mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Dah pole sana,Kikubwa ni kumuomba Mungu tu,na kuishi nao kwa AkiliHatari sana,pressure stress yani vurugu mtindo mmoja
Dah pole sana,Kikubwa ni kumuomba Mungu tu,na kuishi nao kwa AkiliHatari sana,pressure stress yani vurugu mtindo mmoja
Hawa jamaa nafikiri wamesubiri zifanyike kada zote, watoe placement kwa wakati mmoja.Ndo kama sisi, hawana ata mpango[emoji1787][emoji1787]
Kikubwa ni kuwa kwenye mstari tu, ulitaka kuwa mpigaji lazima utaona kazi ngumu, shida ya Vijana wengi tunapenda maisha ya haraka haraka.Ila maisha ya ajira ni vile tu hatuna namna, ukipata na kupangiwa halmashauri, unaanza kukabiliana na pressure za madiwani, mkurugenzi, mbunge bado hoja za mkaguizi.
Still bado ni bora kuliko wale wasio na pa kuamkia. Yaani panakucha mtu hajui aende wapi.Inategemea mtu umejshikiza wapi sa[emoji23]
Wawapigie kwa kweli, kelele zipungue humu[emoji23]Mnaovutana status namba hizo pigeni muulize ukweli wa status
Weka ya status yako kwanza tuoneMnaovutana status namba hizo pigeni muulize ukweli wa status
Mbn Jamaa kaeleweka anakuambia hizo zote Not Selected aliongoza (Japo akusema aliongoza nn lkn tunajua anamaanisha aliongoza Written Interview) so hizo Not Selected for ni baada ya OralSasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??
Yaaan mfano ile umefanya written status inakuwa selected for oral interview
Then baada ya hapo wakishapata wanaowahtaj ndo inakuwa not selected for oral interview??? Kuashiria kwamba ndo shughul imeishia hapo?
Oyaaa!! Makazini huko, kuna watu wana mifumo yao, usifikiri ukiwa umenyooka sana ndio itakua salama yako, unaweza ukawa umenyooka sana, ukalengeshwa tu na kazi ukafukuzwa.Kikubwa ni kuwa kwenye mstari tu,ulitaka kuwa mpigaji lazima utaona kazi ngumu,shida ya Vijana wengi tunapenda maisha ya haraka haraka,Leo una kazi,unataka kigari,unataka nyumba Kali,unataka umiliki tozo Kali nyingi,mwishoe utaingia kwenye ulevi wa kupindukia na Bata za kwenda mbele,Huku ukijua kipato chako kidogo,at the end utaanza kutaka kuanza kuiba,mambo ya kufoji Saini,nk...Hapo ndio utaanza kugombana na wasimamizi kwenye Halmshauri.,Ila Ukienda kazini na kuwa mtulivu Huku ukiridhika na ulichonacho hata hizo stress huwezi kupata na utaipenda kazi yako.
🙋 Atume screen shot, au sio?Weka ya status yako kwanza tuone
SIKUPINGI Kwa hili.Hasa ukutane na Machawa wa Maboss😂🙌🙌🙌🙌Oyaaa!! Makazini huko, kuna watu wana mifumo yao, usifikiri ukiwa umenyooka sana ndio itakua salama yako, unaweza ukawa umenyooka sana, ukalengeshwa tu na kazi ukafukuzwa.
Maisha ya makazini ni tofauti kabisa tunavyodhania.
MaryjuanKuna shida ya kucertify vyeti vya jobless mwenzetu hapa jamani.
Yuko wapi yule Madam PGO, mwanasheria wetu wa uzi yule?
the life of commonsStill bado ni bora kuliko wale wasio na pa kuamkia. Yaani panakucha mtu hajui aende wapi.
We Baki nayo Mbona wengine tumekosa lkn tunafarijika hata waliopata tena Kwa marks za Juu (Base on List wameappear Mwanzoni) tunafananisha nao Status 🤔🤔🤔 tupo tunasubir Neema kutoka databasePicha la kutisha,nataka nifute app naogopa nsije kua obsessed
Mbona ipo faster tu,itakuwa shida ya mtandao kwako😂🖐️www.ajira.go.tz naona imekua nzito kuload saiz, dizaini kama kuna kitu cha "MB nyingi" kina-uploadiwa😀
Hii ni kweli kabisa. Ingesaidia sanaOn PLACEMENT
Kama fungu toka hazina is the bad guy anaye chelewesha pdf; kutoka atleast wangekuwa wanatoa pdf la placement then ku report job unasubiri hadi hazina waweke mambo in order.
I mean wawa-notify walio perform vzur oral na they stand a chance kupata mrija by means of a trusted and distinguished status or other forms sio kutuacha tu on suspense
Kuna mkeka huko au,.Mbona ipo faster tu,itakuwa shida ya mtandao kwako😂🖐️
Hamna Cha mkeka Wala nini....Ni kutiana presha tuKuna mkeka huko au,.