Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 946
- 1,741
Ungesahau zingine ila sio RUWASA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kesho wadau naona kama harufu ya asali, wiki nzima hii ya kesho mapidiefu ya asali natumai yatatolewa.
Hemu tusaidiane kuorodhesha taasisi zote tulizofanya usaili ambazo tayari zishapitiwa na mwezi au zaidi ya mwezi tokea tufanye oral naanza [emoji116]
#CPB
#TAEC
#NEMC
#TPDC
#OUT
#MoF
#MWAUWASA
#
#
#