mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Mwaka 3 ss 🤔
Kuna watu wengi sana wamemaliza awamu ya 4(kipindi Cha. Mh Kikwete) Kwa maana hyo wana zaidi ya miaka 8 na kuendelea na bado hawachoki kupambana.
Kumbuka awamu iliyopita Ajira zilikuwa kiduchu sna (Kiongozi wa wakati ule Ajira hakuipa kipaumbele kabisa.Kwa hyo wengi hawakupata hyo fursa.
Kwa hyo unafikir mtu kama huyo pdf likitoka hayupo atakuwa normal kama ww ambae bado upo ktk your early 20's na bado una chance nyingi za kuomba na pia bado unaishi kwenu?.
Pia nimekosa nafasi mara mbili na kiukweli niliumia sna na member wengi pia humu ni hvyo hvyo. Rejea post ya jamaa yetu Twinawe baada ya kukosa nafasi TRA alivyoandika Kwa uchungu ndio utajua ni kiasi gani mtu anapata maumivu.