna anaetujua
Na wewe mbona una itetea PSRS,

PSRS wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii na weledi lakini mzigo mpe mnyamwezi

PSRS~{wameelemewa na kazi}+{bureaucracy}
= Majobless vilio.✓

Acheni kujificha kwenye kivuli Cha kusema kua mnasaidia watoto wa wakulima masikini.
Hii kauli Naona mnaitumia sana
Hakuna mtoto wa masikini anaeweza kutoboa
 
shida ni je hzo nafasi 1700+zipo kwenye mataasisi au hazipo?
Hizo zipo ndo maana mama Jenista akazisema,

Coz kwa logic ya kawaida kwani yeye atapata manufaa gani kutupanga wasakatonge??

Kwani uwezo wa kukaa kimya bila kusema chochote alikuwa nao kabisa.
 
Na wewe mbona una itetea PSRS,

PSRS wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii na weledi lakini mzigo mpe mnyamwezi

PSRS~{wameelemewa na kazi}+{bureaucracy}
= Majobless vilio.✓

Acheni kujificha kwenye kivuli Cha kusema kua mnasaidia watoto wa wakulima masikini.
Hii kauli Naona mnaitumia sana
Hakuna mtoto wa masikini anaeweza kutoboa
Weka Wazi anaweza kutoboa wapi km PSRS mifano ni mingi sana
 
Ili kupunguza hiyo work load kwa nini suluhisho isiwe ni kuiboresha PSRS? Au kupunguza hiyo milolongo ya hatua mbalimbali huko huko serikalini...?

Najaribu kuwaza kuwa yaani utumishi wanawezaje tu for no reason wakae muda mrefu na majina ya watu wanaostahili kupangiwa vituo vya kazi?

Kwamba wanahitaji miezi kadhaa kufanya internal process zao?

Nachojua ni kuwa mchakato wa ajira unahusisha mamlaka mbalimbali...movement ya kutoka mamlaka moja kwenda nyingine ndiyo inaweza kuleta kuchelewa.

Najiuliza kama hawa wanaosubiri placements kwa zaidi ya miezi 6...kwamba utumishi ndiyo wanakwamisha mchakato wa wao kupewa vituo vya kazi? kwamba wamekaa na majina ya hao watu for no reason at all na hawataki kuyatoa..!

Ukisema mashirika, wizara na wakala wa serikali waajiri wenyewe ili kupunguza workload Utumishi...hapa tutakuwa tunarudi kule kule kwenye ukiritimba na connections ambazo mtoto wa masikini nafasi ya yeye kutoboa inakuwa ngumu.

kumbuka kuwa kila shirika, executive agency, wizara, LGA etc. kuna watu huko wanaojuana wao kwa wao kwanza kabla ya outsiders. Wataweka watu wao kabla ya wa nje kwani mamlaka ya kuajiri ni yao.

Chance za kupita wewe usiyemjua mtu huko wanakoajiri ni ndogo sana. Psrs kwa kiwango fulani inasaidia watu wasio na connections wapate ajira...kama wana mapungufu yaboreshwe.
Sasa Ili TATIZO la PSRS kuzidiwa na majukumu si mnalijua na ni la muda mrefu , mmefanya nn kupunguza Hilo TATIZO , usitake kujipakaza matope aisee.

Na usiseme kwamba PSRS imekomesha connection kwa 💯

Subirini hiyo database ya kubumba itolewe , Kuna watu watawekwa huko HAta hawajawai fanya oral Yan 😂.
 
Hiyo ya kusema taasisi na wafanye sahili wenyewe unataka wewe.

Mimi kama mmoja wa tuliopata mrija huku sekretarieti tunataka system ibaki kama ilivyo, maana watt wa maskini pia tunaona kabisa tunapata nafasi ofisi zenye asali ya kutosha.

Kama Bado unapambania kombe, kula sana msuli uwe unapita mchujo, jiandae vizuri oral na usisahau kumuomba MUNGU wako akusimamie, nafasi Yako itakuja tu.

Suala la taasisi ziajiri zenyewe ni BIG NO, humu najua Kuna wengi wenye ushuhuda wa kupata nafasi ofisi ambazo najua waliokuwa wanaona kama ni ndoto kuingia, lakini shukrani zao ziiendee Sekretariet
Wewe ni mkandaji 😁 toka kitambo, na sio kwamba eti ukipata job kupitia utumishi hii ya mlolongo mrefu,

Huo ushuhuda wako ni WA uongo una wahadaa wasaka mirija ya asali.
 
Back
Top Bottom