Now we speaking same language.Web iko static, ukivuka mchujo inaendelea kusimama pale pale, selected for oral,.
Hizi status nyingine zinapatikana katima app,.
😀😀 Mbona ata App mida hii inasoma selected for Oral? Japo hapa kati ilikua inaruka ruka leo null kesho practicalWeb iko static, ukivuka mchujo inaendelea kusimama pale pale, selected for oral,.
Hizi status nyingine zinapatikana katima app,.
Kama umefanya muda sana uwe unaingia mara kwa mara,mm nmefanya juz tu hapa siwez kua na shauku ya kuingia huko kuchek labda mwezi upiteHv na nyie kila muda na kila wakati mnaingiaga kuona kama waajiri wenu wamerelease PDF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]AISEE KWA SKU YAAAN HATA MARA 20
SASA SJUI NIACHE KUNUNUA NA MABANDO NITULIE TU MAANA SIO KWA KUWAIT MNO HUKU
Lakini katika opinion yangu, uhakika wa kujua kama mkeka bado unapumua au umekufa, unapatikana kwa status ya app,.Now we speaking same language.
Hoja yetu hapa ni "NOT"😀😀 Mbona ata App mida hii inasoma selected for Oral? Japo hapa kati ilikua inaruka ruka leo null kesho practical
@Orosso skutak tena niache utanipasua kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanvuruga kla mdaLakini katika opinion yangu, uhakika wa kujua kama mkeka bado unapumua au umekufa, unapatikana kwa status ya app,.
Too much confidenceNlichogundua hapa asilimia kubwa ya wanaoongoza written ndio wanafail oral na wanaofaulu oral ni wale waliofail written.
Tena nyie wa juzi ndo muangalie tu kila sku...Kama umefanya muda sana uwe unaingia mara kwa mara,mm nmefanya juz tu hapa siwez kua na shauku ya kuingia huko kuchek labda mwezi upite
Ahaa huyo mnyama "NOT" hana mchezo popote utakapomkuta lazima akufanye vibaya😀😀.....iwe kwenye app au webHoja yetu hapa ni "NOT"
Picha la kutishaAhaa huyo mnyama "NOT" hana mchezo popote utakapomkuta lazima akufanye vibaya[emoji3][emoji3].....iwe kwenye app au web
Oral wanatoa marks pale pale,na wengne wanasema wanaangalia vitu vingi mno sio yale maswali tu..ko ukitoka pale kwenye chumba cha usahili wanakudiscuss wanakupa marks..then wanaendelea na mwingne...HAKUNA KUSAHIHISHA BAADAENlichogundua oral ni another form of written except u dont write,they write for u[emoji23]then ndo wanasahihisha baadae huko
Huyo achana nae kabisa iwe "NOT SHORTLISTED" au "NOT SELECTED FOR" ni kwamba anamaanishaPicha la kutisha
Wewe ni mtu wa pili nasikia unashuhudia hili, kuna jamaa alishuhudia kuwa alipata kazi kwa mkeka ambao hakupiga poa sana katika mchujo na tena alipita kwa kanzidata, ile mikeka alikua among top katika mchujo, mikeka ilichanika.Nlichogundua hapa asilimia kubwa ya wanaoongoza written ndio wanafail oral na wanaofaulu oral ni wale waliofail written.
Okay bt still ni kama written tu,unamention points wanaziandika then unasahishiwaOral wanatoa marks pale pale,na wengne wanasema wanaangalia vitu vingi mno sio yale maswali tu..ko ukitoka pale kwenye chumba cha usahili wanakudiscuss wanakupa marks..then wanaendelea na mwingne...HAKUNA KUSAHIHISHA BAADAE
Mimi nahitaji tu kufaham composition ya panel, yaanibile panel inaundwa na watu wenye sifa gani.Okay bt still ni kama written tu,unamention points wanaziandika then unasahishiwa
Mmoja wa utumishi,mmoja wa kada yako husika,mmoja msimamizi.Mimi nahitaji tu kufaham composition ya panel, yaanibile panel inaundwa na watu wenye sifa gani.
Ahaa,. Hapo sawa,.Mmoja wa utumishi,mmoja wa kada yako husika,mmoja msimamizi.
According to panel yangu