Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Acha sifa za kishamba- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Acha sifa za kishamba- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Hakuna siku utamzidi wakili reasoning hata akiwa kilaza vipi, wakili atazidiwa na wakili mwenzie- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Wakili ambaye ukitaka talaka twende, umelawitiwa twende, umekatika mkono kazini twende, bima wanakuzingua twende, umefukuzwa kaz twende, unatuhumiwa uhujumu uchumi twende, umedhurumiwa ardhi twende, unadai mirathi twende, unataka kuacha kaz twende, jirani anapiga mziki mkubwa twende, umeshikwa na madawa ya kulevya twende etc wewe umzidi logic reasoning pamoja na arguments skills?!!! Jitafakari huyu atazidiwa na wakili mwenzie- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
- unadhani hivyo vitu Mimi sivijui?Hakuna siku utamzidi wakili reasoning hata akiwa kilaza vipi, wakili atazidiwa na wakili mwenzie
Wakili ambaye ukitaka talaka twende, umelawitiwa twende, umekatika mkono kazini twende, bima wanakuzingua twende, umefukuzwa kaz twende, unatuhumiwa uhujumu uchumi twende, umedhurumiwa ardhi twende, unadai mirathi twende, unataka kuacha kaz twende, jirani anapiga mziki mkubwa twende, umeshikwa na madawa ya kulevya twende etc wewe umzidi logic reasoning pamoja na arguments skills?!!! Jitafakari huyu atazidiwa na wakili mwenzie
Kuna PDF inashushwa 😊😊leo hola au vipi? Lkn naona kaweb kao kama kazitozito hivi. 😁😁😁😁😁
Case closed- unadhani hivyo vitu Mimi sivijui?
Doooh kwel naona nzito kufungukaaaaaaaWebsite ya utumishi ni nzito sana na haifunguki kwa Sasa. Bila shaka Kuna kitu kinafanyika sio bure[emoji2]
Sio kweliWanaweka pdf la mda na lga
10 mbs+Kuna PDF inashushwa [emoji4][emoji4]
Ukweli ni upi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]wanasafsha tu webUkweli ni upi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaah web imekua nzito,nikajua kwangu tuuleo hola au vipi? Lkn naona kaweb kao kama kazitozito hivi. 😁😁😁😁😁
Iko poa mda huuyaah web imekua nzito,nikajua kwangu tuu
Nam naona imefungukaImefunguka,hamna jipya
Hola😂😂
watupie pdf ya leo wakusubir tusubir wakufurah wafurahNam naona imefunguka
Wanacheza na akili zetu hawa
Hv hawaona web inavyotembelewa mno
Laiti kama wangekuwa na namna ya kujua misonyo ya vijana baada ya kukuta wanachowish kuona hakipo wangeleta PDF kama zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]