HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.

1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema

Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hata.
 
Ndo maana wanatusihi kama jina halipo kwa waliopangiwa kazi tambua hukufanikiwa au hukufaulu usaili...
Kwa hyo kazi zikitangazwa zingine weee omba tu[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
 
Yan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.

1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema

Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hata.
Kwa jinsi maisha yanavyotupiga lazima tujifariji dadangu bora kuishi hivyo kuliko kukosa tumaini kama bado uko kwenu na huna majukumu huwezi elewa hii feelings.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana na ndo ukute kuna watu wanakucompare na ulosoma nao ambao washatoboa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ambao hata hawakubahatika kuendelea na masomo
Wapo tu kitaani
Walishaoa
Wanatunza familia zao....
Wana miradi mingi tu wanaendesha
Yaaan ukiyawaza hayo yote unabaki unajiuliza hapa kuna kutoboa kweli jaman[emoji2357]
 
Yan mnaoweka matarajio kwenye database mna moyo sana.

1.hujui kama hata upo kwenye database
2.hujui watakua wanapachika kila nafas zikitoka or wataleta separate pdf
3. Hujui ni lin hata watatimizq walichokisema

Nawapongeza mna moyo sana,binafsi sidhan kama ningetilia maanan hata.
Subiri ukose utajua...sikuombei ukose
 
Ambao hata hawakubahatika kuendelea na masomo
Wapo tu kitaani
Walishaoa
Wanatunza familia zao....
Wana miradi mingi tu wanaendesha
Yaaan ukiyawaza hayo yote unabaki unajiuliza hapa kuna kutoboa kweli jaman[emoji2357]
Sometimes tunaonekana wazembe sana kumbe mazingira yetu na gharama za maisha kuacculate capital ya kukupeleka juu ni ngumu sana asee kiukweli utumishi kama mnatusikia vijana hasa sisi yatima, maskini tuzingatieni mi niko tayari hata kufanya kazi miaka miwili tu nikajiajiri nikawaachia nafasi wengine kama ntapata mtaji naotaka.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Unajua nin na wasubria MDA na ulisema hiyo ndo oral yko y kwanza
Huyu binti nahisi bado mdogo sana na pia hajawai kutana na challenges za maisha pia inaonekana ana Back up nzuri akikwama kidogo kuna watu wanajazia vinavyopelea bado ana mambo mengi sana ya kujifunza kuhusu maisha na harakati za kijana wa kitanzania.

Back
Top Bottom