HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
na mm naanza kuhisi hivyo data base haipo transparency kama majina ya oral hadi mtu anapangiwa placement

kama vipi data base waiondoe ili mtu akikoswa placement ajue anaanza upya kujipanga
Wewe achaa hizoo database inatupa matumaini ambao tumekosa placement tuliyoitaka,
Sasa tunakuwa na matumaini yaan mpk mwaka uishe linaweza kutokea chaka utumishi wakanibless,
Alafu kuna zile nasikia zinatokea mara wanakupigia, au wanakutext kmy kmy hata bila PDF uende kuchukua barua, hh tamu unaingia kwenye system kmy kmy hata wadau hawajui
 
🤣🤣🤣🤣 pamoja mkuu nmekusoma
 
Exactly inawezekana walishaomba hela za training hazina ila bado hawajapewa na wao hawataki kuwakopa. Unajua wakati mwingine tutawalau utumishi kuchelewa placement ila wao wakati mwingine wanategemea muajiri husika utayari wake wa kupokea
Mm naona Bora placement ziwe zinatoka mapema hata Kama utakaa miez 6 ndo uanze kazi hapo pressure hakuna tena
 
Kwako wewe pressure itashuka ila kwa serikali itapanda kwasababu itakuwa ni aibu magazeti yaandika vijana wa TRA wako mtaani miezi 6 serikali haina budget ya mishahara. Hata wawekezaji wanaweza kukimbia.
 
Serikali haiwezi shindwa kuwalipa watu 500 hao wakati huwa inaajiri watu 6,000 tena wenye ration na drinks allowances
 
Back
Top Bottom