HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unaweza ukawa sahihi sana Kwa hili,Naona Sasa Watu hawapati double placements,uzuri PSRS wanasoma comments zetu pia humu,nadhani wanafanyia kazi mambo mengi.
Double placement haija thibiti tunajipa moyo.au leteni ushahidi
 
Niliwahi kupata kidokezo sehemu kuwa, idadi ya watu wanaotuma maombi huwa ni kubwa sana ingawa sisi huwa tunashangaa idadi ya wanaokuwa shortlisted kwa written.

Muda uliotumika kuchambua maombi ya MDA & LGA ni sahihi kabisa.

Hapa huwa tunalalamika lakini hatujui jinsi wanavyohangaika kutimiza kazi zao huko ili kila mmoja aweze kupatiwa haki yake anayostahili.

Mimi natoa wito kwa Sekretarieti ya Ajira waongeze nguvu kazi au waboreshe mfumo wa kuchambua maombi ya kazi ili waweze kumaliza kazi kwa muda mfupi.
Na hapa kwenye nafasi zile za MDA na LGA kwa mimi ninavyohisi ni lazima watumie muda mrefu sana kwa sababu ukishafaulu wao wenyewe ndio wanaokupangia kituo cha kazi sasa nahisi hawataki kufanya makosa kwa sababu kuna kitu kinaitwa IKAMA unaweza ukapangiwa kituo kwa kukurupuka then kufika kule unakuta IKAMA hair hairuhusu may b maafisa utumishi unakuta wanatakiwa kuwa 6 tu kwenye halmashaur 1.

Sasa wakikurupuka ukawa wa 7 ukifika kule ni mateso inakubidi waanze kukutafutia halmashaur nyingine ndani ya huo mkoa hali kadharika na makatibu wa afya unakuta wanahitajika wawili tu kwenye halmashaur wewe unafika pale unakuwa wa3 nahisi hii ni moja ya sababu kuu kwamba lazima wakae waangalie halmashaur na wizara ambazo ziliomba vibali vya ajira siajabu waliomba kipindi hicho ila sa hivi washapata mbadala hivyo lazima wajiridhishe ni mawazo yangu tu

Maana ni tofauti kidogo na mfano TRA wao wanatoa majina tu ila mkifika huko commissioner ndio ambae anajua uhitaji ni wapi na wapi ...ni mtazamo wangu tu msinipopoe ndio maana hata waliofanya Nov 23 hadi leo kimya
 
Kaka, mm sio TAEC kama ww ulivo wakana OUT na SUA.


Ila nyie wa november mi nafikir muende kwa mganga mkabadilishe upepo, tukitoka place.... za december tunaenda january then february🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Haitegemei kufanya mapema ndio mpidiefu wa placement utoke mapema mbona TRA oral wamefanya tarh 8 jan mpidiefu wao umetoka mwezi huu trh 14 feb, hii ngoma yani bahati nasibu unaweza ukafanya februari hii hii, mpidiefu ukatoka mwishoni februari, haina kukariri mkuu 😂😂
 
Tuombe Mungu iwe ivyo bcz awa tabirki
Kweli asee Sasa hawatabiriki.Maana matarajio ya wengi kwa kuwa tunaenda fikisha mwezi Wa Tatu,basi tulihisi Placement itatoka mwezi huu wa pili ukihesabu November 28/2022 mpaka Sasa ambapo mwezi Wa pili ni kama unaelekea mwisho...
 
Kweli asee Sasa hawatabiriki.Maana matarajio ya wengi kwa kuwa tunaenda fikisha mwezi Wa Tatu,basi tulihisi Placement itatoka mwezi huu wa pili ukihesabu November 28/2022 mpaka Sasa ambapo mwezi Wa pili ni kama unaelekea mwisho...
Kwaujumla watu wa November up to December Lolo linawexa kutokea kuanzia sasahivi na kufika mwezi wa tatu tarehe za mwanzoni placement zote za November hadi December xitakuwa zishakwisha
 
Afisa ardhi ii
Mkuu wewe endelea kuomba upande wa database, humu kama sikosei kuna mtu anaitwa Prok aliposti hiki na alikuja kabisa na evidence ya barua ya miongoni mwa watu aliyepata hizo nafasi tangu August 2022. Watu wapo mzigoni tangu September 2022 walipigiwa simu inagawa jamaa alivyoposti humu watu hawakuamini sisi tuliyokaribu na wahusika tukakauka tu.

Omba database ikubali lakini ukweli ndiyo huo mkeka haukota bali simu zilitumika ingawa hatujui kama walikuwa uharaka huo au watotoa tena huo mkeka.
NB.
Nina 100%.
 
Oi watafuta Ajira wenzangu,msiwe mnakatishana tamaa humu ndani, au kuleta Taharuki ya chochote, mwenye taarifa sahihi ni PSRS, kama Kuna kitu hukielewi ni Bora kuwapigia simu au kutuma Email muda wowote.

Mimi nishahudumiwa sana na wao,piga simu muda wowote ule wa kazi, ukiona yuko bize mtoa huduma, piga Tena mpaka simu yako ipokelewe. Wanapokea Simu nyingi sana hao Kwa wakati mmoja...

Hongereni sana PSRS Kwa Hilo.

Sekretarieti ya Ajira tunasubiri pia placements hizi hapa chini Kwa hamu sana💥💥💥💥💥🙏🙏

November-December 01/2022.

TAEC
ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC
 
Sijafuatilia ila nimejuzwa humu kuwa wametoa multiple placement kwa mtu mmoja
Dah mwifwa bado unapambana tu Mwana aisee huwa nasikitika sana natamani mno utoboe huku upate hi I thread uwe unairuka tu.

Nina mdogo Wangu sijui kafanyia manginja gani maana kafanya interview moja tu toka amalize chuo 2021 eti kapata custom office zile za TRA nahisi wataanza Na training kwanza, mwamba Wangu mwingine yeye afisa mifugo katoka juzi oral anasikilizia Na yeye
 
Back
Top Bottom