HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hoja bado ipo palepale!!
Yaan watu hadi muwaambie waitishe usaili..waufanyishe huo usaili hadi ukamilike halafu tena wasubiri kibali cha kukamilisha taratibu za ajira??
Okay tuseme utumishi anasaidia kufanyisha usaili kwa niaba ya taasisi mbalimbali...je hizo taasisi hazina anae oversee utendaji wao wa kazi hadi waombe kibali cha ajira wapewe halaf usaili unamalizika anakuwa bado hajajiandaa bado??

Lawama bado zitaenda utumishi hata iweje..
Ndo maana hivi majuzi Rais alisema taasisi zikaajiri tu moja kwa moja maana taratibu za kupitia utumishi ni mlolongo kama hv tunavyolalamika hapa...na alisema mambo yanahtaji uharaka wao mpaka waanze vikao kao sjui nn[emoji2357][emoji2357]
Mfano
Usaili ulifanyika mwaka jana halaf hadi sasa watu hawajajua hatma yao...ila kuna walofanya usaili mwez Feb washapangiwa vituo...huoni kwa staili hii lawama na malalamiko hayaepukiki???
Ndo uone anaeamua matokeo yatoke haraka siyo utumishi bali ni mwajiri. Kuna waliofanya feb na wameshaitwa kazini means mwajiri anawahitaji haraka ila kuna waliofanya Nov mpaka sasa hamjaitwa means mwajiri bado hajawahitaji
 
Mkuu wewe unaelewa. Tatizo la mwajiri, lawama anapewa PSRS.

Naelewa frustration inayokuja hasa unapokua unasubiri pdf lakini wakuu inabidi tuelewe tu PSRS inafanya everything on behalf of the employer.

Hizi lawama za kuchelewesha placement zikitoka kwa mwajiri hapo itaanza kumake sense.
 
Laiti ningekua rais ningefumua uongozi mzima wa psrs kwanzia waziri naibu katibu hadi chini , wanazingua sana
Ungekuwa Rais, usingekuwa na shida ya ajira, wala watoto wako, wala wajukuu zako, wala wajomba zako, wala ndugu zako,wala marafiki zako na hata majirani zako.

Kwahiyo isingekuwa rahisi kujua huko PRSR kuna shida gani.

Hapa tulipo sisi, wenyewe hatujui tatizo linaanzia wapi

Mimi nadhani, waomba ajira, tupunguze matarajio.

Tutafute sehemu tujishikize, hii itasaidie kupunguza frustrations.
Maana frustratiins zinaharibu uwezo wa kufikiri.
 
Lkn kwani huu utaratibu si umekuwepo Magu akiwepo yeye mwenyewe?
Kwanza mama na madhaifu yake yote amejitahidi mno kuajiri ajiri kwa kiasi chake
kipindi cha magu kulikua hakuna connection na kujuana. psrs kuna makandokando mule. na bado wanachelewesha placements na wamedanganya umma kuwa wanaajiri watu 1760 mwezi wa pili kutoka database kumbe zilikuwa ni siasa tu.

mama afukuze wote achague watendaji kazi wengine kwenye ile wizara. hatuezi kubaki ofisini na watu walewale ambao wanafanya uzembe ule ule kila siku.
 
Ndo uone anaeamua matokeo yatoke haraka siyo utumishi bali ni mwajiri. Kuna waliofanya feb na wameshaitwa kazini means mwajiri anawahitaji haraka ila kuna waliofanya Nov mpaka sasa hamjaitwa means mwajiri bado hajawahitaji
Kwan utumishi kwa uzoefu wake haoni kama hili lishakuwa tatzo??
Kwann asigomeshe kufanyisha usaili hadi watu wanaorundikwa watoke wote??
Mbona mambo mengne ni marahisi wala hatahtaji kucompleketisha mno
Ndo maana Rais juzi alisema utumishi ni mlolongo.....taasisi zikamalizane na watu wanaowahitaji kwa uharaka kama ilivyokuwa awali......kabla ya 2015 malalamiko ya kazi hata kama yalkuwepo ila hayakuwa makubwa mno kama ilivyo sasa
Enzi hizo unamaliza chuo hata uspopata kazi serikalini still ulkuwa na uhakika wa kupambana na kitaaa...ona sasa hv tinavyolia lia humu na madegreee ambayo ni kama tushaona hayatusaidiii[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Hoja yangu ni mpaka kazi inatangazwa means mambo yote yashakuwa tayari....kama utayari unakuwa bado kwann usaili ufanyishwe?? Sjui kama unaipata hoja yangu kwa hapa
 
Mkuu wewe unaelewa. Tatizo la mwajiri, lawama anapewa PSRS.

Naelewa frustration inayokuja hasa unapokua unasubiri pdf lakini wakuu inabidi tuelewe tu PSRS inafanya everything on behalf of the employer.

Hizi lawama za kuchelewesha placement zikitoka kwa mwajiri hapo itaanza kumake sense.
Halaf hii hoja ya kutaka tuwalaumu waajiri/taasisi badala ya PSRS wenyewe bado inanifikirisha...

Ni nani amatoa kibali cha kuajiri kama sio kupitia utumishi??
Na wenye taasisi wao wanaitaarfu utumishi kwamba tunahitaji idadi ya watu kadhaaa....then utumishi ndo inafanya mchakato unakuja kupelekea haya tunayolalamikia sasa hivi

Spidi...spidi....spidi.....ipo chini mno!
 
Ndo uone anaeamua matokeo yatoke haraka siyo utumishi bali ni mwajiri. Kuna waliofanya feb na wameshaitwa kazini means mwajiri anawahitaji haraka ila kuna waliofanya Nov mpaka sasa hamjaitwa means mwajiri bado hajawahitaji
Yaani muajiria amruhusu psrs kutoa tangazo la ajira June, ifike November amruhusu aitishe usahili, wa written na oral, ichelewe placement mje mseme huyo mwajiri hawahitaji hao "ajira mpya", kuweni serious kidogo mnapoleta hoja humu.
 
Ndo uone anaeamua matokeo yatoke haraka siyo utumishi bali ni mwajiri. Kuna waliofanya feb na wameshaitwa kazini means mwajiri anawahitaji haraka ila kuna waliofanya Nov mpaka sasa hamjaitwa means mwajiri bado hajawahitaji
mashirika ya umma, wizara zote, local gava zina upungufu wa watumishi, kusema hajawahitaji sio sahihi
 
Kwani unaweza kutokea kwenye placement bila haujapigiwa simu au kutumiwa messages

Mbona hizi 👆 rushwa zipo utumishi mpaka Sasa ivi , Sema zinafanyika kwa usiri sana . Na nyie wakandaji hili mnalifahamu fika
Sidhan kama zipo maana kwa wasaka mrija wa asali ingekuwa hivyo nadhan kuna watu wangetumia gharama yoyote kulamaba asali kwa njia ya panya.

Japo ni kweli pale utumishi kuna muda unafikiria ni kama wamezipa shimo la panya kwa mkate.
 
Sidhan kama zipo maana kwa wasaka mrija wa asali ingekuwa hivyo nadhan kuna watu wangetumia gharama yoyote kulamaba asali kwa njia ya panya.
Japo ni kweli pale utumishi kuna muda unafikiria ni kama wamezipa shimo la panya kwa mkate
😄😄😄😄😄
wameziba Shimo la panya kwa mkate
 
Back
Top Bottom