Mwangu1024
Member
- Feb 6, 2023
- 91
- 179
Alisema had kufikia mwishon mwa mwez wa pili watakuwa wametoa majina Zaid ya 1700 kutoka kwenye databasePDF si alisema kuanzia mwezi Wa pili na Kuendelea, tuendelee kuvuta Subra tu.
Alisema had kufikia mwishon mwa mwez wa pili watakuwa wametoa majina Zaid ya 1700 kutoka kwenye databasePDF si alisema kuanzia mwezi Wa pili na Kuendelea, tuendelee kuvuta Subra tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 daaah, njooon mtanikuta.Subiri tukija huko na sura ya kikazi ndio uje ukane sio wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kwenye usaili wetu wazanzibar tulikuwepo nao huu muungano haufaiTra Zanzibar walikuwa na usaili wao tofaut na huu wa kwetu pia placement ya kwanza wao hawakuitwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] tuliobahatika kuingia Kweny oral kuna kupa experience aisee [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kaka sisi tulioongoza oral unajua tunajisikiaje now.
We unawasanifu jobless ,we mtumishi ORCI ,kwenda zakoTulioongoza oral tutakua na kikao keshooo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️, hawawez kukuamin mm ni jobless mwenzao na wanalijua hilo.We unawasanifu jobless ,we mtumishi ORCI ,kwenda zako
Hongereni wote mliopata nafasi ya Mrija wa Asali, mkawe watumishi wema.Hiyo hapo TAEC n.kView attachment 2531554
Kwa sahili za teaching lugha inaangaliwa nadhani Maana kuna kufanya presentation ,,lkn kwa kada za non-teaching sahili zake nyiingi nadhani hazihitaji kiingereza sana ni mfn give us 5 points of .... Zen twende swali jingine Ujikute unajua points mbili ,wao wanataka at least 5 points .. ndio utajua itakuwa na Matumaini ya angalau kupata au kupigwa koNdio vile vile hata mimi nilivyosema hapo uwezo wa kuelezea mambo au kwa lugha nyingine maswali yanayoulizwa , na pia lugha ina matter sasa unafika kwenye interview unabwata broken mbovu sana kwenye panel hata ambayo haieleweki ,hapo si unakuwa kituko mkuu ? ,maana hata swali lenyewe utakuwa unabwata tu hawakuelewi unaongea kiyunani au kiingereza mkuu ,so kama nilivyosema ,usahihi wa majibu na matumizi ya lugha , sasa unataka uajiriwe TPDC kama Engineer wakati hata kujieleza kwa Basic English huwezi , inawezekana kweli ?
Hapo umeandika nini mkuu?! Tangazo la ajira halikua limeainisha namna hii walivolitekeleza. Usaili umefanyika mmoja, katika tarehe zile zile. Hapo wamepewa tu favour.Tra Zanzibar walikuwa na usaili wao tofaut na huu wa kwetu pia placement ya kwanza wao hawakuitwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tulioongoza oral tutakua na kikao keshooo.
[/QUOHahaaaa ,kwamba unakula sungunyo au sio ?Kwa sahili za teaching lugha inaangaliwa nadhani Maana kuna kufanya presentation ,,lkn kwa kada za non-teaching sahili zake nyiingi nadhani hazihitaji kiingereza sana ni mfn give us 5 points of .... Zen twende swali jingine Ujikute unajua points mbili ,wao wanataka at least 5 points .. ndio utajua itakuwa na Matumaini ya angalau kupata au kupigwa ko
Hongera sana mkuu, ukawe Mtumishi mwemaNamimi nimetoboa Taec , Mungu mkubwa , nimeona aiseee ,Dah ! Nimetoboaaaa Utumishi ,
Hahaaaa nimetoboa kwenye ndoto lakini , ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85] heheeee
Hongera sana mkuu kwa kulamba asali huko, hiyo ni taasisi nzuri sana.Jaman nahitaji mtu aliyeitwa TGDC tuwasiliane tafadhali kama yuko dodoma au mkoa wowote tanzania mimi nipo dodoma..
Sawa boss wangu ngoja tusubiri asaliNtio ntiooo,sema august umetupeleka mbali sana boss,em tujinenee mema around May/June jikeka litatemwa
Ni kweli lkn je placement ilikuwa na watu waliopangiwa ZanzibarHapo umeandika nini mkuu?! Tangazo la ajira halikua limeainisha namna hii walivolitekeleza. Usaili umefanyika mmoja, katika tarehe zile zile. Hapo wamepewa tu favour.
Pole sana mkuu, una nafasi yako special, muda bado haujafika, kuwa na subira, utafurahi muda ukifikaMrejesho
Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.
status kwenye web na app; selected for oral interview.
nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.
Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.
nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], huu muungano umekaa kimtegomtego aiseeeLakini kwenye usaili wetu wazanzibar tulikuwepo nao huu muungano haufai
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], huu muungano umekaa kimtegomtego aiseee