Pure Lion
Member
- May 26, 2021
- 91
- 218
Kazi kwako sasa kuongeza recievedKumbeeeee, shukran sana boss. Wacha niziapply sasa
Kazi kwako sasa kuongeza recievedKumbeeeee, shukran sana boss. Wacha niziapply sasa
Kwahyo una maanisha siku hizi wameweza ku-trace watu waliokwisha pangiwa vituo kwenye pdf zilizopita..?Double placement sidhan kama inaweza kutokea.
Mbona siku chache nyuma watu wamepata sana double placements mkuuHakika ni hivyo ndo mana ata placement wanatoa za mwanzo kufanya usaili kwanza.
Yupo mdau alifanya NAOT lakini amekuja kupangwa NPS so ni kumuomba Mungu kama kada yako ina uhitaji utapata.Kwahyo wadau kwa Sasa kama ulifanya saili taasisi 2 au 3 then ikitoka pdf ya taasisi mojawapo hapo usitegemee tena kuitwa kazini via taasisi zilizobaki hata kama utakuwa na sifa(umefaulu?)
Bado hujanielewa mkuuYupo mdau alifanya NAOT lakini amekuja kupangwa NPS so ni kumuomba Mungu kama kada yako ina uhitaji utapata.
Juzi hapa zimetoka za wizara ya kilimo extension officers na jana tu hapo la TARI umemuona yeyote wa double placement kijana?Mbona siku chache nyuma watu wamepata sana double placements mkuu
*sibitika = thibitikaDouble placement haija sibitika Hadi sasaivi
Sikuchungulia majina kiundani Ila kumbuka hao walifanya siku moja written na Oral So ni ngumu mtu mmoja kupiga zote kwa pamojaJuzi hapa zimetoka za wizara ya kilimo extension officers na jana tu hapo la TARI umemuona yeyote wa double placement kijana?
HakikaKazi kwako sasa kuongeza recieved
Umeghairi kusubiri database ya watu walioitwa kwa kutumia simu bila mkeka ?.Uzi umechangamka sana, naona matumaini kibao
Unaweza ukawa sahihi sana Kwa hili,Naona Sasa Watu hawapati double placements,uzuri PSRS wanasoma comments zetu pia humu,nadhani wanafanyia kazi mambo mengi.Hakika ni hivyo ndo mana ata placement wanatoa za mwanzo kufanya usaili kwanza.
Inawezekana mkuu, ila huwa inawia ngumu kutowezekana kupata uhamisho ikiwa taasisi moja umeshaanza kupokea mshahara, omba upate kulipo na maslahi sana, kama mimi ninavyojiombeaKwahyo hata kama wamefanya vizuri huko NIRC hawawezi kupangiwa..?
Ety mkuu Agronomist Abdallah nawe nijuze hapa