HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tatizo kuna watu wanajua Kabisa wametumia njia gani kupata Kazi arafu Bado na wao wanakuja kutoa Ushuhuda km Kweli walifata Njia sahihi ya Kutafuta Kazi?

Kuwa na NOT SELECTED after ORAL na utoboe kwenye PDF Binafs na dought kuna njia mtakuwa mmetumia ss Msije kutupotosha Humu. Km unajua Maarifa yako nje na kujibu Mtihan/Sahili ndy yamekutoa Acha kuja kutufariji Humu kaa Kmy tu.
Hakuna kitu kibaya kama kuwa aminisha watu uongo.
 
Tatizo kuna watu wanajua Kabisa wametumia njia gani kupata Kazi arafu Bado na wao wanakuja kutoa Ushuhuda km Kweli walifata Njia sahihi ya Kutafuta Kazi?

Kuwa na NOT SELECTED after ORAL na utoboe kwenye PDF Binafs na dought kuna njia mtakuwa mmetumia ss Msije kutupotosha Humu. Km unajua Maarifa yako nje na kujibu Mtihan/Sahili ndy yamekutoa Acha kuja kutufariji Humu kaa Kmy tu.
Mlikuw mnatafuta watu waliopata kazi kwa njia za panya, Mungu kasikia kilio chenu naona wanaanza kutoa ushuhuda.Kwa tuliosoma Cuba na Venezuela tushaelewa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .
Soma vizuri kilichoandikwa hapo #21932 na husianisha na ulichoandika hapa.
Kwa style hii basi kuna shida.
 
Jamaa kaongea kweli japo mnamkataa...status hazusadifu kupata au kukosa kazi...wait for pdf mkuu
Hapo nakata hata km status hazisadifu lkn sio hiyo Status ya NOT SELECTED. Ukipata Muda pitia maoni ya watu Humu ndani Kwa Mara ya Kwanza ndy huyu anasema Alikuwa NOT SELECTED for na kapata kaz Ukichua na Yule yesamrich ambae nae kamwambia hivyo.

Lkn wengine wote waliopata Status ya hivyo walikiri Kabisa maswaibu yaliowakuta kwenye Sahili zao nakuona kuwa hawapo kwenye Kinyang'anyiro hicho cha Ajira.
 
Jamaa kaongea kweli japo mnamkataa...status hazusadifu kupata au kukosa kazi...wait for pdf mkuu
Jamaa kaongea kweli japo mnamkataa...status hazusadifu kupata au kukosa kazi...wait for pdf mkuu
Wakat mwingine tutumie akili za kawaida kweli watu wote wanaotoa ushuhuda humu kaanze first page mpaka hapa leo tulipo page no 1000+ kwanin hajawai tokea hata mmoja, kwanii wengine washuhudie halfu scenario ya not asiwe amewai kutokea hata mmoja kushuhudia.

Ww umesema jamaa kaongea ukweli kwa fact gani ambayo una simama nayo.
 
Mlikuw mnatafuta watu waliopata kazi kwa njia za panya, Mungu kasikia kilio chenu naona wanaanza kutoa ushuhuda.Kwa tuliosoma Cuba na Venezuela tushaelewa.
Sure hapo kuna walakini zaidi ya umakini Kwa mtoa shuhuda
 
Nimefuatilia huu mjadala wa Status ngoja nami niseme kitu.
Ni wapi panasomeka "NOT SELECTED FOR PLACEMENT"?
Je, hamuelewi maana ya "NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW"?
Kwanini mnajipa stress?
Ndio maana mnakuwa na depression, ushaambiwa "NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW" lakini baadhi wanalazimisha iwe "NOT SELECTED FOR PLACEMENT".
PDF pekee ndio itakujulisha either you are "EMPLOYED" or "NOT EMPLOYED"
Kweli binadamu tuna tofautiana, Mimi App sina na kwenye main website naingia asubuhi kucheki kama kuna PDF mpya. kama hamna imetoka hiyo had siku nyingine.
 
Wakat mwingine tutumie akili za kawaida kweli watu wote wanaotoa ushuhuda humu kaanze first page mpaka hapa leo tulipo page no 1000+ kwanin hajawai tokea hata mmoja, kwanii wengine washuhudie halfu scenario ya not asiwe amewai kutokea hata mmoja kushuhudia.

Ww umesema jamaa kaongea ukweli kwa fact gani ambayo una simama nayo.
Fact ninayosimama nayo baada ya kuuliza utumishi ni kwamba hizo status zinabdilika kutokna na app kuna ipo ktk matengenezo so hazisadifu chchote katika placement
 
Kwa hiyo huenda mtu akawana na not selected for oral kwenye app na akapata kazi
 
Tena usikute yupo kama mimi anapigwa na jua, anabeba mifuko ya cement kama mm, halafu anasema kapata kazi akiwa na ndugu """NOT"". Ila kheri iwe juu yake.
Sibebi Cement mkuu, huku ni tope la mavi ya Ng'ombe, nachunga Ng'ombe huku kijijini kwetu Lukale. Jua ni kali kweli kweli sio uongo.
 
Fact ninayosimama nayo baada ya kuuliza utumishi ni kwamba hizo status zinabdilika kutokna na app kuna ipo ktk matengenezo so hazisadifu chchote katika placement
🤣🤣🤣🤣🤣 boy tatizo wengi humu wazito kuelewa hatujawai sema status zinasadifu kitu kwenye placement, au utajua umepata placement, rudi kasome comment za nyumaa huko, kimsingi nimechoka kurudiaga ili swala.
 
Fact ninayosimama nayo baada ya kuuliza utumishi ni kwamba hizo status zinabdilika kutokna na app kuna ipo ktk matengenezo so hazisadifu chchote katika placement
Ni kweli Kuna kipindi Mimi post Moja hivi sikwendaga Oral,ila baadae ikaenda selected for oral,imekaa Tena ikarudi vile vile kama Awali Not selected for oral...
Kwa hiyo hapa nakubaliana na wewe.
 
Back
Top Bottom