Yaani muajiria amruhusu psrs kutoa tangazo la ajira June, ifike November amruhusu aitishe usahili, wa written na oral, ichelewe placement mje mseme huyo mwajiri hawahitaji hao "ajira mpya", kuweni serious kidogo mnapoleta hoja humu.
[/QUOT😆😆😆 ,
Guys tusipotoshane japo utumishi kuna urasimu mwingi lkn mchakato wao sa sahili upo 90% fair. Taasisi zikianza kuajiri zenyew hizo ajira tutazisikia kweny bomba
Ndio maana Kuna jamaa kawauliza hawa watu kuna mtu alishaomba na kupata ajira za mkataba
Mfano shirika la ndege linahitaji wafanyakazi kadhaa.
Eg.Airplane maintenance 10.
Ivi shirika la ndege linaweza kuweka watu ambao hawajasomea hiyo fani, kisa ndugu.
Na ukumbuke cv za waombaji zinapitishwa kwenye bodi kwa uhakiki zaidi.
Uo mtazami wenu ufikirieni Tena ni majanga kwa taifa letu
Una mbuyu wa kukupigania kupata kazi huo mfumo ukirudishwa huko kwenye taasisi za serikali ndugu ? ,Tusijekulaumiana tena ,maana wabongo huwa hatuthamini kitu mpaka kikiondoka