Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
- hamna jipya, Katiba mpya ndio solutionMheshimiwa mpya View attachment 2530527
- hamna jipya, Katiba mpya ndio solutionMheshimiwa mpya View attachment 2530527
Hata ninyi navyo ilichukua kama mwezi hivi kuitwa.Watu wa TRA msipate pressure, mbona ni utaratibu wa kawaida na hujaanzia kwenu kuna akina Ahmet mashuhuda wa hilo Mwifwa na wengineo wengi tu baada ya kupewa barua waliambiwa watapigiwa simu, na wakapigiwa kun wengine wamesubir hadi miezi miwili kupigiwa simu nyie hata mwezi hamja maliza, mi naona mtulie waweke mambo sawa, as long ushatokea kwa pdf relax and trust the process, issue nzito zaid ni kusubir pdf upo au haupo.
🤣🤣🤣🤣 wasomi wa cuba pekee ndo wamekuelewa.Hata ninyi navyo ilichukua kama mwezi hivi kuitwa.
Wasomi wa Cuba tupo pamoja?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu naona "asali effect" haidanganyi, tunatupia tu comment kwa lugha mbili,.🤪Chagua moja kati ya haya mawili.
1. Uitwe mapema ukalie na njaa?
2. Uchelewe kuitwa ukachekeleee Dimbwi la Asali?
They are cooking something delicious!
- Hesabu zako kama zangu brother, number ishajaa NPS ni , Legal officer m,d,a , ATTORNEY GENERAL , SG jumla inafika 300Watakaribia jumlisha pdf ya juz 500+ tra 400+ bado nps na kilimo 300+
-sasa wale wengine si kihere here Chao Cha kufaulu 🤣Sema hua najiuliza utumishi hua wanachukuliaje situation kama ikitokea mtu kafnya saili labda halmashauri akapata 50 kutokana na nafasi wale wa juu wakapta ajira,next time ikatokea nafasi ya wazi labda TRA je huyu alipata 50 watamchukua au itakuaje?na kama watamchukua haitokua wamempendlea kwmba kapata marks ndogo na kapata taasisi kubwa yenye maslahi kuliko wale waliofaulu zaidi yake ambao walienda halmashauri?
Lakini zile zilitangazwa na post zilikua nying pia- Hesabu zako kama zangu brother, number ishajaa NPS ni , Legal officer m,d,a , ATTORNEY GENERAL , SG jumla inafika 300
Lakini zile zilitangazwa na post zilikua nying pia
Sijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
Kwa kuwapigia simu au kwa utumishi kupandisha pdf?Mwezi wa 10 hapo waliwaita.
Simu MkuuKwa kuwapigia simu au kwa utumishi kupandisha pdf?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasomi wa cuba pekee ndo wamekuelewa.
Hahaha humu kuna watu wengi wanafarijika japo 98 ya wadau wa huu uzi sio wachangiaji ila kila comment ina views wengi tu .Kitu ninachokipenda humu hata ukikosa placement utapewa matumaini kuwa wewe upo kwenye database any time unaweza pata tengo alafu wanakwambia unaweza pata sehemu yoyote ile utakayo fit ata kama mara ya kwanza haukufanya interview yake na kiingne wanakwambia unaweza pata asali tamu kuliko ile uliyoitaka,
Yaan hata ukiwa na status imeeandkiwa NOT SELECTED for.... after Oral watakufariji kuwa Status after oral haina maana
Sasa mm nitoke Jf niendeee wapiii, humu kunafaraja kama vile kanisani au msikitini napenda sanaaa...
Kwa taasisi gani?Sawa tatzo ni kwamba wangejumuisha watu waliokua kazindata hao waliofeli pia wangelaumu wameweka watu wao Ata mwaka Jana ilikua hvo hvo post ya system administrator waliitwa wachache pdf ya kwanza iliokuja Mara ya pili ikachua wote walokua database
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu naona "asali effect" haidanganyi, tunatupia tu comment kwa lugha mbili,.[emoji2957]
Ahsante kwa kutambua hilo mkuu.Kitu ninachokipenda humu hata ukikosa placement utapewa matumaini kuwa wewe upo kwenye database any time unaweza pata tengo alafu wanakwambia unaweza pata sehemu yoyote ile utakayo fit ata kama mara ya kwanza haukufanya interview yake na kiingne wanakwambia unaweza pata asali tamu kuliko ile uliyoitaka,
Yaan hata ukiwa na status imeeandkiwa NOT SELECTED for.... after Oral watakufariji kuwa Status after oral haina maana
Sasa mm nitoke Jf niendeee wapiii, humu kunafaraja kama vile kanisani au msikitini napenda sanaaa...
mkeka wa database bdo siku mbili, je usipo toka tutafanyaje, ama mhagama atakua kalidanganya bunge??