HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wengi wameza madesa huwa si wazuri sana kwenye kutema ung'eng'e na kuelezea mambo , so ni kawaida kukuta mtu kapiga 90 written by the way maswali mengi ya utumishi si competence based ,ni madesa tu ya darasani so wahamiaji wa madesa wanaweza otea na kubonda hata 90 ila oral kama hauko vizuri una umbuka
Shida sio ung'eng'e shida ni je maswali unayouulizwa majibu utatoa sahihi au yanakaribia usahihi ??

Maana unaweza kuwa na kiingereza chako ukapigwa swali ujajiandaa kukutanalo majibu yakutafuta Kenya au marekani kiingereza hakitakusaidia ,,Mtu kufaulu interview ni umekutanaje na Maswali na umejibuje yaani swali unapigwa na majibu at least unayajua vzr ,sio majibu ya kutafuta

TUISHI HUMU [emoji41][emoji41]
 
Kumbe ? ,Basi yaweza kuwa na hitilafu ,uchunguzi ufanyike
Sijamanisha kwamba hawapo sahihi, ila nawaza kama ni lengo la ku m protect kila aliefanya usaili ashushe pressure ya oral, kama uliperform kwa kiwango cha juu, tunakuvusha oral halafu tunakupa marks ndogo kuondoa overconfidence, na kama ulipata marks ndogo ila una passmark ya kuongia oral, tunakuongezea coz lazima unajua hukufanya paper fresh, so paper ikirud upo na marks za juu, utaingia unajiamin oral,

So kila mtu anakuwa ame protectiwa kwa aina yake.

Its just a theory in my head.
 
Mfwende lipdf la akina Mbaruku na makame limetokea tena , hahaaaa bila shaka utakuwa unakumbuka ngumi mpepeso ya uhamiaji kwa akina makame na lipdf lso la mchongo
hahaa hao jamaa kama sio makame hutoboi ,degree holders ndio kabisa ila mwanaume lazima ukaze,hakuna kukata tamaa
 
Hahaaaa , hali mbaya mzee kitaa ,wengine tumejishikiza kwenye vibiashara vya wazee , ila wazee wengine mabandidu sana kama wangu ,mzee bahili ,katili ananitreat kama cheap labour flani hivi, unakuta unapiga mzigo kuliko wafanyakazi wake aliwaajiri halafu wewe hata posho kukupa mpaka umkabe ,nyie [emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85][emoji85], sijui ananionaje aisee , upepo wenyewe wa biashara ndio huo wa kusuasua ,basi tafrani tupu .
Sasa imagine mtu hana hata mishe na anapata mapacha wa nne si balaa hilo .
Tupambane na utumishi
Doooh....
Mabandidu
 
Sijamanisha kwamba hawapo sahihi, ila nawaza kama ni lengo la ku m protect kila aliefanya usaili ashushe pressure ya oral, kama uliperform kwa kiwango cha juu, tunakuvusha oral halafu tunakupa marks ndogo kuondoa overconfidence, na kama ulipata marks ndogo ila una passmark ya kuongia oral, tunakuongezea coz lazima unajua hukufanya paper fresh, so paper ikirud upo na marks za juu, utaingia unajiamin oral,

So kila mtu anakuwa ame protectiwa kwa aina yake.

Its just a theory in my head.
@Wkingz hapo ni Kila mtu ashinde mechi zake haijarishi uliongoza au ukilipata pass ,,je kudefend ability yako umeamkaje na kukutana na Maswali ya oral ,,yamekuona au yamekupita kushoto
 
@Wkingz hapo ni Kila mtu ashinde mechi zake haijarishi uliongoza au ukilipata pass ,,je kudefend ability yako umeamkaje na kukutana na Maswali ya oral ,,yamekuona au yamekupita kushoto
kama umenielewa theory yangu hapo juu na maanisha kuwa hawa wenye marks ndogo wapo vizur kuliko wenye kubwa, ndomana humu scenario nyingi wenye kubwa huwa wanazingua.
 
@Wkingz hapo ni Kila mtu ashinde mechi zake haijarishi uliongoza au ukilipata pass ,,je kudefend ability yako umeamkaje na kukutana na Maswali ya oral ,,yamekuona au yamekupita kushoto
Ila kila mtu anashinda mechi zake ibaki ivooo.
 
Shida sio ung'eng'e shida ni je maswali unayouulizwa majibu utatoa sahihi au yanakaribia usahihi ??

Maana unaweza kuwa na kiingereza chako ukapigwa swali ujajiandaa kukutanalo majibu yakutafuta Kenya au marekani kiingereza hakitakusaidia ,,Mtu kufaulu interview ni umekutanaje na Maswali na umejibuje yaani swali unapigwa na majibu at least unayajua vzr ,sio majibu ya kutafuta

TUISHI HUMU [emoji41][emoji41]
Ndio vile vile hata mimi nilivyosema hapo uwezo wa kuelezea mambo au kwa lugha nyingine maswali yanayoulizwa , na pia lugha ina matter sasa unafika kwenye interview unabwata broken mbovu sana kwenye panel hata ambayo haieleweki ,hapo si unakuwa kituko mkuu ? ,maana hata swali lenyewe utakuwa unabwata tu hawakuelewi unaongea kiyunani au kiingereza mkuu ,so kama nilivyosema ,usahihi wa majibu na matumizi ya lugha , sasa unataka uajiriwe TPDC kama Engineer wakati hata kujieleza kwa Basic English huwezi , inawezekana kweli ?
 
Ndio vile vile hata mimi nilivyosema hapo uwezo wa kuelezea mambo au kwa lugha nyingine maswali yanayoulizwa , na pia lugha ina matter sasa inafika unabwata broken mbovu sana hata ambayo haieleweki si unakuwa kituko mkuu ,maana hata swali lenyewe utakuwa unabwata tu hawakuelewi unaongea kiyunani au kiingereza mkuu ,so kama nilivyosema ,usahihi wa majibu na matumizi ya lugha , sasa unataka uajiriwe TPDC kama Engineer wakati hata kujieleza kwa Basic English huwezi , inawezekana kweli ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kaka sisi tulioongoza oral unajua tunajisikiaje now.
 
Mrija wa asali thread

Wale MDA na LGA tumekubaliana kwamba lipidiefu letu mpaka mwezi wa nane si ndio ?? Basi sawa.
Hongereni kwa mliopata asali
 
Kama Wasomi tujipange kupaza sauti endapo hawa jamaa hawajaita watu mpk kufika tarehe 2/3/2023.

Tutumie platforms za social media kuchagiza hili swala.

Na CHADEMA sijui yanakaaga wapi huu ndii muda wa kuchukua point 3.. Wapige spana.
Kuwa mtulivu ndugu kwa nafasi utapewa kwanza ni privilege sio kwamba ni HAKI.
 
Back
Top Bottom