HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji23][emoji23][emoji23] tuliobahatika kuingia Kweny oral kuna kupa experience aisee [emoji23][emoji23]
Mfn.. unaulizwa swali linataka point 5 haliitaji kiingereza kingi ni just mention n go ,lkn unajikuta unajua point moja nyingine hola unafikiri UTATOBOA kwa kiingereza Cha kudanganya majibu hapo ,,wanachofanyaga wakandaji ni kujaza tu marks zao ,ukimaliza ni kukushukuru kwa muda wako[emoji23][emoji23]
ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."

Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.

Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.

Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.

Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.

Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
 
hongeraa, status ilikua inasomaje mkuu, maana nakumbuka ulisema ulichomokea kwenye data base?
 
Hongera sana, swali langu mm la kwanza tu nilijibu point 3 za uhakika na nikazielezea zote japo niliambiwa mention, by the time akija kustuka kusema just mention mi nishamaliza kuelezea. Ila sikuweza maliza tano zote😥😥😥😥.
 
Mambo ya riziki t hyo mkuu...unawez jibu zote na ukakosa kaz na unaweza ukajibu 2 ukapat kz pia
 
Back
Top Bottom