mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
OUT mzigo tayariAisee kweli naona ni nzito kufunguka....
Labda kuna good news
OUT mzigo tayariAisee kweli naona ni nzito kufunguka....
Labda kuna good news
Duuuh huwa nasikia tu connection ila duuuh siamini maana huyo mtu akushikilie kuanzia written hadi oral kazi sana.japo kweli kuna watu unaona kabisa huyu alishikiliwa kufika pale sio yyUkiona mtu anapigia chapuo mfumo fulani ujue kabisa una manufaa kwake ya moja kwa moja. Tunajua kabisa hata huku Utumishi kuna mianya/watu kupata kazi kwa connection lakini haitakuwa sawa na huko mdau anakotaka. Taasisi zikiruhusiwa kuajiri zenyewe basi watanufaika wenye ndugu tu lakini akina kajamba nani tutanyooka.
Tuma hapaOUT mzigo tayari
WeeeeeeOUT mzigo tayari
Baada ya taarifa ya Mh kuhusu kanzidata nadhan ndio imeleta na jam kwenye web now days,maana unakuta wanaopitia ni wengiii sana.Aisee kweli naona ni nzito kufunguka....
Labda kuna good news
haha database haliexist!!Baada ya taarifa ya Mh kuhusu kanzidata nadhan ndio imeleta na jam kwenye web now days,maana unakuta wanaopitia ni wengiii sana.
Mbona hamna kitu mkuuuuOUT mzigo tayari
Mmmmh kwa uelewa wangu japo sio deep sana nafikiri utumishi hawahusiki na suala la kulipa watumishi mishahara kwabhiyo ishu ya ucheleweshwaji wa ajira inawezekana hata mlipaji ambae ni hazina anahusika na kibali cha kupitisha budget ya mishahara nafikiri kinatoka kwa General Secretay wa ikulu hadi rais alidhie pia hapo kwenye hiyo chainNa ndio maana mm nawaambia Kila siku waachie taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk TU.
Haya malalamiko ya ucheleweshaji ya ajira hayatakuwepo. HAmtaki kuelewa haya , vijana wenu wanazeekea nyumban.
Utumishi Hawana rasilimali (resources) za kukithi mahitaji ya wasaka mirija ya asali , na HAta atu walaumi ni kutokana na uchumi wetu.
Raisi Samia wewe ni mpenda haki , ruhusu taasisi na mashirika waajiri wenyewe , itasaidia sana kupunguza malalamiko haya, tunayoyaona sasa🙏
Haya na ww tukuulize swali mfano ngorongoro au TANAPA wametangaza ajira mtoto wa maskin au mkulima kutoka mtwara lindi au mbeya atapata wapi nauli ya kusafiri kwwnda hadi makao makuu ya hizo taasisi huko arusha?Acha fikra za kijima , ajira ni haki ya Kila mtu awe mkulima , mfugaji, mvuvi.
Haya tukija usajili unafanyika udom na baadhi ya taasi udsm, mtoto wa mkulima wa alizeti kutoka apo singida nauli ya kwenda udsm go and return , pesa ya kukaa gest chakula nauli za bajaji au boda kipindi Cha usali
Niambie mpaka apo mzazi mkulima wa huyo mtoto atakuwa ametoa sh/? , Kumbuka inategemea Kuna sahili ngapi kama ni sahili 3 gharama nazo zinazidi.
Tuseme amefanikiwa kufika oral , akarudi home singida kusubiri majibu ya oral , mzazi mkulima wa huyo mtoto atakuwa ametoa sh.
Na bado akicheki status azieleweki,
Ukweli usemwe hakuna mtoto masikini wa mkulima anae toboa kwa urasimu uliokuwepo utumishi
Ipo ndugu chamsingi unaambiwa uvuke kizingiti cha written tu. Ingawa siyo kwa ukubwa ambao utakuwepo tukienda kwenye huo mfumo mwingine ndiyo ambapo akina sisi tutaumia na kupigika sana bora tubaki hukuhuku tu maana hata matangazo ya kazi hatutayaona kabisa.Duuuh huwa nasikia tu connection ila duuuh siamini maana huyo mtu akushikilie kuanzia written hadi oral kazi sana.japo kweli kuna watu unaona kabisa huyu alishikiliwa kufika pale sio yy
Maombi yanatumwa kwa njia ya posta au barua pepe. Wakikuitaji wanakuita kwa ajili ya maojiano.haya na ww tukuulize swali mfano ngorongoro au TANAPA wametangaza ajira mtoto wa maskin au mkulima kutoka mtwara lindi au mbeya atapata wapi nauli ya kusafiri kwwnda hadi makao makuu ya hizo taasisi huko arusha??
nmekaa pale nasubiria jibu lako
Kwani unaweza kutokea kwenye placement bila haujapigiwa simu au kutumiwa messageBaada ya taarifa ya Mh kuhusu kanzidata nadhan ndio imeleta na jam kwenye web now days,maana unakuta wanaopitia ni wengiii sana.
Sio kweli , kama huna ndugu aliyesoma fani hiyo utaweza kumuweka .mmmmh kwa uelewa wangu japo sio deep sana nafikiri utumishi hawahusiki na suala la kulipa watumishi mishahara kwabhiyo ishu ya ucheleweshwaji wa ajira inawezekana hata mlipaji ambae ni hazina anahusika na kibali cha kupitisha budget ya mishahara nafikiri kinatoka kwa General Secretay wa ikulu hadi rais alidhie pia hapo kwenye hiyo chain
taasisi hazijazuiliwa kutangaza bali zinaajiri lkn in contract terms na wanalipa wao kama taasisi
hata za kudumu ukisema taasisi iajiri kama hamna hela ya kuwalipa mshahara kutoka hazina watu watachelewa tu kupangiwa viruo vya kazi
hitimisho Sekretarieti ya Ajira iendelee tu maana kwenye ma taasisi kuna vituko sana wanaajili kwa kuangaliana ndugu wa watumishi mule mule ndani ya taasisi either inaweza kuwa watu wa dini flan au kabila flan ambayo ni hatari sana hiyo
Ndio mpaka itokee , mpaka Raisi aongee ndio utaona placement zinatolewa kiroo mbaya , database za kuokotaokotaKwani unaweza kutokea kwenye placement bila haujapigiwa simu au kutumiwa message
Ase hapo ni Kazi Ila nahisi wanatoa taarifa kable au baada ya kutoa PDF ya placementNdio mpaka itokee , mpaka Raisi aongee ndio utaona placement zinatolewa kiroo mbaya , database za kuokotaokota
Anataka kuturudisha enzi zaUkiona mtu anapigia chapuo mfumo fulani ujue kabisa una manufaa kwake ya moja kwa moja. Tunajua kabisa hata huku Utumishi kuna mianya/watu kupata kazi kwa connection lakini haitakuwa sawa na huko mdau anakotaka. Taasisi zikiruhusiwa kuajiri zenyewe basi watanufaika wenye ndugu tu lakini akina kajamba nani tutanyooka.
Mkuu usiturudishe kuzimuSio kweli , kama huna ndugu aliyesoma fani hiyo utaweza kumuweka .
Na ukumbuke taasisi na mashirika zinazo bodi zinazo hakikisha Kila kitu Kiko sawa