Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hapana mataini yangu dtabase itatoka japo kuchelewa siamini kwmba waziri kasema uongoKwanin 3 kwani ww uliambiwa mwezi 3, inaweza ikawa ivo lakini, sana sana ndo baba jeni bye bye.
Hapana mataini yangu dtabase itatoka japo kuchelewa siamini kwmba waziri kasema uongoKwanin 3 kwani ww uliambiwa mwezi 3, inaweza ikawa ivo lakini, sana sana ndo baba jeni bye bye.
Fuatilia mambo...watu wa ICT mwaka jana wameingia TRA kutoka databaseSijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
Kuna utofauti gani kati ya majina ya nyongeza na database?Sijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
Kwanin 3 kwani ww uliambiwa mwezi 3, inaweza ikawa ivo lakini, sana sana ndo baba jeni bye bye.
pdf ya database pekee huwa ipo na mm ni shuhuda wa ilo, tusubir tuna siku 2.Hapana mataini yangu dtabase itatoka japo kuchelewa siamini kwmba waziri kasema uongo
Wao hawaangalii salary scale kikubwa upate kaziSema hua najiuliza utumishi hua wanachukuliaje situation kama ikitokea mtu kafnya saili labda halmashauri akapata 50 kutokana na nafasi wale wa juu wakapta ajira,next time ikatokea nafasi ya wazi labda TRA je huyu alipata 50 watamchukua au itakuaje?na kama watamchukua haitokua wamempendlea kwmba kapata marks ndogo na kapata taasisi kubwa yenye maslahi kuliko wale waliofaulu zaidi yake ambao walienda halmashauri?
Alisema wataanza kuchukua haijamaa nisha watatoa mkeka as soon within this month...kwa nilivyoelewa wataanza kuchukua lkn kurelease majina sio lazima mwezi huu wa piliIkifika jnne bado tena asee itakua siasa maana walisema ni mwezi wa 2
Mbona unasema tofaut tenaAlis
Alisema wataanza kuchukua haijamaa nisha watatoa mkeka as soon within this month...kwa nilivyoelewa wataanza kuchukua lkn kurelease majina sio lazima mwezi huu wa pili
yaah mkuuTuendlee kujipa matumaini japo siasa ipo pia
Mbona unasema tofaut tena
yaah afsaHapo mi nawew hatujui Ila tusubr mpka tareh 28 kisipoeleweka basi tutasema inshallah
“Mwezi wa pili mwaka huu tunatarajia kuchukua watu 1,769 kutoka kwenye database [kanzidata] na kuondoa ile ya kuwarudisha rudisha kuja kufanya interview [usaili] wakati wameshafaulu [..] Kazi yetu itakuwa kuwachukua na kuwapangia majukumu mbalimbali.” – Waziri Jenista MhagamaSikiliza clip ya waziri mkuu mim naongea tu kwa uelewa wang huenda nikawa wrong pia
Tuzidi kumuomba MUNGU manKuna mdau hapo juu amegusia, kuna hoja fulani, mfano hilo la hao ICT huko TRA, post ilihitaji 50, wamepata 37, hoja yake, ni kweli katika database hakukua na watu wa kujazilizia hilo? Au kanzidata inabagua taasisi na taasisi, zingatia sehemu ya tangazo chini hapo
=========================
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 08/12/2022 na tarehe 04-05 Februari, 2023. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Database na majina ya nyongeza ni kumaanisha kitu kimoja ikiwa tu wote walishiriki katika sahili na hawakupata nafasi in first place.Sijawahi kuona TRA wamechukua watu wa data base. Nakumbuka 2019 baada ya kuajiri waliita tena watu wengine kazinj ambapo waliita majina ya nyongeza
Haya twenze mkuu tuanze kudadavua hii statement...je hapo inamaanisha kwamba lazima watu wate 1769 wapangiwe majukumu within february?“Mwezi wa pili mwaka huu tunatarajia kuchukua watu 1,769 kutoka kwenye database [kanzidata] na kuondoa ile ya kuwarudisha rudisha kuja kufanya interview [usaili] wakati wameshafaulu [..] Kazi yetu itakuwa kuwachukua na kuwapangia majukumu mbalimbali.” – Waziri Jenista Mhagama
Yale nyongeza nasikia wengne walioitwa kwa mara ya kwanza walikutwa na sifa kwa mfano uliomba kazi diploma na ni degree holders wakakuta unachet cha degree wanakuacha coz mbeleni utawasilisha cha degree sio upandishwe scaleKuna utofauti gani kati ya majina ya nyongeza na database?
Kauli ya waziri sidhani kama imaanisha hivyoMbona unasema tofaut tena
Mdogo angu alipata bila connection. Ex wangu alipata bila connection. Hawawezi kujaza nafasi zote watu wao.
Chagua moja kati ya haya mawili.Kweli TRA wanazingua sanaa wanachelewesha kutuita yani kwa ajili ya training
Alisema mwezi huu february tutachukua vijana 1769 kutoka kanzidata na kuwapangia majukumu mbali mbali...