HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wapi Mie hata iwe tegemezi kuna kitu nishazoea Kuona ni Sawa tu Japo nyakat Ngumu nazozipata baada ya kukosa Jina nikujitahidi kujifanyia assessment mwenyew kweny interview wap nilipokosea mpk sikupata marks nzuri za kufanya niappear kwenye PDF.
ukifanya hivi nakupa bishara njema
 
Yap sio lazima ulie unakazaa lakina io feeling lazima uipate, unaweza rudia kuangalia ile pdf mara 7 hiv ni kweli sipo, halafu ukaifuta, uka download tena may b unaweza kuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
ahahahahahahah, unadownload unaifuta na kuidownload tena.
 
Sema wenge la chumba cha usaili ni hatari sana....Pepa linaweza kuwa rahisi....ulitoka mle ndani ndo unakumbuka maneno mazuri zaidi ambayo ungeyajibu....ila ukiwa mule ndani evaporation yake sio ya kawaida wakuu 😄.

Halafu wakui, hili swala la umeambiwa kwenye swali MENTION halafu wewe uka EXPLAIN limekaaje hili?

naomba muongozo wa wenye uzoefu.
Una mention then una explain. Yote sawa cha muhimu uelezee uhalisia sio OP
 
Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye App au weh?
 
Kuna utofaut gani kwan? Kwamba ya web ni more reliable than app ama?
Am not sure...ila mara nyingi kwenye web unaweza ukawa umefaulu ukakuta selected for oral Interview+ Interview no....App kuna mda ukiwa umefanya oral. Unaweza kuta washakuwekea Not selected mapemaa.....web uwa hamnaga changes za mara kwa mara..mara nyingi kama umefaulu written utakuta selected for oral interview
 
Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani

ingia kwenye web angalia status inasemaje, then chukua timetable angalia inasemaje af mwishoni subiria database, hongera
 
Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Km not selected ilikuja baada ya Kufanya Oral Interview wataalam wanasema Ni Mkanda na baada ya PDF kutoka naona Status nying zinarudi kwenye Hali ya Mwanzo baada ya Matokeo ya Written Kutoka.
 
  • ni mawakili sio wanasheria,
  • hao sio Level Yako, wako level ya juu Sana compared to taaluma Yako uliyosomea

Inaonekana umekandwa ndugu yangu pole sana. Usikate tamaa inuka tuendelee na mapambano. Mimi hapa nimefanya oral 2 na zote sikupata kazi, Jumamosi nimefanya oral nyingine. Ninaamini wakati wangu bado hujafika ila riziki yangu ipo.

Kuwakejeli wenzako sio busara kabisa, roho mbaya haijengi ndugu yangu. Ni ushauri tu.
 
Am not sure...ila mara nyingi kwenye web unaweza ukawa umefaulu ukakuta selected for oral Interview+ Interview no....App kuna mda ukiwa umefanya oral. Unaweza kuta washakuwekea Not selected mapemaa.....web uwa hamnaga changes za mara kwa mara..mara nyingi kama umefaulu written utakuta selected for oral interview
Asante mkuu nmekuelewa
 
Back
Top Bottom