HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mshukuru Mungu tayari umepata try kujiweka position ya waliokosa wapi Hali gani lakin wewe still unacomplain dah binadamu bhana
Yaaan sku naambiwa napaswa kwenda masjala ya wazi kule kwa Dr. Asha Rose Migiro...
Aiseeeeeee itakuwa tu full shangwe hayo mengine yatafuata tu mdo mdo kikubwa ushahakikishiwa kwamba mrija wa asali u karibu kutiririsha asali
 
Watu wa TRA msipate pressure, mbona ni utaratibu wa kawaida na hujaanzia kwenu kuna akina Ahmet mashuhuda wa hilo Mwifwa na wengineo wengi tu baada ya kupewa barua waliambiwa watapigiwa simu, na wakapigiwa kun wengine wamesubir hadi miezi miwili kupigiwa simu nyie hata mwezi hamja maliza, mi naona mtulie waweke mambo sawa, as long ushatokea kwa pdf relax and trust the process, issue nzito zaid ni kusubir pdf upo au haupo.
Vijana wana pressure hawaamini kama wameitwa kama walivumilia kukaa zaidi ya mwaka bila kuitwa interview iweje induction?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza kama uliwahi kufanya oral interview ya taasisi yenye asali nyingi let say TCRA hukubahatika miongoni mwa walamba asali ila umewekwa kwenye kanzi data, vipi unaweza ukapangiwa halmashauri huko ikiwa nafasi zitapatikana? Na kinyume chake hivyo ukiwa umefanya oral interview za halmashauri unaweza kupangiwa ajira katika taasisi yenye asali nyingi.

Hii ikoje wana JF.
Inawezekana kabisa ila kuna baadhi ya vigezo nadhani wataangalia. Mfn taasisi uliyopiga oral mara ya kwanza haikuwa inahitaji Upper Second lakini kwenye database sasahv kuna nafasi kwenye taasisi inqyohotaji hapo nadhani watachukuliwa walio na hiyo upper second.
 
Wadau mm hii 1700 kutoka kwenye database naona haifiki maana placements zote waliotoka kwenye database ni wachache mfano nafasi za ICT Programmer/developer TRA walikuwa nanahitaji watu 50 Ila wamechukua 37 tu kwa hiyo hapakuwa na watu database kufikisha 50? Imekaaje hapo
Hao 9 walifeli mzee walishndwa kufika 50 kwenye oral
 
Wadau mm hii 1700 kutoka kwenye database naona haifiki maana placements zote waliotoka kwenye database ni wachache mfano nafasi za ICT Programmer/developer TRA walikuwa nanahitaji watu 50 Ila wamechukua 37 tu kwa hiyo hapakuwa na watu database kufikisha 50? Imekaaje hapo
Hiyo ni based na waliofanya interview hawakufikisha marks 50 database maana ake pdf zinazokuja watawaweka walioko database Kama wapo Ila wale wakifanya tra hawakufikisha marks
 
Tujadili nafasi za database ,ila tusichanganye na nafasi za wazi zilizopo, mfano TRA, NIRC, ASA,TARI, REA, WIZARA yaKilimo hapa watu karibia wote walifanya usahili na wamepangiwa vituo , kumbukeni hiki kilikua kinyang'a nyiro and not data base. ni NPS pekee ndio takribani 50+ plus ilikua data base
 
Back
Top Bottom