Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 946
- 1,741
Kumbe ni ww...Hahaaaa mshua ananipigisha kazi zaidi ya manamba wa enzi za mkoloni mjerumani ,halafu mwamba nimepanga geto ,posho mpaka umkabe roba ya mbao ,haloo
Nyie
Ni huwa nacheka sana hili life sometimes .
Tucheke na kufurahi huku tukipambana ,hahaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee jana ndo ulitoa hyo statement
Ilinitouch mno