HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
tujadili nafasi za database ,ila tusichanganye na nafasi za wazi zilizopo, mfano TRA,NIRC,ASA,TARI,REA,WIZARA yaKilimo hapa watu karibia wote walifanya usahili na wamepangiwa vituo , kumbukeni hiki kilikua kinyang'a nyiro and not data base. ni NPS pekee ndio takribani 50+ plus ilikua data base
Yah umesema sahihi
 
Tuendlee kujipa matumaini japo siasa ipo pia
Maana tunaona nafsi za kazi zinaendlea kutangazwa ikijuisha post ambazo watu wamefnya usaili muda sio mrefu kama Acc assisntant,account officer UCC post zilizotoka jana so nawaza je hakuna mtu wa accounts database 🤔
 
tujadili nafasi za database ,ila tusichanganye na nafasi za wazi zilizopo, mfano TRA,NIRC,ASA,TARI,REA,WIZARA yaKilimo hapa watu karibia wote walifanya usahili na wamepangiwa vituo , kumbukeni hiki kilikua kinyang'a nyiro and not data base. ni NPS pekee ndio takribani 50+ plus ilikua data base
Kuna mdau hapo juu amegusia, kuna hoja fulani, mfano hilo la hao ICT huko TRA, post ilihitaji 50, wamepata 37, hoja yake, ni kweli katika database hakukua na watu wa kujazilizia hilo? Au kanzidata inabagua taasisi na taasisi, zingatia sehemu ya tangazo chini hapo
=========================
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 08/12/2022 na tarehe 04-05 Februari, 2023. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
 
Maswali ni mengi tunajiulza ila majibu yake wanayjua utumishi wenywe...lets hope for good tusbrie tu wakuu database kama wale tuliokosa nafasi tutapata kama tuoifaulu oral
 
Kuna mdau hapo juu amegusia, kuna hoja fulani, mfano hilo la hao ICT huko TRA, post ilihitaji 50, wamepata 37, hoja yake, ni kweli katika database hakukua na watu wa kujazilizia hilo? Au kanzidata inabagua taasisi na taasisi, zingatia sehemu ya tangazo chini hapo
=========================
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 08/12/2022 na tarehe 04-05 Februari, 2023. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Sawa tatzo ni kwamba wangejumuisha watu waliokua kazindata hao waliofeli pia wangelaumu wameweka watu wao Ata mwaka Jana ilikua hvo hvo post ya system administrator waliitwa wachache pdf ya kwanza iliokuja Mara ya pili ikachua wote walokua database
 
Yah ninkweli unachosema mkuu ili kuondoa sintofahamu ni bora wa data base wakaja kwenye mkeka mwingine
 
Sawa tatzo ni kwamba wangejumuisha watu waliokua kazindata hao waliofeli pia wangelaumu wameweka watu wao Ata mwaka Jana ilikua hvo hvo post ya system administrator waliitwa wachache pdf ya kwanza iliokuja Mara ya pili ikachua wote walokua database
So huenda kuna watu wakajazia hizo nafasi kutoka database siku za mbele
 
Sema hua najiuliza utumishi hua wanachukuliaje situation kama ikitokea mtu kafnya saili labda halmashauri akapata 50 kutokana na nafasi wale wa juu wakapta ajira,next time ikatokea nafasi ya wazi labda TRA je huyu alipata 50 watamchukua au itakuaje?na kama watamchukua haitokua wamempendlea kwmba kapata marks ndogo na kapata taasisi kubwa yenye maslahi kuliko wale waliofaulu zaidi yake ambao walienda halmashauri?
 
Ndio hvo hv Kama ulifanya system analyst au business analyst wanaweza kukupangia developer or programer?
Mh hii sidhani sjawahi kuona issue kama hii nafikr mtu wa progrmming atapewa nafsi y programming the same analyst atapewa analyst
 
Yaaan sku naambiwa napaswa kwenda masjala ya wazi kule kwa Dr. Asha Rose Migiro...
Aiseeeeeee itakuwa tu full shangwe hayo mengine yatafuata tu mdo mdo kikubwa ushahakikishiwa kwamba mrija wa asali u karibu kutiririsha asali
Si ndio Yan mengine badae issue PDF
 
Sema hua najiuliza utumishi hua wanachukuliaje situation kama ikitokea mtu kafnya saili labda halmashauri akapata 50 kutokana na nafasi wale wa juu wakapta ajira,next time ikatokea nafasi ya wazi labda TRA je huyu alipata 50 watamchukua au itakuaje?na kama watamchukua haitokua wamempendlea kwmba kapata marks ndogo na kapata taasisi kubwa yenye maslahi kuliko wale waliofaulu zaidi yake ambao walienda halmashauri?
Sijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
 
Back
Top Bottom