HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa ungekuwa wewe ndio baba wa uyo mtoto ungekubali mtoto wako aangaike kitaa , ni vile TU nyie vijana wa juzi hamna exposure, subiri makae kidogo mtajua ukweli wa mambo ukoje
sasa utumishi wanatumia kanuni na taratibu za utumishi wwnunataka tutumie udugu urafiki na mahaba katika kupata kazi huoni ww hapo kihojiwa umewapataje watumishi unatakoswa majibu

wakativutumishi akiulizwa atasema ameita watu usaili wa mchujo waliofaulu wameingia usali wa mahojiano na waliofaulu pia ndio wakapangiwa vituo vya kazi?
 
Kipindi Cha jk , maisha ya mtanzania yalikuwa na maana sana. Vijana walikuwa wanapata job kirahisi TU.
labda ulikua na miaka mingapi wakat wa jk mana kulalamika watanzania hata kipindi cha jk watu walisema hela zimeshikiliwa na mafisadi

hata kusu maisha magumu watu wameanza kulalamika tangu enzi za jk

sema huwa tunasahau mapema sana binadamu
 
Utumishi wana mapungufu ila kurudisha ajira kwenye taasisi is a big mistake.

Mfano, taasisi nyingi zinaajiri on contractual terms kwa kutumia bajeti za ndani na asili wanafanya wenyewe kila leo lakini nani humu amepata??

TBS wanatoa internship kila mwaka, nani amepata humu??

Acheni utumishi waendelee na hiyo kazi. Hata kama huna connection, kunachokubeba ni uwezo wako
IMG_4914.jpg
 
Utumishi wana mapungufu ila kurudisha ajira kwenye taasisi is a big mistake.

Mfano, taasisi nyingi zinaajiri on contractual terms kwa kutumia bajeti za ndani na asili wanafanya wenyewe kila leo lakini nani humu amepata??

TBS wanatoa internship kila mwaka, nani amepata humu??

Acheni utumishi waendelee na hiyo kazi. Hata kama huna connection, kunachokubeba ni uwezo wakoView attachment 2535523
Mm nadhan concern kubwa na malalamiko makubwa ya vijana ni ucheleweshwaji wa michakato. Maana hadi kutangaza nafasi fulan ya kazi....na kyfanyisha usaili wa maandishi, vitendo na mwishowe usaili wa mahojiano ina maana kwamba uhitaj unakuwepo.

Sasa ya nini kumsubirisha mtu zaidi ya miezi mitatu hadi mwaka eti anasubiri matokeo ya kazi aloiomba kwa kisingizio cha eti mwajiri bado anaweka mambo sawa....sasa kama alkuw hajayaweka sawa kwann ilitangazwa na kufanyishwa usaili?

Jambo jingine ni hili la mmeitisha usaili fulani...unawahtaji watu 10...ila mlkuwa mmewaita 100...means mkichukua 10 mtabaki na 90...kwann ikitokea kazi nyingine ya aina hiyo hiyo msiwatumie hao hao 90 mlobakia nao? maana hadi wanaitwa kwenye usaili wa awali uwezekano wa yeyote kati ya wanaoitwa kupata upo sawa kabisa...anyway
 
Mm nadhan concern kubwa na malalamiko makubwa ya vijana ni ucheleweshwaji wa michakato
Maana hadi kutangaza nafasi fulan ya kazi....na kyfanyisha usaili wa maandishi, vitendo na mwishowe usaili wa mahojiano ina maana kwamba uhitaj unakuwepo
Sasa ya nini kumsubirisha mtu zaidi ya miezi mitatu hadi mwaka eti anasubiri matokeo ya kazi aloiomba kwa kisingizio cha eti mwajiri bado anaweka mambo sawa....sasa kama alkuw hajayaweka sawa kwann ilitangazwa na kufanyishwa usaili??
Jambo jingine ni hili la mmeitisha usaili fulani...unawahtaji watu 10...ila mlkuwa mmewaita 100...means mkichukua 10 mtabaki na 90...kwann ikitokea kazi nyingine ya aina hiyo hiyo msiwatumie hao hao 90 mlobakia nao??maana hadi wanaitwa kwenye usaili wa awali uwezekano wa yeyote kati ya wanaoitwa kupata upo sawa kabisa...anyway

Mkuu,

Utumishi wanafanya saili kwa niaba ya muajiri (taasisi) ambaye yeye anaoversee the process. Kuna taratibu kadhaa zinabidi zikamilike kabla hawajaita kazini na na hii iko mikononi mwa mwajiri mfano: kibali cha idhini ya mshahara kutoka hazina na taratibu nyingine za kiutawala.

Mfano, hawa TRA waliotoaga nafasi nyingi sana last year then wakazihold. Anaeamua kuhold nafasi sio utumishi, ni mwajiri kwa maelekezo ya KMU.

Kuhusu kuchukua watu 90 waliobaki, utaratibu wa database unatumika. Nadhani labda tukubali kuwa usaili unaoamua nani apate kazi nani asipate ni oral interview na haina maana kwamba ukifaulu written ukaenda oral, uko eligible kuipata hiyo kazi.

Ndio maana, kuna readvertisement, yani watu wote walio fika oral, hakuna aliyemeet vigezo

Najua kuna mapungufu kadhaa lakini still utumishi is our best shot
 
Mkuu,

Utumishi wanafanya asili kwa niaba ya muajiri (taasisi) ambaye yeye anaoversee princess. Kuna taratibu kadhaa zinabidi zikamilike kabla hawajaita kazini na na hii iko mikononi mwa mwajiri mfano: kibali cha idhini ya mshahara kutoka hazina na taratibu nyingine za kiutawala.

Mfano, hawa TRA waliotoaga nafasi nyingi sana last year then wakazihold. Anaeamua kuhold nafasi sio utumishi, ni mwajiri kwa maelekezo ya KMU.

Kuhusu kuchukua watu 90 waliobaki, utaratibu wa database unatumika. Nadhani labda tukubali kuwa usaili unaoamua nani apate kazi nani asipate ni oral interview na haina maana kwamba ukifaulu written ukaenda oral, uko eligible kuipata hiyo kazi.

Ndio maana, kuna readvertisement, yani watu wote walio fika oral, hakuna aliyemeet vigezo

Najua kuna mapungufu kadhaa lakini still utumishi is our best shot
Hoja bado ipo palepale!!
Yaan watu hadi muwaambie waitishe usaili..waufanyishe huo usaili hadi ukamilike halafu tena wasubiri kibali cha kukamilisha taratibu za ajira??
Okay tuseme utumishi anasaidia kufanyisha usaili kwa niaba ya taasisi mbalimbali...je hizo taasisi hazina anae oversee utendaji wao wa kazi hadi waombe kibali cha ajira wapewe halaf usaili unamalizika anakuwa bado hajajiandaa bado?

Lawama bado zitaenda utumishi hata iweje. Ndo maana hivi majuzi Rais alisema taasisi zikaajiri tu moja kwa moja maana taratibu za kupitia utumishi ni mlolongo kama hv tunavyolalamika hapa na alisema mambo yanahtaji uharaka wao mpaka waanze vikao kao sjui nini [emoji2357][emoji2357]
Mfano

Usaili ulifanyika mwaka jana halaf hadi sasa watu hawajajua hatma yao...ila kuna walofanya usaili mwez Feb washapangiwa vituo...huoni kwa staili hii lawama na malalamiko hayaepukiki?
 
Hoja bado ipo palepale!!
Yaan watu hadi muwaambie waitishe usaili..waufanyishe huo usaili hadi ukamilike halafu tena wasubiri kibali cha kukamilisha taratibu za ajira??
Okay tuseme utumishi anasaidia kufanyisha usaili kwa niaba ya taasisi mbalimbali...je hizo taasisi hazina anae oversee utendaji wao wa kazi hadi waombe kibali cha ajira wapewe halaf usaili unamalizika anakuwa bado hajajiandaa bado??

Lawama bado zitaenda utumishi hata iweje..
Ndo maana hivi majuzi Rais alisema taasisi zikaajiri tu moja kwa moja maana taratibu za kupitia utumishi ni mlolongo kama hv tunavyolalila hapa
Usaili ulifanyika mwaka jana halaf hadi sasa watu hawajajua hatma yao...ila kuna walofanya usaili mwez Feb washapangiwa vituo...huoni kwa staili hii lawama na malalamiko hayaepukiki???

I rest my case[emoji1545]
 
Hoja bado ipo palepale!!
Yaan watu hadi muwaambie waitishe usaili..waufanyishe huo usaili hadi ukamilike halafu tena wasubiri kibali cha kukamilisha taratibu za ajira??
Okay tuseme utumishi anasaidia kufanyisha usaili kwa niaba ya taasisi mbalimbali...je hizo taasisi hazina anae oversee utendaji wao wa kazi hadi waombe kibali cha ajira wapewe halaf usaili unamalizika anakuwa bado hajajiandaa bado??

Lawama bado zitaenda utumishi hata iweje..
Ndo maana hivi majuzi Rais alisema taasisi zikaajiri tu moja kwa moja maana taratibu za kupitia utumishi ni mlolongo kama hv tunavyolalamika hapa...na alisema mambo yanahtaji uharaka wao mpaka waanze vikao kao sjui nn[emoji2357][emoji2357]
Mfano
Usaili ulifanyika mwaka jana halaf hadi sasa watu hawajajua hatma yao...ila kuna walofanya usaili mwez Feb washapangiwa vituo...huoni kwa staili hii lawama na malalamiko hayaepukiki???
Kuna taasisi wameomba watu (kama wanne hivi) ilikuwa january, mpaka leo hao watu hawapelekwa ktk hiyo taasisi (Hawajaitwa kazini) na ni wa kuwachukua kutoka Database.. simply.

lakini hawa jamaa wamesizi tuu imepita mikeka mingapi hapa? kwanini wasiwapelekee hao watu (Ukizingatia hiyo kada ni ya chini watu wapo wengi rahisi kupatikana huko ktk kanzidata)
 
Wanasubiri wakae vikao...
Then ndo waamue wawachukue kwenye data base au waitishe upya usaili[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna taasisi wameomba watu (kama wanne hivi) ilikuwa january, mpaka leo hao watu hawapelekwa ktk hiyo taasisi (Hawajaitwa kazini) na ni wa kuwachukua kutoka Database.. simply.

lakini hawa jamaa wamesizi tuu imepita mikeka mingapi hapa? kwanini wasiwapelekee hao watu (Ukizingatia hiyo kada ni ya chini watu wapo wengi rahisi kupatikana huko ktk kanzidata)
Laiti ningekua rais ningefumua uongozi mzima wa psrs kwanzia waziri naibu katibu hadi chini , wanazingua sana
 
Back
Top Bottom