yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Sasa hyo laki saba,take home inakuaje si ni 200k[emoji23][emoji23][emoji23]ama akhiiii mateso ni kla pahala.TGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa
Sasa hyo laki saba,take home inakuaje si ni 200k[emoji23][emoji23][emoji23]ama akhiiii mateso ni kla pahala.TGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa
Duuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswaliWadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
mm pia nmeshangaa sana,mtu hata hajapumua katoka dom juz juz tu jamnDuuuu, week moja tayari wameshaanza kuchezea status za watu. Kweli huko utumishi sasahv wameongeza speed
Tuone screenshot ya status yako🤔🤔🤔🤔🤔🤔mm pia nmeshangaa sana,mtu hata hajapumua katoka dom juz juz tu jamn
Sina uhakika na ilo alete ushahidi wa screenshot hapa.mm pia nmeshangaa sana,mtu hata hajapumua katoka dom juz juz tu jamn
Na PUSS 1.1 ni ngap hii??TGS E ni laki 9.8 kabla ya makato
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], na kugombezwa na Mh. Diwani au M/KITI wa Sisiem Wilaya...bado wananchi wanakuzonga tuu.. bado ukiangalia hakuna safari za kikazi, ohooo hapo ni shughulisawa mkuu,kuna TGS D pia.bongo hii kikubwa usipate kazi halmashauri tuu huko ni mwendo wa chai mandazi deili
Hii sio ile ulofanya 31/1/2023????Kwenye App
Kwa kozi ya miaka 4 inazidi, vile vile kwa kozi ya miaka 5TGS E ni laki 9.8 kabla ya makato
Hili linanzia huko utumishi, itabidi na wao warekebishe namna wanavyopanga saili na kutoa placement, haina maana yoyote kwa taasisi ya kwanza kutoa tangazobla ajira inakua ya mwisho katika kuita watu kwa usaili, hii ni changamoto. Tangazo la kazi lililotangulia, lifanyiwe mchakato kwa namna ile ile mpaka placement inatoka.Inawezekana hivyo, na hii pia inaanza kutufanya tuchukue tahadhari si kukurupuka tuu kwenda kila usaili maana unaweza faulu saili zote mbili au tatu, lakini ukajikuta unaangukia taasisi ambayo ulikuwa haujaipendelea sanaa..
Mm ni ile ile kama nlivokwambiaTuone screenshot ya status yako[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Duuu, kwani serikali ikikamilisha iwe 1M kuna shida gani aisee[emoji4][emoji4]. Mimi nilidhani itakuwa imeshafika huko.TGS E ni laki 9.8 kabla ya makato
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Hili linanzia huko utumishi, itabidi na wao warekebishe namna wanavyopanga saili na kutoa placement, haina maana yoyote kwa taasisi ya kwanza kutoa tangazobla ajira inakua ya mwisho katika kuita watu kwa usaili, hii ni changamoto. Tangazo la kazi lililotangulia, lifanyiwe mchakato kwa namna ile ile mpaka placement inatoka.
Usiangalie mpaka pdf itoke, umesikia.Mm ni ile ile kama nlivokwambia
Sawa,tena ngoja nifute appUsiangalie mpaka pdf itoke, umesikia.
Hii ni nini mkuu?WALE WA BBT MAJINA TAYARII
na ukitaka kufanya job transfer kuhamia kwenye mashirika/wizara bdo mtiti . haloo halmashauri inafanya watu wa heti utumishi wa umma[emoji1787][emoji1787][emoji1787], na kugombezwa na Mh. Diwani au M/KITI wa Sisiem Wilaya...bado wananchi wanakuzonga tuu.. bado ukiangalia hakuna safari za kikazi, ohooo hapo ni shughuli
Cheki hapoDuuu, kwani serikali ikikamilisha iwe 1M kuna shida gani aisee[emoji4][emoji4]. Mimi nilidhani itakuwa imeshafika huko.
Ohooo , mbona hatari na nusuTGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa