HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukishamaliza oral keep praying for positive results huku ukisubr pdf. Hyo ndo njia pekee tuna uhakika nayo
Umemaliza mkuu. Hao wengine wanapiga kelele tu tena zisizokuwa za msingi.

Maliza Oral interview, keep on praying for positive results, keep on waiting for a pdf. Achana na maneno mengi yanakupa stress bure.
 
Nimefuatilia huu mjadala wa Status ngoja nami niseme kitu.
Ni wapi panasomeka "NOT SELECTED FOR PLACEMENT"?
Je, hamuelewi maana ya "NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW"?
Kwanini mnajipa stress?
Ndio maana mnakuwa na depression, ushaambiwa "NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW" lakini baadhi wanalazimisha iwe "NOT SELECTED FOR PLACEMENT".
PDF pekee ndio itakujulisha either you are "EMPLOYED" or "NOT EMPLOYED"
 
Sawa tunapiga kelele, ila ukikutana na """NOT"" tutakuja kupiga kelele pamoja hapa.
NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW ilisomeka kwenye App baada ya kufanya Oral interview, kwenye Website ilibaki ile ile SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na pdf ikaja, jina likawemo. Najua wadau wapo wengi walioona hilo ila hawataki ongea humu.
 
🤣🤣🤣🤣 mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .
 
Mm naamin serkali iko vizur sema mipango ndo shida interview tunafanya Ila replacement ndo hakuna na bado wanatoa post za ajira kwa nn wasipunguze watu kwanza waliofanya oral kuwapangia kaz?
 
Mtumishi wa umma kua na subira wakati utafika pdf litapanda hewani ukajianglie kama imo au laa
 
Jobless mna hasira sn ss Maswali yote haya ya nn kifupi tuna wapenzi ambao subira zao zina kikomo? Hawezi kuendelea kuvumilia shida Kwa kipindi kirefu
Kama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.

Mchumba wako akiwa Bado anakaa Kwa wazazi jukumu la kuhudumia sio lako,ila pale unapomchukua ndio jukumu lako.Tatizo vijana wa Sasa tunataka kuwahi majukumu na kufanya vitu vya matarajio makubwa Kwa wanawake ndio maana wanatukimbia wakikosa hivyo vitu..

Tuishi nao kwa akili,kama Leo Sina Kesho ninacho nitamhudumia.Ila isiwe ndio lazima.
mfwende mpina
 
🤣🤣🤣🤣 mtu wa kwanza kupata not na kapata kazi ndo ww bro. Ila as long as hatuna usibitisho na hakuna ata mdau mmoja aliwai kuwa na scenario yako mi sitakuamini labda wengine .
Tatizo kuna watu wanajua Kabisa wametumia njia gani kupata Kazi arafu Bado na wao wanakuja kutoa Ushuhuda km Kweli walifata Njia sahihi ya Kutafuta Kazi?

Kuwa na NOT SELECTED after ORAL na utoboe kwenye PDF Binafs na dought kuna njia mtakuwa mmetumia ss Msije kutupotosha Humu. Km unajua Maarifa yako nje na kujibu Mtihan/Sahili ndy yamekutoa Acha kuja kutufariji Humu kaa Kmy tu.
 
Kama hawezi vumilia shida Kwa Muda mrefu Ina maana HAKUPENDI.
Mchumba wako akiwa Bado anakaa Kwa wazazi jukumu la kuhudumia sio lako,ila pale unapomchukua ndio jukumu lako.Tatizo vijana wa Sasa tunataka kuwahi majukumu na kufanya vitu vya matarajio makubwa Kwa wanawake ndio maana wanatukimbia wakikosa hivyo vitu..
Tuishi nao kwa akili,kama Leo Sina Kesho ninacho nitamhudumia.Ila isiwe ndio lazima.
mfwende mpina
nimekusoma afsa
 
Jamaa kaongea kweli japo mnamkataa...status hazusadifu kupata au kukosa kazi...wait for pdf mkuu
 
Back
Top Bottom