HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Siku zote lower your expectations, kuhusu database mi nona mtu usiipe matumaini ujipange na post zingine zitakazotoka.

Mfano mdgo ni nafasi za accounts assistant idara ya maji korogwe zilizotoka juzi, sidhani kama hakukuwa na watu wa kuwachukua database, maana November na December zimefanyika sahili za watu hao ASA, AICC jumlisha na WA TRA customs assistant na TMA wote imehusisha watu wa diploma za mambo ya accounting,
Hv hizi korogwe nafasi za account mtu mwenye degree inakubali akiomba ??
 
Wakifanya hivyo sisi tusiokuwa baba kantuma, taasisi hizo tutazisikia katika bomba tu kuanzia TCRA, TPDC,EWURA,TANAPA,TRA, TPA ,WCF n.k
Ajira duniani kote hazijawa zenye kutosheleza kwa raia wake, tupambane hivi hivi na utumishi kila mtu na riziki yake.

Competition ipo kila sehemu, Mpaka kupata safari za nje za kimasomo usaili upo ije kuwa katika kulamba asali?
Hii inaitwa survival of the fittest.
Kupata nafasi nje ya nchi kimasoma sio lazima , na wanaweka vigezo vyao mapema kabisa, na ndio maana hakuna malalamiko HAta siku Moja .

Ila hili la utumishi ni bureaucracy mbaya sana, Lina athiri vijana nchi nzima
 
Acha fikra za kijima , ajira ni haki ya Kila mtu awe mkulima , mfugaji, mvuvi.
Haya tukija usajili unafanyika udom na baadhi ya taasi udsm, mtoto wa mkulima wa alizeti kutoka apo singida nauli ya kwenda udsm go and return , pesa ya kukaa gest chakula nauli za bajaji au boda kipindi Cha usali

Niambie mpaka apo mzazi mkulima wa huyo mtoto atakuwa ametoa sh/? , Kumbuka inategemea Kuna sahili ngapi kama ni sahili 3 gharama nazo zinazidi.

Tuseme amefanikiwa kufika oral , akarudi home singida kusubiri majibu ya oral , mzazi mkulima wa huyo mtoto atakuwa ametoa sh.

Na bado akicheki status azieleweki,

Ukweli usemwe hakuna mtoto masikini wa mkulima anae toboa kwa urasimu uliokuwepo utumishi
Sekretarieti ya Ajira
 
Swali lake huyo bwana juu hapo mbona ni la kitoto sana eti expenses ambazo haziwi recognized katika kodi lakini kwa wahasibu zinaruhusiwa sasa mtu aliyesoma kodi atashindwaje kujibu kitu ambacho Act inamuelekeza ama kumpatia muongozo eti Poti?

Mwisho ila si kwa umuhimu mtu wa kodi anasoma sheria ambayo inamruhusu kujua field mbali mbali na namna wanavyofanya hesabu zao from Insurance companies to clubs,partnerships,trusties and others kitu ambacho mtu ambaye amepiga accounts bila CPA atapiga chafya tuu.
Mnabishana lakn tunakuja kulamba asali na wanasheria 😂😂😂
 
wanaleta siasa kwenye ajira, haya bhana
leo wapo kwenye semina ya siku tatu hawana habari
 
Maelezo meeengi, shule nyiiiiingi, kwenye panel chali[emoji23][emoji23][emoji23]


Hii energy muinvest toward the right destination, i.e panel
Kama wanajimwambafai apa unahisi kwenye panel watafanya nini zaidi ya kujimwambafai 😂😂😂
 
Na ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.

Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.

Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.

Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Kiukweli utaratibu huu ukirudi sidhani km nitaangaika kuomba Kazi tena ni Bora nitafute Jembe na Shamba nikalimee huko Kijijini mapema Kabisa
 
Kiukweli utaratibu huu ukirudi sidhani km nitaangaika kuomba Kazi tena ni Bora nitafute Jembe na Shamba nikalimee huko Kijijini mapema Kabisa
Ukiona mtu anapigia chapuo mfumo fulani ujue kabisa una manufaa kwake ya moja kwa moja. Tunajua kabisa hata huku Utumishi kuna mianya/watu kupata kazi kwa connection lakini haitakuwa sawa na huko mdau anakotaka.

Taasisi zikiruhusiwa kuajiri zenyewe basi watanufaika wenye ndugu tu lakini akina kajamba nani tutanyooka.
 
Ukiona mtu anapigia chapuo mfumo fulani ujue kabisa una manufaa kwake ya moja kwa moja. Tunajua kabisa hata huku Utumishi kuna mianya/watu kupata kazi kwa connection lakini haitakuwa sawa na huko mdau anakotaka. Taasisi zikiruhusiwa kuajiri zenyewe basi watanufaika wenye ndugu tu lakini akina kajamba nani tutanyooka.
Utumish hata km kuna makando kando ni kidg sn lkn huko Taasisi Binafsi hata Tangazo Unaweza usilione ni Bora huku tumeshuhudia Watoto wa Maskini wakipata nafasi na inatupa Moyo sn
 
Back
Top Bottom