HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama Wasomi tujipange kupaza sauti endapo hawa jamaa hawajaita watu mpk kufika tarehe 2/3/2023.

Tutumie platforms za social media kuchagiza hili swala.

Na CHADEMA sijui yanakaaga wapi huu ndii muda wa kuchukua point 3.. Wapige spana.
Why CDM sasa na sio SISIEM wenyewe kupaza sauti kwa ajili yetu vijana??
 
Nilifanya written nikarudi dar, nikaitwa oral nikarudi dodoma usiku usiku, nikikumbuka nilishinda njaa pale rose migiro, pambana sana na panel wasihisi mimi kilaza. Imepita miezi 9 bila placement kutoka...nahitaji mwanasaikolojia
Mhhhhh basi hapo wa miezi mitatu inayokamilika kesho tutulie kabisaaaaaaaa
Tuache mchecheto
 
Nilifanya written nikarudi dar, nikaitwa oral nikarudi dodoma usiku usiku, nikikumbuka nilishinda njaa pale rose migiro, pambana sana na panel wasihisi mimi kilaza. Imepita miezi 9 bila placement kutoka...nahitaji mwanasaikolojia
Duh miezi 9 mzee hapo si washaotwa watu kzn em fuatilia huo muda ni mrefu sn
 
Nilifanya written nikarudi dar, nikaitwa oral nikarudi dodoma usiku usiku, nikikumbuka nilishinda njaa pale rose migiro, pambana sana na panel wasihisi mimi kilaza. Imepita miezi 9 bila placement kutoka...nahitaji mwanasaikolojia
Post gani,kada gani,mlifanya pini?em taja tukusaidie kufukunyua huenda walishaitwa
 
nyie mnahesabu vipi wenzangu mi mbona naona 1769 zimefika
Zmefikaje sas
Hao sio waloomba ajira na ndo wanaitwa wengi wao

Walioko kwenye kanzi data sasa ndo walete keka lao si hawa wanaochomekwa chomekwa kwenye hizo ambazo zlikuwa zishatangazwa

Kwa maana hiyo hakukuwa na haja ya kuviongea mubashara maana kama ni hvyo hata kabla ya kuongea kila tangazo lao lilikuwa lnasema wanajumuishwa na wa kwenye kanzi data
 
Hahaaaa ,Kwamba wapige spana au sio ? , Ila huyo mwamba aliyepata mapacha wa nne huyo ,afunge kizazi kabisa la sivyo litamkuta jambo mara ya pili ,heheee jobless atapata mapacha wa nne mara ya pili huyo , na kitaa kulivyo kugumu huku lazima awe mwehu .
Jobless unapata wapi ubavu wa kupata mapacha? ,,😃😃😃😃
 
Nilifanya written nikarudi dar, nikaitwa oral nikarudi dodoma usiku usiku, nikikumbuka nilishinda njaa pale rose migiro, pambana sana na panel wasihisi mimi kilaza. Imepita miezi 9 bila placement kutoka...nahitaji mwanasaikolojia
the same scenario
 
Back
Top Bottom